Interview ya WCB-Wasafi baada ya kufanya usajili mpya siku ya leo

Siyo mbaya Nasibu kutuletea chipukizi mpya tofauti na wengi walivotegemea.
Mshkaji anaitwa Lavalava ana ngoma inaitwa Bora tuachane
Binafsi naona n mwanzo mzur Voice iko tofaut na yeyot pale WCB.
 
Nimemsikia ila naona anaimba melody za kina KAYUMBA BSS ( BongoFleva - Taarabu ) labda tumpe muda
 
Nina sababu moja tu ya kusema huyu msanii mpya wcb atafika mbali sana kisanaa nayo ni kwa sababu anaonekana ni kijana mwenye bidii na yupo tayari kujifunza.
Dogo aliimba remix ya wimbo wa diamond "utanipenda" nilimdharau sana lakini leo nimesikia huu wimbo wake mpya wa "tuachane" kijana ameimprove sana akiendelea hivi atawapiku akina rayvan pale wcb
 
Kwenye uimbaji yuko vizuri lakini kwenye utunzi hapana maana nimeusikiliza huo wimbo wake unaitwa "bora tuachane".

Ukisikiliza kwa makini, jamaa analalamika ameachwa na binti hataki kumrudia tena. Alafu hapo hapo anasema hawezi panda mshkaki.

Ila nimependa wimbo wake japo una mapungufu ya hadith kutokueleweka analilia nini. Kuachana au kurudiwa
 
Nina sababu moja tu ya kusema huyu msanii mpya wcb atafika mbali sana kisanaa nayo ni kwa sababu anaonekana ni kijana mwenye bidii na yupo tayari kujifunza.
Dogo aliimba remix ya wimbo wa diamond "utanipenda" nilimdharau sana lakini leo nimesikia huu wimbo wake mpya wa "tuachane" kijana ameimprove sana akiendelea hivi atawapiku akina rayvan pale wcb
Mara mia ya Harmorapa.kuliko huyo lavalava

Hapa uongozi wa WCB wamezingua sana
 
Tafuta wimbo wake na young dee ndio utamjua vizuri, nadhani alikosa management nzuri tu lakini amesimama vizuri uimbaji
 
Back
Top Bottom