Interview ya Rais Kenyatta katika France24

The problem of Kenya is tye confusion between language and intelligence. English and cognitive capacity. Kenyans believe if you are not fluent in English, then you are less intelligent compared to the fellow who is fluent in the Queen's language.
This is because of two things.
1. Lack of exposure. They have never been in countries which do not use English, but their development is unmatched. I've been in several countries around the world, so talking through experience.
2. The effect of colonialism. Kenya is the best example of how colonialism disrupted the pre existing social, economic, culture etc. It's a typical example of how colonial master managed to brainwash their way of thinking. They never believe in themselves, they are always ready to accept anything that are given from mzungu. I can call it a culture less society. I sometimes compare it with Nigeria, but Nigerians keep their identity, only their problems are corruption and lack of country togetherness.
Point #2 ndio inayowasumbua zaidi wakenya
 
Hovyo ni wewe ambae unataka ushahidi wa ufisadi ambao ulitikisa nchi na hadi kujadiliwa bungeni.Unawezaje kuomba ushahidi wa kitu ambacho kilijadiliwa bungeni?!Ushahidi wangu huu hapa[emoji116]

Link:Upinzani Tanzania wataka majibu kuhusu ziliko trilioni 1.5 | DW | 19.04.2018View attachment 1599611
Kumbe upenzani ulitaka majibu bungeni, na walipewa majibu kama walivyotaka, sasa wewe tatizo lako ninini?.

Kazi ya wabunge ni kuisimamia serikali, kutaka majibu katika maeneo yenye matatizo, wajibu wa serikali ni kutoa majibu, kama wabunge hawsjaridhishwa na majibu, muuliza swali anashikilia shilingi au anatoa hoja ya kuundwa kwa tume maalumu ya bunge ili kuchunguza.

Je, ulisikia kuna mbunge yeyote aliyezuia shilingi au kutoa hoja ya kuundwa tume maalumu ya bunge?. Unaelewa maana ya kutaka ufafanuzi?, maana yake kulikua na maeneo hayakutimia yalihitaji maelezo, hiyo haina maana kulikua na uthibitisho kwamba pesa ilipotea, serikali ilifafanua kama ilivyoomba kufafanua.
 
The problem of Kenya is tye confusion between language and intelligence. English and cognitive capacity. Kenyans believe if you are not fluent in English, then you are less intelligent compared to the fellow who is fluent in the Queen's language.
This is because of two things.
1. Lack of exposure. They have never been in countries which do not use English, but their development is unmatched. I've been in several countries around the world, so talking through experience.
2. The effect of colonialism. Kenya is the best example of how colonialism disrupted the pre existing social, economic, culture etc. It's a typical example of how colonial master managed to brainwash their way of thinking. They never believe in themselves, they are always ready to accept anything that are given from mzungu.
Summarise hizi longolongo zako alafu utueleze Magufuli alisomaje hadi akapata Phd wakati kiingereza kinampiga chenga? Hiyo ndio hoja nyeti.
 
The problem of Kenya is tye confusion between language and intelligence. English and cognitive capacity. Kenyans believe if you are not fluent in English, then you are less intelligent compared to the fellow who is fluent in the Queen's language.
This is because of two things.
1. Lack of exposure. They have never been in countries which do not use English, but their development is unmatched. I've been in several countries around the world, so talking through experience.
2. The effect of colonialism. Kenya is the best example of how colonialism disrupted the pre existing social, economic, culture etc. It's a typical example of how colonial master managed to brainwash their way of thinking. They never believe in themselves, they are always ready to accept anything that are given from mzungu. I can call it a culture less society. I sometimes compare it with Nigeria, but Nigerians keep their identity, only their problems are corruption and lack of country togetherness.
What is it with this Bongolalas obsessions with mzungu sijui beberu!!!With ua low IQ selves u don't mind using technology, products things invented by the so called mzunguz.Isn't it exhausting bieng in the bottom and talking outa ua shit
 
