Interview ya Rais Kenyatta katika France24

Interview ya Rais Kenyatta katika France24

Sasa ni yupi wa kuamua na kuchambua mazuri na mabaya yanayofanywa na CAG?, kwasababu inaonekana wewe unatafasiri ripoti itakayokua inashutumu serikali wewe unatafsiri kwamba hapo ni sawa, ila ripoti itakayopongeza serikali unadai kwasababu CAG ni fake

Ni wazi kwamba unaegemea upande mmoja huwezi kuaminika katika maoni yako. Lazima uchague upande mmoja, kukubaliana na CAG na mfumo wake wa utendaji wa kazi, au kunkataa CAG na mfumo wake mzima hadi kupatikane katiba mpya. Huwezi kuwa unadokoa yale maeneo unayoyapenda lakini kwengine unapinga, hiyo hakubaliki.

Kwanza kabisa tukubaliane kuwa kwa kuwa CAG ni fake basi probability ya kufanya utumbo ni kubwa kuliko probability ya kufanya mazuri.Kwa kuwa inajulikana wazi kuwa uwezekano wa kufanya mambo ya utumbo ni mkubwa kuliko uwezekano wa kufanya mambo mazuri basi nina haki ya kufanya tafiti na kuibua yale mazuri anayofanya kama vile nilivyofanya tafiti na kuibuka na zuri alilofanya la kufichua ufisadi wa karne wa Magufuli wa TZS 1.5 trillion.
 
Mimi pia nimefanya utafiti ambao nimegundua kwamba CAG ni fake hafai kuaminika hata ile ripoti ya 1.5trl. Ni muendelezo huo huo wa kuwa ni fake, ndio sababu alipoulizwa mbele ya rais alikana na kukataa kwamba hakuna pesa iliyopotea, CAG fake na ripoti pia ni fake
 
Back
Top Bottom