Interview ya TRA ni lini?

Interview ya TRA ni lini?

Utumishi ndio watu pekee wanaoeleweka Unaitwa interview wanasimamia show ukifauru haina longo longo unapewa ajira chaap....sasa hizi taasisi kujidai eti wanaajiri wenyewe ni Nepotism tu hakuna lolote huko... Hizi kazi wawaachie UTUMISHI peke yake
 
Upo sahihi mkuu.
 
Back
Top Bottom