Cha ajabu wewe hapo hivi majuzi ndio ulikuwa unawakashifu wakenya kwa kuzienzi na kutumia lugha zao asili za kiafrika. Hivi kuna utumwa zaidi ya huo? Watz huwa mmechanganyikiwa sio mchezo,sitashangaa nikisikia kwamba jina lako ni Christopher Jacob au Alex Joseph au hata Jane John kama ilivyo kawaida yenu nyie. Anyway kiingereza na kiswahili zote ni lugha rasmi za taifa la Kenya. Swali langu lilikuwa ni; rais wenu aliwezaje kusoma na kufuzu hadi akapata Phd wakati kiingereza kinampa stress hivyo? Kama Phd ndio feki sema. Au kama kuna option ya kufanya masomo ya level hiyo(O level/undergraduate/masters n.k) kwa kisukuma/kiswahili sema pia.
Tatizo la wakenya ni upeo mdogo waekuchunguza mambo kwa undani, pia mnasumbuliwa na ushamba sana.
Sababu kubwa ya kukataa matumizi ya lugha za asili katika public spaces na katika ofisi za serikali ni mbili
1)Kupambana na ukabila
2)Kujenga umoja wa kitaifa
Tanzania ni nchi pekee hapa Africa ambayo imefanikiwa kumaliza ukabila na kujenga umoja wa kitaifa, tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya kuhimiza matumizi ya lugha moja ya Kiswahili.
Kenya ni nchi inayosumbuliwa sana na tatizo la ukabila na ukanda, na bado Kenya inaruhusu matumizi ya lugha za kikabila ambazo zinafanya watu kujuana kwa urahisi makabila yao katika sehemu za kazi na kuanza kubaguana.
Hivi kama sio ushamba ni kitu gani, ofisi moja lakini kila watu wanazungumza lugha za makabila yao, huo ni ushamba na upumbavu. Sisi tukirudi vijijini kwetu tunazungumza lugha zetu za kikabila, sio ofisini ambako ni mchanganyiko wa makabila tofauti.
Kuhusu Magufuli Na watanzania wengi, English is a Language or teaching, kuna wakenya wsmesomea China, urusi au Japan kwa kutumia lugha za nchi hizo, wanefauli degree zao na kurudi nchini mwenu, kamwe hawazitumii tena hizo lugha na hakuna mtu anauliza kama walifaulu vipi masomo yao.
Ukweli ni kwamba ninyi wakenya ni watumwa wa kimawazo, ninyi bado ni watumwa wa kifikra, bado kwenu mzungu ni zaidi ya MUNGU.
Kenya ndio taifa pekee Africa ambalo halijajitawala, You Are still slaves or UK.