Interview ya Rais Kenyatta katika France24

Interview ya Rais Kenyatta katika France24

Hizi ndio speech zenye tija kwa Taifa na raia wake, sio hizo lip stick speeches hazina mchango wowote kwa wakenya
Hamna kitu hapo!Magufuli is a country bumpkin.Tokea uhuru hakuna Rais ambae amewahi kufanya ufisadi wa TZS 1.5 trillion lakini Magufuli amethubutu!
5430210.jpg
 
Nimeenda majuu. Huwezi kupeleka kiswahili chako majuu. Natumai unaelewa maana ya neno "majuu"
Sasa kwenda majuu kuna faida gani kwako, Uhuru Kenyatta kila siku yuko huko kama alivyofanya Kikwete, zaidi ya kuzidisha madeni ya nchi, Hakuna kingine inasaidia
 
Tunaomba ushahidi kwamba alithibitisha [emoji23][emoji23][emoji23]
ina maana hukufuatilia wala kusoma ripoti ya CAG?!Yaani jambo ambalo lilikuwa ni scandal kila mahali ndani ya nchi na nje ya nchi hadi kuhitajika kujadiliwa bungeni wewe unahitaji ushahidi leo?Are you serious?!Unaishi nchi hii?
 
Sikuwepo nchini kipindi hicho, kama utaweza kunionyesha ushahidi fanya hivyo Tafadhali
 
Ndio huo wa CAG ninaomba uniwekee nione [emoji23][emoji23][emoji23]
Huna akili!Ni sawa na mimi nimwambie mtu aniletee ushahidi kuwa Tanzania ilipata uhuru mwaka 1961.Mimi nitakuwa ni takataka!.Yaani ukilaza wako na uzembe wako wa kutokufuatilia masuala upelekee wewe unipe mimi assignment ambazo ni jukumu lako wewe kufanya?Nikikuita kuwa wewe ni mbumbumbu nitakuwa nimekuonea?Yaani wewe ulale fofofo mimi nikuandalie vifungu vya CAG?!
 
Siku nyengine uwe unajipanga kabla ya kuandika vitu, wacha kuvamia mambo usiyoyajua, ukitaka ushahidi wa siku Tanzania iliyopata Uhuru upo, wewe umeshindwa kuthibitisha maneno yako umebaki kupiga domo, hovyo sana wewe jamaa?
 
Magufuli hata kiingereza hakifahamu. Ataenda huko kula ulimi tu.

The problem of Kenya is the confusion between language and intelligence. English and cognitive capacity. Kenyans believe if you are not fluent in English, then you are less intelligent compared to the fellow who is fluent in the Queen's language.
This is because of two things.
1. Lack of exposure. They have never been in countries which do not use English, but their development is unmatched. I've been in several countries around the world, so talking through experience.
2. The effect of colonialism. Kenya is the best example of how colonialism disrupted the pre existing social, economic, culture etc. It's a typical example of how colonial master managed to brainwash their way of thinking. They never believe in themselves, they are always ready to accept anything that are given from mzungu. I can call it a culture less society. I sometimes compare it with Nigeria, but Nigerians keep their identity, only their problems are corruption and lack of country togetherness.
 
Unaniwekea mavideo ya kisiasa ya nini?!CAG alithibitisha kuwa Magufuli alipiga ufisadi wa TZS 1.5 trillion
Bro tangu ile biashara yenu ya kudhulumu uhai wa albinos ipigwe chini, mbona hasira hivyo. Uchaguzi ndiyo huo unaelekea ukingoni. Biashara bye bye.
 
Huyu jamaa yuko vizuri sana, jameni hata akistaafu itakua muhimu kwa Afrika na dunia kumtafutia kijisehemu aendelee kutumia ubongo wake.
Kenyatta ni world-class President.

Sema bange, gongo na mirungi ndio vinamtepesha sana .

Anyway, amruhusu MM arudi nchini kwake
 
Siku nyengine uwe unajipanga kabla ya kuandika vitu, wacha kuvamia mambo usiyoyajua, ukitaka ushahidi wa siku Tanzania iliyopata Uhuru upo, wewe umeshindwa kuthibitisha maneno yako umebaki kupiga domo, hovyo sana wewe jamaa?
Hovyo ni wewe ambae unataka ushahidi wa ufisadi ambao ulitikisa nchi na hadi kujadiliwa bungeni.Unawezaje kuomba ushahidi wa kitu ambacho kilijadiliwa bungeni?!Ushahidi wangu huu hapa[emoji116]

Link:Upinzani Tanzania wataka majibu kuhusu ziliko trilioni 1.5 | DW | 19.04.2018
1602660051_1602660050-picsay.jpg
 
Back
Top Bottom