Interview ya Rais Kenyatta katika France24

Interview ya Rais Kenyatta katika France24

Actually ninamchukia sana Magufuli akitumia maneno ya kiingereza, japo hapa lengo lake lilikua ni kuhakikisha wachina wanasikia.

Ni aibu na ujinga wa hali ya juu sana kwa mtanzania au mkenya kung'ang'ana na kiingereza wakati lugha ya mataifa yetu ni Kiswahili.

Vinchi kama Azerbaijan na Armenia vinatumia lugha zao pamoja na kwamba idadi ya wazungumzaji wa hizo lugha zao duniani kote hawazidi 10M.

Hivi wakenya mnaweza kusimama hadharani na kusema kwamba nini ni jamii iliyoelimika kama bado mnadhani kiingereza ni lugha muhimu kuliko kiswahili?

Kiswahili ni lugha muhimu kwa wenye wanaielewa. Huwezi ongea na mtu kama Trump kiswahili. kiswahili ni lugha muhimu kwa washamba wa East Africa.
 
Cha ajabu wewe hapo hivi majuzi ndio ulikuwa unawakashifu wakenya kwa kuzienzi na kutumia lugha zao asili za kiafrika. Hivi kuna utumwa zaidi ya huo? Watz huwa mmechanganyikiwa sio mchezo,sitashangaa nikisikia kwamba jina lako ni Christopher Jacob au Alex Joseph au hata Jane John kama ilivyo kawaida yenu nyie. Anyway kiingereza na kiswahili zote ni lugha rasmi za taifa la Kenya. Swali langu lilikuwa ni; rais wenu aliwezaje kusoma na kufuzu hadi akapata Phd wakati kiingereza kinampa stress hivyo? Kama Phd ndio feki sema. Au kama kuna option ya kufanya masomo ya level hiyo(O level/undergraduate/masters n.k) kwa kisukuma/kiswahili sema pia.

Sema labda wewe hujawahi ingia kwenye darasa la sayansi tangu uzaliwe.
Yeye kasoma pure science which needs formulae and principles.
 
Sasa kama CAG ni fake, mbona unashikilia bango na kuamini ripoti yake inayosema 1.5trl, zimepotea?[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwahiyo ripoti iliyotolewa na CAG ambaye ni fake inawezaji kuwa ni ripoti sahihi?, CAG fake Na hata ripoti yake lazima iwe fake.[emoji23][emoji23][emoji23]
Bunge kuwa fake au CAG kuwa fake haimaanishi kuwa watakuwa wanafanya mambo mabaya yote kwa asilimia mia moja.Kitu kama hicho hakipo!Hata kwenye nchi ambazo hazina kabisa demokrasia kuna mazuri asilimia chache ambayo yanafanywa na bunge/CAG.Kama unaamini kuwa bunge fake litakuwa linafanya mambo mabaya tu tena kwa asilimia 100 basi utakuwa ni mbumbumbu kwa sababu kitu kama hicho hakina mantic.

Point yangu ilikuwa ni kwamba kwa kuwa tuna bunge fake ambalo kimantic litakuwa linafanya mambo mengi ya hovyo kuliko mambo mazuri kuna uwezekano mkubwa wa zile kamati ulizodai zinapaswa kuundwa isiwezekane zikaundwa au zikaundwa lakini zikatumika kupigania maslahi ya Magufuli zaidi kuliko kupigania maslahi ya wananchi.

Na nimeiamini ripoti ya CAG kwa sababu kama nilivyosema hapo juu,CAG kuwa fake haimaanishi kuwa kila kitu ambacho atakuwa anafanya basi asilimia 100 kitakuwa ni hovyo.Kuna vichache sana atakuwa anafanya kwa maslahi ya wananchi.Mfano huyu CAG fake alipogundua ule ufisadi wa Magufuli wa TZS 1.5 trillion ni miongoni mwa machache mazuri aliyofanya lakini asingekuwa fake angegundua matrillion mengi zaidi ya ufisadi wa Magufuli.
 
Mimi huwa sinaga kizungu. Kwani vp?
😛 😝😂😜
Hiki kizungu ulichoangusha hapa ni hatari sana mzee. Hio haujaisomea katika saint Kayumba primary school. Hio itakuwa umeisomea katika academy au university
 
Elimu bora ni ile yenye kuweza kuwakomboa watu kutokana na " Social diseases" kama tribalism, ignorance, corruption na disunity, sio kuzungumza kiingereza. Muulize Raila kama alipokwenda kusoma Cuba kama alitumia Kiingereza " Kenya not yet Uhuru".
Raila alisoma kule East Germany, sio Cuba, kutoka mwaka wa 1965-70 na hadi sasa hivi anaongea kijerumani 'fluent'. Hebu msikize mwenzake Magufuli na kiingereza chake ndomboloo, 'cha Phd'. [emoji1]
 
Hiki kizungu ulichoangusha hapa ni hatari sana mzee. Hio haujaisomea katika saint Kayumba primary school. Hio itakuwa umeisomea katika academy au university

Sasa bro twende tujikite kwenye mada. Achana na lugha. Je huo ni ukweli?
 
Kwani unadhani chemical forumula huwa zinaandikwa kwa Kisukuma au Kimaharagwe?

