Kwahiyo alikiba amekubali kujiunga na WCB?Karibu sana Alikiba kwenye hela
Nimemsikia ila naona anaimba melody za kina KAYUMBA BSS ( BongoFleva - Taarabu ) labda tumpe mudaSiyo mbaya Nasibu kutuletea chipukizi mpya tofauti na wengi walivotegemea.
Mshkaji anaitwa Lavalava ana ngoma inaitwa Bora tuachane
Binafsi naona n mwanzo mzur Voice iko tofaut na yeyot pale WCB.
I guess Young killer
Itakuwa young killer
Yeah ndo yule yulelavalava_yule aliyefanya refix ya utanipendaa?
Kwenye uimbaji yuko vizuri lakini kwenye utunzi hapana maana nimeusikiliza huo wimbo wake unaitwa "bora tuachane".Nina sababu moja tu ya kusema huyu msanii mpya wcb atafika mbali sana kisanaa nayo ni kwa sababu anaonekana ni kijana mwenye bidii na yupo tayari kujifunza.
Dogo aliimba remix ya wimbo wa diamond "utanipenda" nilimdharau sana lakini leo nimesikia huu wimbo wake mpya wa "tuachane" kijana ameimprove sana akiendelea hivi atawapiku akina rayvan pale wcb
Mara mia ya Harmorapa.kuliko huyo lavalavaNina sababu moja tu ya kusema huyu msanii mpya wcb atafika mbali sana kisanaa nayo ni kwa sababu anaonekana ni kijana mwenye bidii na yupo tayari kujifunza.
Dogo aliimba remix ya wimbo wa diamond "utanipenda" nilimdharau sana lakini leo nimesikia huu wimbo wake mpya wa "tuachane" kijana ameimprove sana akiendelea hivi atawapiku akina rayvan pale wcb
Unaitwaje huo wimbo?Tafuta wimbo wake na young dee ndio utamjua vizuri, nadhani alikosa management nzuri tu lakini amesimama vizuri uimbaji