shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Wimbo unaitwajeTafuta wimbo wake na young dee ndio utamjua vizuri, nadhani alikosa management nzuri tu lakini amesimama vizuri uimbaji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hater kwenye ubora wakoWamesajili mpiga kelele mpya.
[emoji2][emoji2][emoji2]Mara mia ya Harmorapa.kuliko huyo lavalava
Hapa uongozi wa WCB wamezingua sana
hhahahAtakuwa bitchuka naona..
Rafiki bonge mambo?[emoji1][emoji1][emoji1]hhahah
Rafiki ujue umenishindaRafiki bonge mambo?[emoji1][emoji1][emoji1]
Utunzi sio ishu sana ataandikiwa coz hata wasanii wa amerika wanaandikiwa itakua Bongo...Kwenye uimbaji yuko vizuri lakini kwenye utunzi hapana maana nimeusikiliza huo wimbo wake unaitwa "bora tuachane".
Ukisikiliza kwa makini, jamaa analalamika ameachwa na binti hataki kumrudia tena. Alafu hapo hapo anasema hawezi panda mshkaki.
Ila nimependa wimbo wake japo una mapungufu ya hadith kutokueleweka analilia nini. Kuachana au kurudiwa
style yake yakuimba kama Analia kama tundaKampuni ya Burudani Tanzania WCB iliyo chini ya mwanamuziki namba moja Tanzania na Afrika Mashariki, leo inatarajia kutambulisha msanii wao mpya.
Kampuni hiyo kwa sasa ina wasanii kama Diamond, Queen Darlin, Mavoko, Ray Vany, Harmonize.
Bongo ukiandikiwa unaonekana hujui lolote...Yaani Watu wanaufanya muziki uwe mgumu kuliko hali halisi wakati hata Michael Jackson alikuwa akiandikiwa nyimboUtunzi sio ishu sana ataandikiwa coz hata wasanii wa amerika wanaandikiwa itakua Bongo...