Pale ni facts and figures.
Na rais wetu kwa ku retrieve takwimu kutoka kichwani, ni hatari. Yuko vizuri kupita kiasi. Ndiyo maana chemistry alikuwa akifaulu kama anakunywa maji.
Yeye issue za pH scale, valency, atomic number, atomic mass, esterification, neutralization, etc zinatiririka sana.
 
Kiswahili ni lugha muhimu kwa wenye wanaielewa. Huwezi ongea na mtu kama Trump kiswahili. kiswahili ni lugha muhimu kwa washamba wa East Africa.
Ukitoa wajinga na watumwa kama wakenya, nchi zote wanatumia lugha zao. Kwahiyo ninyi kwasababu ya Trump na USA ndio mnadharau lugha yenu, Who is a Trump?.

Wakenya ninyi ni wapumbavu sana, nchi zote zikienda UN zinatumia lugha zao, nchi ndogo kwa kila kitu, idadi ya watu, uchumi na Eneo ni ndogo kuliko Kenya lakini hawatumii kiingereza hata wakienda kukutana na huyo mume wenu Trump bado zinatumia lugha zao.

Ninyi pumbavu na masikini wa mawazo ndio mnawanyenyekea na kuwaogopa wazungu kiasi cha kudharau lugha yenu, Slave Nation, stupid People.
 
Pale ni facts and figures.
Na rais wetu kwa ku retrieve takwimu kutoka kichwani, ni hatari. Yuko vizuri kupita kiasi. Ndiyo maana chemistry alikuwa akifaulu kama anakunywa maji.
Yeye issue za pH scale, valency, atomic number, atomic mass, esterification, neutralization, etc zinatiririka sana.
Sema wewe ndio unayafahamu haya mambo, sio yeye. Wewe ndio yanakutiririka.
 
Bunge kuwa fake au CAG kuwa fake haimaanishi kuwa watakuwa wanafanya mambo mabaya yote kwa asilimia mia moja.Kitu kama hicho hakipo!Hata kwenye nchi ambazo hazina kabisa demokrasia kuna mazuri asilimia chache ambayo yanafanywa na bunge/CAG.Kama unaamini kuwa bunge fake litakuwa linafanya mambo mabaya tu tena kwa asilimia 100 basi utakuwa ni mbumbumbu kwa sababu kitu kama hicho hakina mantic.

Point yangu ilikuwa ni kwamba kwa kuwa tuna bunge fake ambalo kimantic litakuwa linafanya mambo mengi ya hovyo kuliko mambo mazuri kuna uwezekano mkubwa wa zile kamati ulizodai zinapaswa kuundwa isiwezekane zikaundwa au zikaundwa lakini zikatumika kupigania maslahi ya Magufuli zaidi kuliko kupigania maslahi ya wananchi.

Na nimeiamini ripoti ya CAG kwa sababu kama nilivyosema hapo juu,CAG kuwa fake haimaanishi kuwa kila kitu ambacho atakuwa anafanya basi asilimia 100 kitakuwa ni hovyo.Kuna vichache sana atakuwa anafanya kwa maslahi ya wananchi.Mfano huyu CAG fake alipogundua ule ufisadi wa Magufuli wa TZS 1.5 trillion ni miongoni mwa machache mazuri aliyofanya lakini asingekuwa fake angegundua matrillion mengi zaidi ya ufisadi wa Magufuli.
Sasa ni yupi wa kuamua na kuchambua mazuri na mabaya yanayofanywa na CAG?, kwasababu inaonekana wewe unatafasiri ripoti itakayokua inashutumu serikali wewe unatafsiri kwamba hapo ni sawa, ila ripoti itakayopongeza serikali unadai kwasababu CAG ni fake

Ni wazi kwamba unaegemea upande mmoja huwezi kuaminika katika maoni yako. Lazima uchague upande mmoja, kukubaliana na CAG na mfumo wake wa utendaji wa kazi, au kunkataa CAG na mfumo wake mzima hadi kupatikane katiba mpya. Huwezi kuwa unadokoa yale maeneo unayoyapenda lakini kwengine unapinga, hiyo hakubaliki.
 
Raila alisoma kule East Germany, sio Cuba, kutoka mwaka wa 1965-70 na hadi sasa hivi anaongea kijerumani 'fluent'. Hebu msikize mwenzake Magufuli na kiingereza chake ndomboloo, 'cha Phd'. [emoji1]
Weka tumsikilize Raila kama ataongea fluent kijerumani, ninakuhakikishia, Raila sasa hivi ameshasahau 60% ya Kijerumani, lugha Toyote usipoitumia mara kwa mara inakufa.

Sisi kizungu ukitoka nje ya darasa hatukihitaji kabisa, sio kama ninyi watumwa eti mnamshangaa mtu akishindwa kuzungumza kiingereza.

Kuna wanasiasa wa Kenya wengi sana hawajui kiswahili, lakini kwa upumbavu wenu mnaona is Ok, lakini akishindwa kizungu mnashangaa" You are more than stupid"
 
Raila alisoma kule East Germany, sio Cuba, kutoka mwaka wa 1965-70 na hadi sasa hivi anaongea kijerumani 'fluent'. Hebu msikize mwenzake Magufuli na kiingereza chake ndomboloo, 'cha Phd'. [emoji1]
Kwahiyo mwafrika kujua kiingereza kwa kiasi hiki haitoshi hadi azungumze kama Trump?. Pumbavu sana ninyi.
 
Back
Top Bottom