Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Nashangaa watu wanamsifia kaongea kistaarabu,lazima awe mpole kupumuliwa si mchezo,halafu mbona kamtukana mama wa Mwenzie, Hana tofauti na shish boy kumwingiza mama kwenye ma ugomvi Yao siku wakipatana atamwangaliaje huyo mama amekosa kitu cha kumuumiza nacho Dai,hata kama anajua huyo mama anapenda dogo dogo hakuwa na sababu ya kumwingiza huyo ni kama mamake.Mpaka hapo hii issue ya ushoga Ina walakini, Dai walikuwa karibu sana amekosa kitu chochote anachokijua juu yake mpaka amchanganye mamake?
Mnafiki tu yule bwana,kama unaakili za kushikiwa ndio utamwamini,ila kama akili yako imepevuka utajua jamaa katafuta huruma ya wananchi wajiinga
 
Japokuwa sijasikiliza hayo mahojiano, lakini naona wetu wengi humu wanatoa Pongezi kwa Ommy Dimpo kwa kuweza kuonyesha Ukomavu, Busara na Utulivu katika mahojiano hayo. Nami naungana kumpa Pongezi Ommy Dimpoz.

Watu wengine wajifunze pia namna ya kuongea na vyombo vya habari, hususani wakina Makonda, Sizonje, Ole Sendeka nk.
 
Wazungu wanasemaga Either you fight them or you join them.

Kitendo cha Ommy kujiunga na Kiba inaonesha kaamua kufight against WCB.

Kama kaamua kukaza akaze mwanzo mwisho atengeneze pesa zake maana kipaji anacho.

Kama hawezi kukaza basi ajiunge lebo ya WCB atengeneze pesa pia.

Natamani siku m0ja atoe remix ya miss khoi khoi na Wid Kid, naamini itabamba Africa nzima
 
Ha ha ha ushaanza kupanic,
Kumlala maza ni laana bro! Muachane na utajiri wa dizaini hiyo mnajichimbia kaburi!
Kaburi mbona lipo tu bila hata kujichimbia?!uchawi ungekuwa unaleta utajiri basi waganga wa kienyeji wote wangekuwa mabilionea
 
Wazungu wanasemaga Either you fight them or you join them.

Kitendo cha Ommy kujiunga na Kiba inaonesha kaamua kufight against WCB.

Kama kaamua kukaza akaze mwanzo mwisho atengeneze pesa zake maana kipaji anacho.

Kama hawezi kukaza basi ajiunge lebo ya WCB atengeneze pesa pia.

Natamani siku m0ja atoe remix ya miss khoi khoi na Wid Kid, naamini itabamba Africa nzima
Ommy anakwambiaje yeye angekuwa ni mtu wa kwanza kusaini wcb ila diamond alikuwa anamwekea kauzabe
 
hayo ni madai ya kipuuzi maana muda mwingi jamaa anakuwa nje sasa kama ni kila jumatano anapokuwa nje inakuwaje.
mfano toka jana namuona anapost akiwa visiwa vya mayoti sasa jana si jumatano..
magazeti mengine ni tatizo.
Wakati Jana mchana alikuwa xxl na yeye huko visiwan kaenda SAA ngapi, ongea ulicho na uhakika nacho
Halafu kitendo hicho ni muda mfupi tu , so it's possible maana yule mama c kwa kumwonea wivu mwanae..mxiuuu shame on them!![emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Back
Top Bottom