Interview ya UTUMISHI

Interview ya UTUMISHI

luky12

Senior Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
147
Reaction score
401
Habari naomba msaada wa mawazo nimefanya interview ya utumishi ila nilkuwa na presha Kwa sababu ndo interview yangu ya Kwanza ,kwenye karatasi nillizojibia niliandika namba ya usahili ila kwenye question paper niliyoattach nilijichanganya Nikaandika jina badala ya namba, je hapo naweza nisipate majibu nikakatwa kwa sababu ya kuandika jina?
 
Bado una pressure mamaa
Tulia we ushafanya sehem yako
Subiri
 
Duh matokeo yote yanatoka kwa namba ,kama watachukua muda watakujua ila kama ndo ile fasta fasta ni hatari.

inakuwaga hivi kweny tangazo wanasepa kabisa watu wanakili ile namba baada ya kuwa selected .
 
Habari naomba msaada wa mawazo nimefanya interview ya utumishi ila nilkuwa na presha Kwa sababu ndo interview yangu ya Kwanza ,kwenye karatasi nillizojibia niliandika namba ya usahili ila kwenye question paper niliyoattach nilijichanganya Nikaandika jina badala ya namba, je hapo naweza nisipate majibu nikakatwa kwa sababu ya kuandika jina?
Kwakua kwenye script ya kujibia umeandika namba haina shida ila hawaruhusu kuandika jina popote bora kwenye hizo za maswali usingeandika chochote , kuandika jina inawezwa kutafsiriwa vibaya . So hapo ni 50 kwa 50 wanaweza wakakuchinjia baharini kwa kutokufuata maagizo au ukapewa maksi zako hasa kama wakati wa kusahihisha wanatenganisha karatasi ya maswali na majibu
 
Kwani saili zilizofanyika Jana zishatoka majibu wakuu..?
 
Habari , Mimi nilituma maombi soka beti kwenye nafasi ya call center agent ,Sasa wamenipigia simu na kuniambia nimechaguliwa kwenye interview ,Sasa sijawahi fanya interview yeyote maana Mimi ni fresher graduate ,Sasa naomba kama Kuna mtu anaelewa maswali ya interview ya nayo husu sokabeti call center agent au mwenye wazo au ushauri anakaribishwa anisaidie
 
Back
Top Bottom