Una hakika gani kuwa hao walosema wamemla ni kweli??Una uhakika kama alilala naye?!we ukiambiwa leo umezini na mamako unataka watu tuamini?!
Ushoga hauna kificho,waliomla ndio wamesema
Kwa yaliyotokea ulitaka aendelee tu kuwa na diamond.....UMEKULA LAKIN??Povu litoke wapi wakati amekamatwa kila mahali,Dimpoz alichochemsha ni kujiunga na Ally Kiba kumponda Diamond public
TeamHakukuwa na mamna tena,zaidi ya kujishusha na kuongea kwa upole ili aonewe huruma,maana ile kashfa ya ushoga siyo ya kitoto[emoji38]
Mbona hajasema kama Diamond alimkopa million 10 na mpaka leo hajamlipa?!Ommy huwezi kuwa msanii bora kwa kutafuta kiki kwa Dee.
Uteam ni uzezeta,
Huo mkataba wa 2billions afu TRA ya magufuri wakate 35 million tu? Afu huku kitaa team "Mr Karoli" zinapiga shangwe tu!
Omi anatafta ngazi ya kuvukia. Na source ya yote ni blouz fm wao wasingemuuliza hayo maswali sidhan km mondi angejibu. Simpendi mtu mnafki kama omi.Kwa mara nyingine tena natafakari namna diamond anavo handle mambo yake sku hizii
How comes anapick fights na mtu kama Ommy dimpoz!! Yaan leo Omy ni wa kusifiwa kuwa ana akili kisa tu kumjibu diamond!!
This was wrong from the beggining, Yeye ni msanii mkubwa ajifunze kukausha sometymes
Mwisho wa siku ana wapa kiki hao vijana tuu.
Mwingine huyuWewe naweeee...sijui ndo unaongea pumba gani hizi!!!!
Kajiunga na Kiba kisa wamefanya kolabo? Kwani ndio colabo ya kwanza hiyo? Hukumbuki wimbo ulomtoa? Na amesema ye na Kiba they go waaaay back, angekuwa karibu na D sidhani kama ingeleta tafsiri tofauti ila kwakuwa tu ni Kiba basi ishakuwa nongwa.Wazungu wanasemaga Either you fight them or you join them.
Kitendo cha Ommy kujiunga na Kiba inaonesha kaamua kufight against WCB.
Kama kaamua kukaza akaze mwanzo mwisho atengeneze pesa zake maana kipaji anacho.
Kama hawezi kukaza basi ajiunge lebo ya WCB atengeneze pesa pia.
Natamani siku m0ja atoe remix ya miss khoi khoi na Wid Kid, naamini itabamba Africa nzima
word diamond angekaa kimya lingepita tu ila naye sometimes anazinguagaKwa mara nyingine tena natafakari namna diamond anavo handle mambo yake sku hizii
How comes anapick fights na mtu kama Ommy dimpoz!! Yaan leo Omy ni wa kusifiwa kuwa ana akili kisa tu kumjibu diamond!!
This was wrong from the beggining, Yeye ni msanii mkubwa ajifunze kukausha sometymes
Mwisho wa siku ana wapa kiki hao vijana tuu.
Kama hujamuelewa ommy utakuwa na matatizo aisee.Omi anatafta ngazi ya kuvukia. Na source ya yote ni blouz fm wao wasingemuuliza hayo maswali sidhan km mondi angejibu. Simpendi mtu mnafki kama omi.
Btw miss you
Mwenzio halijui iloi would talk nicely or stay quiet!!!!! diamond ni star wa africa now co mtu wa kuanza kuaibishana na dimpoz au kumponda kiba. anatakiwa ajaribu kuwa positiv
Kwani lazima mtu ujibu kila unaloulizwa? Hivi kwanini huwa mnamchukulia mond kama malaika as if hakosei, na akikosea basi anatafutwa wa kumtwika hilo kosa ilimradi tu lisimfike yeye.Omi anatafta ngazi ya kuvukia. Na source ya yote ni blouz fm wao wasingemuuliza hayo maswali sidhan km mondi angejibu. Simpendi mtu mnafki kama omi.
Btw miss you
Inasemekana etiii domo ana kwichikwichi na mama yake.Diamond mnamuanzaga akiongea ukwel anaonekana yeye mbaya. Uyo omi madimpo kama yangu aje nimuazime skin tight
Jealousy, hatred bado ni tatizo linalowatafuna wasanii wengi hapa nchini, kwa maelezo ya Ommy..Diamond angekuwa na roho nzuri angemfanikishia mambo mengi sana ya kimuziki mwenzake..lakini kwa sababu ya tamaa yake ndio maana haya yakaibuka...huu ni upuuzi kwa watu wanaojielewa...
Either u fight them or u join them, ndio kinachoendelea hapo atoto[emoji5] [emoji5] [emoji5]Kajiunga na Kiba kisa wamefanya kolabo? Kwani ndio colabo ya kwanza hiyo? Hukumbuki wimbo ulomtoa? Na amesema ye na Kiba they go waaaay back, angekuwa karibu na D sidhani kama ingeleta tafsiri tofauti ila kwakuwa tu ni Kiba basi ishakuwa nongwa.