wewe falla kweli,kizungu ndio kumekupeleka juu!!!!Nimeenda majuu. Huwezi kupeleka kiswahili chako majuu. Natumai unaelewa maana ya neno "majuu"
Hamna kitu hapo!Magufuli is a country bumpkin.Tokea uhuru hakuna Rais ambae amewahi kufanya ufisadi wa TZS 1.5 trillion lakini Magufuli amethubutu!Hizi ndio speech zenye tija kwa Taifa na raia wake, sio hizo lip stick speeches hazina mchango wowote kwa wakenya
Hahahaha, hahahaha, hahahahaHamna kitu hapo!Magufuli is a country bumpkin.Tokea uhuru hakuna Rais ambae amewahi kufanya ufisadi wa TZS 1.5 trillion lakini Magufuli amethubutu!View attachment 1598927
Unaniwekea mavideo ya kisiasa ya nini?!CAG alithibitisha kuwa Magufuli alipiga ufisadi wa TZS 1.5 trillionHahahaha, hahahaha, hahahaha
Sasa kwenda majuu kuna faida gani kwako, Uhuru Kenyatta kila siku yuko huko kama alivyofanya Kikwete, zaidi ya kuzidisha madeni ya nchi, Hakuna kingine inasaidiaNimeenda majuu. Huwezi kupeleka kiswahili chako majuu. Natumai unaelewa maana ya neno "majuu"
Tunaomba ushahidi kwamba alithibitisha [emoji23][emoji23][emoji23]Unaniwekea mavideo ya kisiasa ya nini?!CAG alithibitisha kuwa Magufuli alipiga ufisadi wa TZS 1.5 trillion
ina maana hukufuatilia wala kusoma ripoti ya CAG?!Yaani jambo ambalo lilikuwa ni scandal kila mahali ndani ya nchi na nje ya nchi hadi kuhitajika kujadiliwa bungeni wewe unahitaji ushahidi leo?Are you serious?!Unaishi nchi hii?Tunaomba ushahidi kwamba alithibitisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Sikuwepo nchini kipindi hicho, kama utaweza kunionyesha ushahidi fanya hivyo Tafadhaliina maana hukufuatilia wala kusoma ripoti ya CAG?!Yaani jambo ambalo lilikuwa ni scandal kila mahali ndani ya nchi na nje ya nchi hadi kuhitajika kujadiliwa bungeni wewe unahitaji ushahidi leo?Are you serious?!Unaishi nchi hii?
Kwa hiyo ukiwa haupo nchini hufuatilii mambo ya nchi yako?Sikuwepo nchini kipindi hicho, kama utaweza kunionyesha ushahidi fanya hivyo Tafadhali
Mbona una maswali mengi sana?, nimeomba ushahidi, kama huna sema huna [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo ukiwa haupo nchini hufuatilii mambo ya nchi yako?
Mimi ni nani hata niwe na ushahidi mkubwa zaidi ya ushahidi wa CAG?Mbona una maswali mengi sana?, nimeomba ushahidi, kama huna sema huna [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio huo wa CAG ninaomba uniwekee nione [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni nani hata niwe na ushahidi mkubwa zaidi ya ushahidi wa CAG?
Huna akili!Ni sawa na mimi nimwambie mtu aniletee ushahidi kuwa Tanzania ilipata uhuru mwaka 1961.Mimi nitakuwa ni takataka!.Yaani ukilaza wako na uzembe wako wa kutokufuatilia masuala upelekee wewe unipe mimi assignment ambazo ni jukumu lako wewe kufanya?Nikikuita kuwa wewe ni mbumbumbu nitakuwa nimekuonea?Yaani wewe ulale fofofo mimi nikuandalie vifungu vya CAG?!Ndio huo wa CAG ninaomba uniwekee nione [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku nyengine uwe unajipanga kabla ya kuandika vitu, wacha kuvamia mambo usiyoyajua, ukitaka ushahidi wa siku Tanzania iliyopata Uhuru upo, wewe umeshindwa kuthibitisha maneno yako umebaki kupiga domo, hovyo sana wewe jamaa?Huna akili!Ni sawa na mimi nimwambie mtu aniletee ushahidi kuwa Tanzania ilipata uhuru mwaka 1961.Mimi nitakuwa ni takataka!.Yaani ukilaza wako na uzembe wako wa kutokufuatilia masuala upelekee wewe unipe mimi assignment ambazo ni jukumu lako wewe kufanya?Nikikuita kuwa wewe ni mbumbumbu nitakuwa nimekuonea?Yaani wewe ulale fofofo mimi nikuandalie vifungu vya CAG?!
Magufuli hata kiingereza hakifahamu. Ataenda huko kula ulimi tu.
Bro tangu ile biashara yenu ya kudhulumu uhai wa albinos ipigwe chini, mbona hasira hivyo. Uchaguzi ndiyo huo unaelekea ukingoni. Biashara bye bye.Unaniwekea mavideo ya kisiasa ya nini?!CAG alithibitisha kuwa Magufuli alipiga ufisadi wa TZS 1.5 trillion
Kenyatta ni world-class President.Huyu jamaa yuko vizuri sana, jameni hata akistaafu itakua muhimu kwa Afrika na dunia kumtafutia kijisehemu aendelee kutumia ubongo wake.
Hovyo ni wewe ambae unataka ushahidi wa ufisadi ambao ulitikisa nchi na hadi kujadiliwa bungeni.Unawezaje kuomba ushahidi wa kitu ambacho kilijadiliwa bungeni?!Ushahidi wangu huu hapa[emoji116]Siku nyengine uwe unajipanga kabla ya kuandika vitu, wacha kuvamia mambo usiyoyajua, ukitaka ushahidi wa siku Tanzania iliyopata Uhuru upo, wewe umeshindwa kuthibitisha maneno yako umebaki kupiga domo, hovyo sana wewe jamaa?