Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

mkuu hiyo hash tag heheh
 
Binafsi sikufurahishwa na majibu aliyokuwa akiyatoa, mimi ni shabiki wa Alikiba ila kwa upande wa interview Diamond yupo juu. Kwanza huyu jamaa kila swali analoulizwa hataki kujibu mpaka wambembeleze Kama mtoto mdogo na akijibu anatoa majibu ya ajabu ajabu ambayo hayana mpangilio. Alikiba badilika sisi kama mashabiki zako unatuangusha. Jifunze techniques za kujibu maswali.
 
Ananyodo ile mbaya, sidhani hata kina Ruge wanaombeba wanafurahia namna ya ujibuji wake maswali. Jana anaulizwa maswali na Shilawadu anaulizia ubuyu unapatikana wapi, daah'
 
Ni kweli Kiba anazengua ,usiri katika mambo yako kama binadam ni vzr ila kuna mambo kama msanii lazima uwe open ili watu wakufaham hasa washabiki zako na wajifunze kutoka kwako.
Yaani yeye hata kusema kama ana nyumba/amehamia nyumbani kwake ni ishu, hadi niliwahurumia shilawadu wanabeba zigo lisilobebeka
 
Kama alikuwa hataki kuhojiwa mambo yake binafsi mkewe alimpeleka LeoTena kufanya nini? Shilawadu alienda kufanya nini?
 

Safi
 
Shule tatizo
 
Tuna siri nyingi nyng. Tuna collabo na Chris brown, etc lakn hatupend kutangaza kama wcb [HASHTAG]#MashabikiWaKing[/HASHTAG] 😀🙂
 
Ahahaaaah...
Uko sahihi Kiongozi..!
 
kama mkifuatilia vipindi vya mikasi vya salama jabir,kuna kipindi chake kimoja salama alimuacha akawa anahojiwa na vinyozi tu.na alipoondoka salama hakutaka hata kumuaga.ngoja niitafute niione vizuri u tube
[emoji23][emoji23]itafute mkuu ,kale katoto kalimbukeni sana ndio maana kame-stuck kimuziki sehemu moja miaka nenda rudi hasogei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…