Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Kwa mara nyingine tena natafakari namna diamond anavo handle mambo yake sku hizii
How comes anapick fights na mtu kama Ommy dimpoz!! Yaan leo Omy ni wa kusifiwa kuwa ana akili kisa tu kumjibu diamond!!
This was wrong from the beggining, Yeye ni msanii mkubwa ajifunze kukausha sometymes
Mwisho wa siku ana wapa kiki hao vijana tuu.
 
Hakukuwa na mamna tena,zaidi ya kujishusha na kuongea kwa upole ili aonewe huruma,maana ile kashfa ya ushoga siyo ya kitoto[emoji38]

Mbona hajasema kama Diamond alimkopa million 10 na mpaka leo hajamlipa?!Ommy huwezi kuwa msanii bora kwa kutafuta kiki kwa Dee.
Team
 
Kwa mara nyingine tena natafakari namna diamond anavo handle mambo yake sku hizii
How comes anapick fights na mtu kama Ommy dimpoz!! Yaan leo Omy ni wa kusifiwa kuwa ana akili kisa tu kumjibu diamond!!
This was wrong from the beggining, Yeye ni msanii mkubwa ajifunze kukausha sometymes
Mwisho wa siku ana wapa kiki hao vijana tuu.
Omi anatafta ngazi ya kuvukia. Na source ya yote ni blouz fm wao wasingemuuliza hayo maswali sidhan km mondi angejibu. Simpendi mtu mnafki kama omi.
Btw miss you
 
Wazungu wanasemaga Either you fight them or you join them.

Kitendo cha Ommy kujiunga na Kiba inaonesha kaamua kufight against WCB.

Kama kaamua kukaza akaze mwanzo mwisho atengeneze pesa zake maana kipaji anacho.

Kama hawezi kukaza basi ajiunge lebo ya WCB atengeneze pesa pia.

Natamani siku m0ja atoe remix ya miss khoi khoi na Wid Kid, naamini itabamba Africa nzima
Kajiunga na Kiba kisa wamefanya kolabo? Kwani ndio colabo ya kwanza hiyo? Hukumbuki wimbo ulomtoa? Na amesema ye na Kiba they go waaaay back, angekuwa karibu na D sidhani kama ingeleta tafsiri tofauti ila kwakuwa tu ni Kiba basi ishakuwa nongwa.
 
Kwa mara nyingine tena natafakari namna diamond anavo handle mambo yake sku hizii
How comes anapick fights na mtu kama Ommy dimpoz!! Yaan leo Omy ni wa kusifiwa kuwa ana akili kisa tu kumjibu diamond!!
This was wrong from the beggining, Yeye ni msanii mkubwa ajifunze kukausha sometymes
Mwisho wa siku ana wapa kiki hao vijana tuu.
word diamond angekaa kimya lingepita tu ila naye sometimes anazinguaga
 
Omi anatafta ngazi ya kuvukia. Na source ya yote ni blouz fm wao wasingemuuliza hayo maswali sidhan km mondi angejibu. Simpendi mtu mnafki kama omi.
Btw miss you
Kwani lazima mtu ujibu kila unaloulizwa? Hivi kwanini huwa mnamchukulia mond kama malaika as if hakosei, na akikosea basi anatafutwa wa kumtwika hilo kosa ilimradi tu lisimfike yeye.
 
Mtoa mada umenikera sana.
Hii sio namna nzuri ya kuwasilisha habari kwa hadhira.
Ulitakiwa kuweka mahojiano au hata vipande vya yaliyoongelewa na Ommy.
Badala yake unaleta habari kana kwamba hili ni group la WhatsApp.
Inakera sana.
 
Jealousy, hatred bado ni tatizo linalowatafuna wasanii wengi hapa nchini, kwa maelezo ya Ommy..Diamond angekuwa na roho nzuri angemfanikishia mambo mengi sana ya kimuziki mwenzake..lakini kwa sababu ya tamaa yake ndio maana haya yakaibuka...huu ni upuuzi kwa watu wanaojielewa...

Asa mkuu we kwa akili zako tu za kuzaliwa unafikiri kwanini hakumfanikishia??!! unadhani tatizo ni Wivu tu na chuki kama unavosema???...kwa akili ndogo tu mtu mwenye wivu na chuki kamwe uwa anajiangalia yeye mwenyewe yaan pekeake tuuu...kama Diamond angekuwa hajawahi kumsaidia msanii yeyote yule katika maisha yake basi ningekubaliana nawewe...lakini kwa msanii anaewainua wasanii zaidi ya watatu,bado ametoa ajira kwa watu wengi tu kumuita ana wivu hapo natilia shaka mkuu!!! Kama alishindwa kumsaidia Ommy basi lazima kuna sehemu tu chemistry zao zilipishana wakashindwa kuiva kwenye chungu kimoja na wala sio wivu na chuki kama usemavyo...MTU MWENYE WIVU NA CHUKI HACHAGUI MKUU!!!!!!!!!!
 
Kajiunga na Kiba kisa wamefanya kolabo? Kwani ndio colabo ya kwanza hiyo? Hukumbuki wimbo ulomtoa? Na amesema ye na Kiba they go waaaay back, angekuwa karibu na D sidhani kama ingeleta tafsiri tofauti ila kwakuwa tu ni Kiba basi ishakuwa nongwa.
Either u fight them or u join them, ndio kinachoendelea hapo atoto[emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Back
Top Bottom