Huyu jamaa yuko vizuri sana, jameni hata akistaafu itakua muhimu kwa Afrika na dunia kumtafutia kijisehemu aendelee kutumia ubongo wake.
Hivi unazani hata akiwa na utindio wa ubongo we unaweza kusema Yuko vibaya
 
The problem of Kenya is tye confusion between language and intelligence. English and cognitive capacity. Kenyans believe if you are not fluent in English, then you are less intelligent compared to the fellow who is fluent in the Queen's language.
This is because of two things.
1. Lack of exposure. They have never been in countries which do not use English, but their development is unmatched. I've been in several countries around the world, so talking through experience.
2. The effect of colonialism. Kenya is the best example of how colonialism disrupted the pre existing social, economic, culture etc. It's a typical example of how colonial master managed to brainwash their way of thinking. They never believe in themselves, they are always ready to accept anything that are given from mzungu. I can call it a culture less society. I sometimes compare it with Nigeria, but Nigerians keep their identity, only their problems are corruption and lack of country togetherness.
Hiki ni kizungu chako? Dah.
 
Duh! Dogo kuwa na heshima kwa watu wazima, iko siku utahoji ba mkubwa kama bado anagegeda.
Jibu swali acha porojo Dunia nzima ananulikana kama mlevi halafu unasema atumie ubongo waje wakati ubongo wenyewe yanatoka mawazo ya pombe ndio maana kakuuliza kwani kaacha?
 
Kumbe upenzani ulitaka majibu bungeni, na walipewa majibu kama walivyotaka, sasa wewe tatizo lako ninini?.

Kazi ya wabunge ni kuisimamia serikali, kutaka majibu katika maeneo yenye matatizo, wajibu wa serikali ni kutoa majibu, kama wabunge hawsjaridhishwa na majibu, muuliza swali anashikilia shilingi au anatoa hoja ya kuundwa kwa tume maalumu ya bunge ili kuchunguza.

Je, ulisikia kuna mbunge yeyote aliyezuia shilingi au kutoa hoja ya kuundwa tume maalumu ya bunge?. Unaelewa maana ya kutaka ufafanuzi?, maana yake kulikua na maeneo hayakutimia yalihitaji maelezo, hiyo haina maana kulikua na uthibitisho kwamba pesa ilipotea, serikali ilifafanua kama ilivyoomba kufafanua.
Hii hoja hajawahi kujibiwa CAG
 
Summarise hizi longolongo zako alafu utueleze Magufuli alisomaje hadi akapata Phd wakati kiingereza kinampiga chenga? Hiyo ndio hoja nyeti.
Hilo swali ndio unapaswa ujiulize wewe. Ni watu wajinga Kama wakenya ndio ambao wataitukuza lugha ya kigeni na kudharau lugha yao ya Taifa. Ninyi wakenya ni wajinga sana, elimu haijawakomboa toka katika mawazo ya kitumwa "Kenya not yet Uhuru"
 
Hii hoja hajawahi kujibiwa CAG
Nilijua hujui kitu ndio sababu nilisisitiza unipe ushahidi ambao nilijua huna.
1)Kama hoja haijajibiwa au majibu hayaridhishi, mtoa hoja anapaswa kufanya yafuatayo:
I) Kuzuia shilingi
II) Kutoa hoja kuundwe kamati maalumu

Kipi kati ya hayo kilifanyika kama kweli hoja haikujibiwa?
 
Twende taratibu,kutoa hoja kuundwe kamati maalum wapi?
 
