Interview ya WCB-Wasafi baada ya kufanya usajili mpya siku ya leo

Interview ya WCB-Wasafi baada ya kufanya usajili mpya siku ya leo

Mbona mnakuwaga mnasamanisha kila kitu na wcb ?hivi hakuna wengin wakali wao ?
 
Kwenye uimbaji yuko vizuri lakini kwenye utunzi hapana maana nimeusikiliza huo wimbo wake unaitwa "bora tuachane".

Ukisikiliza kwa makini, jamaa analalamika ameachwa na binti hataki kumrudia tena. Alafu hapo hapo anasema hawezi panda mshkaki.

Ila nimependa wimbo wake japo una mapungufu ya hadith kutokueleweka analilia nini. Kuachana au kurudiwa
Utunzi sio ishu sana ataandikiwa coz hata wasanii wa amerika wanaandikiwa itakua Bongo...
 
Kampuni ya Burudani Tanzania WCB iliyo chini ya mwanamuziki namba moja Tanzania na Afrika Mashariki, leo inatarajia kutambulisha msanii wao mpya.

Kampuni hiyo kwa sasa ina wasanii kama Diamond, Queen Darlin, Mavoko, Ray Vany, Harmonize.


style yake yakuimba kama Analia kama tunda
 
Utunzi sio ishu sana ataandikiwa coz hata wasanii wa amerika wanaandikiwa itakua Bongo...
Bongo ukiandikiwa unaonekana hujui lolote...Yaani Watu wanaufanya muziki uwe mgumu kuliko hali halisi wakati hata Michael Jackson alikuwa akiandikiwa nyimbo
 
Back
Top Bottom