Interview ya Rais Kenyatta katika France24

Interview ya Rais Kenyatta katika France24

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
In an exclusive interview with FRANCE 24 while on an official visit to France, Kenya's President Uhuru Kenyatta discussed the main challenges facing him. Asked about the fight against terror, the Kenyan leader denied reports that the US military has sought authorisation to carry out drone strikes inside Kenya. He stressed that if such a request were made, he would refuse it. Kenyatta also addressed the Covid-19 pandemic, Kenya's economic development, as well as a bid to dissolve parliament because of a lack of gender equality.

=======

Kama unajua huelewi kizungu kaa kando. Kama huwezi kuafford bundles kaa kando. Kama una akili finyu kaa kando. Hili ni jukwaa la watu wazima.
 
Na kwa jirani nako kumekuchaa!

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Kunywa pombe (uulevi) ni sawa na kugegeda??

Kila mtu ana starehe zake, kwenu huko nakumbuka mkulu wenu akimshauri kiongozi fulani awe anapiga cha Arusha mara moja moja kitamuwezesha kuwa mkali. Hivyo ina maana mkulu wenu ana uzoefu nacho, haipaswi uwe na mazoea ya kuwahoji wazee wako kuhusu mambo yao binafsi.
 
Maneno mengi ya nini kama Mtz? -- wewe jibu tu, huyo Muheshimiwa kaacha ulevi wa pombe?
 
Raisi Uhuru Kenya ni rafiki wa Tanzania yetu, yeye na Raila Odinga.
 
Kenyatta Anayoyaonge yangekua kweli asee kenya ingekua mbali Sana na anajibu kwa kujiamini...hahaaah tapeli tapeli tu na wanasound balaa
 
Kenyatta Anayoyaonge yangekua kweli asee kenya ingekua mbali Sana na anajibu kwa kujiamini...hahaaah tapeli tapeli tu na wanasound balaa
Nyie wenu hata kuunda sentensi kwa kiingereza ni taabu tupu. Kazi yake ni kusema tu "the the the the".
 
Nyie wenu hata kuunda sentensi kwa kiingereza ni taabu tupu. Kazi yake ni kusema tu "the the the the".
Actually ninamchukia sana Magufuli akitumia maneno ya kiingereza, japo hapa lengo lake lilikua ni kuhakikisha wachina wanasikia.

Ni aibu na ujinga wa hali ya juu sana kwa mtanzania au mkenya kung'ang'ana na kiingereza wakati lugha ya mataifa yetu ni Kiswahili.

Vinchi kama Azerbaijan na Armenia vinatumia lugha zao pamoja na kwamba idadi ya wazungumzaji wa hizo lugha zao duniani kote hawazidi 10M.

Hivi wakenya mnaweza kusimama hadharani na kusema kwamba nini ni jamii iliyoelimika kama bado mnadhani kiingereza ni lugha muhimu kuliko kiswahili?
 
Back
Top Bottom