Hilo swali ndio unapaswa ujiulize wewe. Ni watu wajinga Kama wakenya ndio ambao wataitukuza lugha ya kigeni na kudharau lugha yao ya Taifa. Ninyi wakenya ni wajinga sana, elimu haijawakomboa toka katika mawazo ya kitumwa "Kenya not yet Uhuru"
Cha ajabu wewe hapo hivi majuzi ndio ulikuwa unawakashifu wakenya kwa kuzienzi na kutumia lugha zao asili za kiafrika. Hivi kuna utumwa zaidi ya huo? Watz huwa mmechanganyikiwa sio mchezo,sitashangaa nikisikia kwamba jina lako ni Christopher Jacob au Alex Joseph au hata Jane John kama ilivyo kawaida yenu nyie. Anyway kiingereza na kiswahili zote ni lugha rasmi za taifa la Kenya. Swali langu lilikuwa ni; rais wenu aliwezaje kusoma na kufuzu hadi akapata Phd wakati kiingereza kinampa stress hivyo? Kama Phd ndio feki sema. Au kama kuna option ya kufanya masomo ya level hiyo(O level/undergraduate/masters n.k) kwa kisukuma/kiswahili sema pia.
 
Tatizo la wakenya ni upeo mdogo waekuchunguza mambo kwa undani, pia mnasumbuliwa na ushamba sana.

Sababu kubwa ya kukataa matumizi ya lugha za asili katika public spaces na katika ofisi za serikali ni mbili
1)Kupambana na ukabila
2)Kujenga umoja wa kitaifa

Tanzania ni nchi pekee hapa Africa ambayo imefanikiwa kumaliza ukabila na kujenga umoja wa kitaifa, tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya kuhimiza matumizi ya lugha moja ya Kiswahili.

Kenya ni nchi inayosumbuliwa sana na tatizo la ukabila na ukanda, na bado Kenya inaruhusu matumizi ya lugha za kikabila ambazo zinafanya watu kujuana kwa urahisi makabila yao katika sehemu za kazi na kuanza kubaguana.

Hivi kama sio ushamba ni kitu gani, ofisi moja lakini kila watu wanazungumza lugha za makabila yao, huo ni ushamba na upumbavu. Sisi tukirudi vijijini kwetu tunazungumza lugha zetu za kikabila, sio ofisini ambako ni mchanganyiko wa makabila tofauti.

Kuhusu Magufuli Na watanzania wengi, English is a Language or teaching, kuna wakenya wsmesomea China, urusi au Japan kwa kutumia lugha za nchi hizo, wanefauli degree zao na kurudi nchini mwenu, kamwe hawazitumii tena hizo lugha na hakuna mtu anauliza kama walifaulu vipi masomo yao.

Ukweli ni kwamba ninyi wakenya ni watumwa wa kimawazo, ninyi bado ni watumwa wa kifikra, bado kwenu mzungu ni zaidi ya MUNGU.

Kenya ndio taifa pekee Africa ambalo halijajitawala, You Are still slaves or UK.
 
Twende taratibu,kutoa hoja kuundwe kamati maalum wapi?
Ndio sababu nilikuuliza ushahidi ili kuanzia hapo ndio nikupeleke taratibu ili upate kuelewa msingi na taratibu za ripoti za CAG.

Ofisi ya CAG ni chombo cha serikali kusimamia matumizi ya serikali. Bunge linaidhinisha matumizi yaliyoombwa na serikali (Bajeti), serikali inachagua watu watakaozisambaza hizo pesa ili zitumika nchini(Wizara ya Fedha).

Ili kujua kama kule ambako fedha zimehitajika kwa mujibu wa bajeti na kama zilivyoombwa na wizara na vitengo mbalimbali, zimepekwa na kutumika kama ipaswavyo, serikali inatafuta watu wa kufuatilia hilo (Ofisi ya CAG).

Ofisi ya CAG jukumu lake kubwa ni kuisaidia serikali kujua kama Wizara ya pesa imepeleka pesa kule zinakohitajika kwa mujibu ya bajeti iliyopitishwa bungeni, na kama hiyo pesa imetumika vizuri.

Kama ikigundulika kuna pesa haikupelekwa, au ilipelekwa lakini haikutumika vizuri, CAG anaipeleka bungeni ambako Wizara ya fedha itajibu kwanini haikupeleka pesa au kwa ile pesa iliyotumika vibaya, kila wizara au idara husika inapaswa kujibi.
 
