Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

sallam mendez inaelekea naye ni mtu wa kupenda kujibu kila kitu.
sometimes being silent is better
 
Kwa clouds mie siwalaumu, ni media so kutafuta atention ni kawaida yao ndio kula yao hiyo. Ila D inapaswa ajifunze, wakati mwigine ni bora unyanyuke uondoke usijibu kitu ukiona linakufika kooni, ila wanajuaga kumchota nae anajaa.
 
Mtoa mada umenikera sana.
Hii sio namna nzuri ya kuwasilisha habari kwa hadhira.
Ulitakiwa kuweka mahojiano au hata vipande vya yaliyoongelewa na Ommy.
Badala yake unaleta habari kana kwamba hili ni group la WhatsApp.
Inakera sana.
Nifah katika ubora wake.........
 
Dah kuna watu ni ma jobless asee
 
Haina haja kulalamika sana cha msingi apigane mwenyewe na kutoa nyimbo zenye ubora atapanda tu
 
[emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo lenu mmeumbuka[emoji23]
mlijua ommy ataponda ili mumtukane so mmlikua mmeshannua condom unampigia simu demu hapatikani
 
Najua bwana Sallam mzee wa kupanic atakuwa ame mponza

Kaitika kitu diamond anatakiwa ajifunze kwa Ali Kiba ni kunyamaza na kuto jibizana na kila mtu na kuto kujibu kila tetesi.
Kwa kweli leo nimeudhika sana na kiki alo pata Ommy.
Kwa ali ndio naamin rasmi yule shemeji yetu jokate ni bonge la mwanamke...
naamin ukimya wa ali kwenye haya mambo mkono wa jokate upoo
 
Huyo Salaam mswahili yule ana usafi gani?
Bora mkubwa Fella yeye ni kazikazi,maneno maneno hataki.
 
Utajiri una mambo yake si kila unachokiona kwa macho ndivyo kilivyo.Watu wanafanya vitu vya hatari maana hakuna anaependa umaskini. Unafikiri kwa nini dogo inakua vigumu kumsamehe baba yake?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] we mama unaunganisha dot....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…