Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

hizo ni fununu na muda mwingi tu anakuwa nje bila mama yake kwa hiyo ukitazama utaona hizo ni fununu.
walianza mara freemasons, mara anabeba madawa now wamekuja na hili...
Yaani vyote hivo Viki ndani yake kwani kulala na mamake sio ifreemason?
 
Kwa mara nyingine tena natafakari namna diamond anavo handle mambo yake sku hizii
How comes anapick fights na mtu kama Ommy dimpoz!! Yaan leo Omy ni wa kusifiwa kuwa ana akili kisa tu kumjibu diamond!!
This was wrong from the beggining, Yeye ni msanii mkubwa ajifunze kukausha sometymes
Mwisho wa siku ana wapa kiki hao vijana tuu.
Meneja wake anaitwa Sallam anamuongoza vibaya.
 
Ommy anapumuliwa na mwarabu
Ishu ya kupumuliwa ni personal issue siamini kama yupo anaeweza kuthibitisha hilo

Hata diamond tulisha ambiwa anamgonga mama yake na hamna mwenye ushahidi!

Ila alicho kifanya diamond kutumia nguvu nyingi na jitihada za kumshusha msanii mwenzake ommy ni dalili za mwanaume mkuda!

Halafu utamskia daimond akisema yeye ni mwislam safi hawa jamaa ni wanafiki ningetamani sana Hillary Clinton angeshinda uchanguzi wa Marekani amalizie kazi aliyoiacha obama ya kuwasafisha hawa wajinga wajinga
 
Mtoa mada umenikera sana.
Hii sio namna nzuri ya kuwasilisha habari kwa hadhira.
Ulitakiwa kuweka mahojiano au hata vipande vya yaliyoongelewa na Ommy.
Badala yake unaleta habari kana kwamba hili ni group la WhatsApp.
Inakera sana.
Mkuu kesha kuelewa ....kaweka unachohitaji......
 
Omi anatafta ngazi ya kuvukia. Na source ya yote ni blouz fm wao wasingemuuliza hayo maswali sidhan km mondi angejibu. Simpendi mtu mnafki kama omi.
Btw miss you
Hahahah
Na watu washa mjulia mtu akipotea kwenye fani kidogo ana taka arudi na kiki kubwa.
Mi huwa nasistiza asikubali iwe cloudz, wala mtu yeyote kufanya kitu ambacho kina mpa kiki msanii mwingine.
Awe kama Kiba mbona ana semaga hicho kitu mi siwez kuongelea. The moment akianza tuu kutoa maneno kwenye media anaharibu hapo hata kama ana jitetea.
Na wamemuweza wamemuita jana abwabwaje wee!, mwenzie Ommy kajipanga kaja leo.

Miss u mnooo!!
 
Ommy anapumuliwa na mwarabu
Ishu ya kupumuliwa ni personal issue siamini kama yupo anaeweza kuthibitisha hilo

Hata diamond tulisha ambiwa anamgonga mama yake na hamna mwenye ushahidi!

Ila alicho kifanya diamond kutumia nguvu nyingi na jitihada za kumshusha msanii mwenzake ommy ni dalili za mwanaume mkuda!

Halafu utamskia daimond akisema yeye ni mwislam safi hawa jamaa ni wanafiki ningetamani sana Hillary Clinton angeshinda uchanguzi wa Marekani amalizie kazi aliyoiacha obama ya kuwasafisha hawa wajinga wajinga
 
Povu litoke wapi wakati amekamatwa kila mahali,Dimpoz alichochemsha ni kujiunga na Ally Kiba kumponda Diamond public
kivipi minaona wote wanamambo ya kishamba bado sana kimataifa wabongo AY,FIDQ,BELLA ndio international Artist
 
Meneja wake anaitwa Sallam anamuongoza vibaya.
Huyu ndo anaemuongoza pia kumtafutia connections zote za ki international katika kazi yake ya muziki...huyu ndo aliemfanya Domo leo hii kuwa wa kimataifa...personal issues has nothing do with job related matters...huwezi jua pengine anaemuongoza vibaya katika personal issues anaweza ata akawa Zari,Harmonize,au hata mama ake aliemlea na kumkuza...Madudu binafsi ya Domo yasimfanye Sallam achafuke jamani.
 
word diamond angekaa kimya lingepita tu ila naye sometimes anazinguaga
Huwezi jua amekaa nalo kimya kwa mda gani mkuu..kila binadamu ana kikomo chake cha uvumilivu mkuu...yamkini hata wewe ukikwazwa uwa unatokwa na povu na kuongea mashudu ya ajabu ambayo hata Domo asingeweza kuyaongea....
 
Kwa mara nyingine tena natafakari namna diamond anavo handle mambo yake sku hizii
How comes anapick fights na mtu kama Ommy dimpoz!! Yaan leo Omy ni wa kusifiwa kuwa ana akili kisa tu kumjibu diamond!!
This was wrong from the beggining, Yeye ni msanii mkubwa ajifunze kukausha sometymes
Mwisho wa siku ana wapa kiki hao vijana tuu.
Hawezi kabisa kujizuia kukausha
natamani angekua kimya kama ali
 
Hakukuwa na mamna tena,zaidi ya kujishusha na kuongea kwa upole ili aonewe huruma,maana ile kashfa ya ushoga siyo ya kitoto[emoji38]

Mbona hajasema kama Diamond alimkopa million 10 na mpaka leo hajamlipa?!Ommy huwezi kuwa msanii bora kwa kutafuta kiki kwa Dee.
dimpoz kick kwa mondi...!!aahh!wapiii!!!!huo mda hana!
 
Back
Top Bottom