Tatizo la wakenya ni upeo mdogo waekuchunguza mambo kwa undani, pia mnasumbuliwa na ushamba sana.

Sababu kubwa ya kukataa matumizi ya lugha za asili katika public spaces na katika ofisi za serikali ni mbili
1)Kupambana na ukabila
2)Kujenga umoja wa kitaifa

Tanzania ni nchi pekee hapa Africa ambayo imefanikiwa kumaliza ukabila na kujenga umoja wa kitaifa, tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya kuhimiza matumizi ya lugha moja ya Kiswahili.

Kenya ni nchi inayosumbuliwa sana na tatizo la ukabila na ukanda, na bado Kenya inaruhusu matumizi ya lugha za kikabila ambazo zinafanya watu kujuana kwa urahisi makabila yao katika sehemu za kazi na kuanza kubaguana.

Hivi kama sio ushamba ni kitu gani, ofisi moja lakini kila watu wanazungumza lugha za makabila yao.
Maneno mengiii ila bado hujajibu swali langu kuhusu Magufuli na Phd yake. Elimu yenu ndio ya ovyo, Phd yake ndio ya kimagumashi au alisoma kwa lugha nyingine ambayo sio kiingereza?
 
Ndio sababu nilikuuliza ushahidi ili kuanzia hapo ndio nikupeleke taratibu ili upate kuelewa msingi na taratibu za ripoti za CAG.

Ofisi ya CAG ni chombo cha serikali kusimamia matumizi ya serikali. Bunge linaidhinisha matumizi yaliyoombwa na serikali (Bajeti), serikali inachagua watu watakaozisambaza hizo pesa ili zitumika nchini(Wizara ya Fedha).

Ili kujua kama kule ambako fedha zimehitajika kwa mujibu wa bajeti na kama zilivyoombwa na wizara na vitengo mbalimbali, zimepekwa na kutumika kama ipaswavyo, serikali inatafuta watu wa kufuatilia hilo (Ofisi ya CAG).

Ofisi ya CAG jukumu lake kubwa ni kuisaidia serikali kujua kama Wizara ya pesa imepeleka pesa kule zinakohitajika kwa mujibu ya bajeti iliyopitishwa bungeni, na kama hiyo pesa imetumika vizuri.

Kama ikigundulika kuna pesa haikupelekwa, au ilipelekwa lakini haikutumika vizuri, CAG anaipeleka bungeni ambako Wizara ya fedha itajibu kwanini haikupeleka pesa au kwa ile pesa iliyotumika vibaya, kila wizara au idara husika inapaswa kujibi.

Yote uliandika hapo juu hayana maana na ni porojo.Hayana maana kwa sababu bunge fake haliwezi kuwa ni bunge ambalo linaweza kuisimamia serekali katika matumizi yake.Bunge la Tanzania ni bunge fake kwa sababu wabunge wake hawatokani na mchakato wa kisheria.Bunge la Tanzania ni bunge fake kwa sababu zifuatazo:

1.Bunge la Tanzania limewekwa mfukoni na Rais Magufuli kwa sababu tumeona mara kadhaa akiingilia uhuru wa bunge hilo ikiwa ni pamoja na kumhonga speaker zawadi ya jina la soko.Rais Magufuli alishinikiza soko huko Dodoma liitwe jina la speaker(Ndugai).Hii ni kinyume na sheria,kanuni na taratibu za mihimili.Mambo kama haya yanaondoa uhuru wa bunge kuisimamia serekali.Bunge hili kuwekwa mfukoni na Magufuli imeondoa uhuru wa bunge hilo katika kufanya shughuli zake za kuisimamia serekali kwa usahihi.Ni bunge linalomtumikia Magufuli badala ya kuwatumikia wananchi.

2.Wabunge wa bunge la Tanzania wanatokana na tume ambayo mkurugenzi wake ni Mteule wa Rais Magufuli.Hii imesababisha tume ya uchaguzi kufanya maamuzi kwa maslahi ya Rais Magufuli ikiwa ni pamoja na kulazimisha baadhi ya wabunge wa CCM kupita bila kupingwa bila ya kuzingatia sheria.Wabunge hao ni lazima wataenda kutumikia maslahi ya Magufuli badala ya maslahi ya wananchi.

