mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Utajiri una mambo yake si kila unachokiona kwa macho ndivyo kilivyo.Watu wanafanya vitu vya hatari maana hakuna anaependa umaskini. Unafikiri kwa nini dogo inakua vigumu kumsamehe baba yake?Et anamfanyaje mama ake? Du diamond ninoma!!