Kwakua kwenye script ya kujibia umeandika namba haina shida ila hawaruhusu kuandika jina popote bora kwenye hizo za maswali usingeandika chochote , kuandika jina inawezwa kutafsiriwa vibaya . So hapo ni 50 kwa 50 wanaweza wakakuchinjia baharini kwa kutokufuata maagizo au ukapewa maksi zako hasa kama wakati wa kusahihisha wanatenganisha karatasi ya maswali na majibuHabari naomba msaada wa mawazo nimefanya interview ya utumishi ila nilkuwa na presha Kwa sababu ndo interview yangu ya Kwanza ,kwenye karatasi nillizojibia niliandika namba ya usahili ila kwenye question paper niliyoattach nilijichanganya Nikaandika jina badala ya namba, je hapo naweza nisipate majibu nikakatwa kwa sababu ya kuandika jina?