3.Mchakato mzima wa kuwapata wabunge wa bunge la Tanzania chini ya Rais Magufuli umekuwa ambao hauzingatii sheria.Mawakala wa upinzani wamekuwa wakinyimwa matokeo vituoni,wakinyimwa fomu za viapo,etc.Ni mchakato unaolazimisha kupatikana kwa wabunge wa kwenda kutumikia maslahi ya Magufuli.

Kwa hiyo hili bunge fake ambalo limewekwa mfukoni na Magufuli hatuwezi kusema kuwa linasimamia matumizi ya serekali bali linasimamia maslahi ya Magufuli na ndiyo maana ulichoandika hapo juu ni porojo tu.
 
Tulia wacha kupaparika, Bunge halisimamii matumizi ya serikali bali linapitisha bajeti, ofisi ya CAG ndiyo inayochunguza na kusimamia kama serikali imetumia vizuri Pesa za umma.

Sasa iweje kama bunge lililochaguliwa na wananchi katika kipindi ambacho rais alikua ni Kikwete lakini unaliita fake, je ofisi ya CAG ambayo ipo chini ya rais moja kwa moja unaiamini?
 
Maneno mengiii ila bado hujajibu swali langu kuhusu Magufuli na Phd yake. Elimu yenu ndio ya ovyo, Phd yake ndio ya kimagumashi au alisoma kwa lugha nyingine ambayo sio kiingereza?
Elimu bora ni ile yenye kuweza kuwakomboa watu kutokana na " Social diseases" kama tribalism, ignorance, corruption na disunity, sio kuzungumza kiingereza. Muulize Raila kama alipokwenda kusoma Cuba kama alitumia Kiingereza " Kenya not yet Uhuru".
 
Tulia wacha kupaparika, Bunge halisimamii matumizi ya serikali bali linapitisha bajeti, ofisi ya CAG ndiyo inayochunguza na kusimamia kama serikali imetumia vizuri Pesa za umma.

Sasa iweje kama bunge lililochaguliwa na wananchi katika kipindi ambacho rais alikua ni Kikwete lakini unaliita fake, je ofisi ya CAG ambayo ipo chini ya rais moja kwa moja unaiamini?

Masuala ya bunge halisimamii matumizi ya serekali ni sahihi kabisa lakini hiyo siyo point yangu kuu kwenye comment yangu.Point yangu kuu kwenye comment yangu ni kuwa bunge letu ni fake.Tujikite kwenye point kuu.

Bunge chini ya utawala wa CCM halijawahi kuwa bunge la wananchi tokea uhuru.Wakati wa Kikwete tulikuwa na bunge fake na sasa hivi wakati wa Magufuli tuna bunge fake pia ila ni bunge fake zaidi ya bunge la Kikwete.

CAG nae ni fake ndiyo maana watu wenye akili zao wanapigania katiba mpya.
 
Masuala ya bunge halisimamii matumizi ya serekali ni sahihi kabisa lakini hiyo siyo point yangu kuu kwenye comment yangu.Point yangu kuu kwenye comment yangu ni kuwa bunge letu ni fake.Tujikite kwenye point kuu.

Bunge chini ya utawala wa CCM halijawahi kuwa bunge la wananchi tokea uhuru.Wakati wa Kikwete tulikuwa na bunge fake na sasa hivi wakati wa Magufuli tuna bunge fake pia.

CAG nae ni fake ndiyo maana watu wenye akili zao wanapigania katiba mpya.
Sasa kama CAG ni fake, mbona unashikilia bango na kuamini ripoti yake inayosema 1.5trl, zimepotea?[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwahiyo ripoti iliyotolewa na CAG ambaye ni fake inawezaji kuwa ni ripoti sahihi?, CAG fake Na hata ripoti yake lazima iwe fake.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom