Habari naomba msaada wa mawazo nimefanya interview ya utumishi ila nilkuwa na presha Kwa sababu ndo interview yangu ya Kwanza ,kwenye karatasi nillizojibia niliandika namba ya usahili ila kwenye question paper niliyoattach nilijichanganya Nikaandika jina badala ya namba, je hapo naweza nisipate majibu nikakatwa kwa sababu ya kuandika jina?