Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

Alikiba anajua kweli kuwafunga midomo wabongo maana umbea ndio mlozoea, lol

Mtu eti anataka kujua alimtongozaje tongozaje, ilichukua muda gani kukubali, walilala kabla ya ndoa au baada, atamruhusu kuoa mke mwingine,

Upuuzi Upuuzi tu na angewachekea hapo wangemuuliza hadi anampigaga bao ngapi kwa siku.

Go Kiba Go.
 
Alikiba hana confidence...

Zaidi ya hapo mtaishia kumlaumu bure tu
 
achaneni na interviews za watu, kuna vitu vya msingi vya kufanya ka kufuatilia ili siku moja na wewe watoto wakae wanakuona kwenye TV ukifanyiwa interview.

majivuno ni sahihi maana maswali maswali ya watangazaji hayamuongezei kitu maishani, watu mnakuwa disappointed kwa kuwa mnapenda kufuatilia maisha ya watu, kujua fulani kafanya nini
 
achaneni na interviews za watu, kuna vitu vya msingi vya kufanya ka kufuatilia ili siku moja na wewe watoto wakae wanakuona kwenye TV ukifanyiwa interview.

majivuno ni sahihi maana maswali maswali ya watangazaji hayamuongezei kitu maishani, watu mnakuwa disappointed kwa kuwa mnapenda kufuatilia maisha ya watu, kujua fulani kafanya nini
Kwani alienda redioni kufanya nini? Si kuulizwa maswali na watangazaji au...
 
Naunga hoja mkono
SWALI MTANGAZAJI: Mlikutanaje na Ali Kiba
ALI KIBA: Usijibu hilo swali utanianika
MTANGAZAJI: Tunataka kujua tu Ally
ALI KIBA: Hapana usijibu mwanaume ndo anamfata mwanamke

Ningekua mimi ningemfukuza na hiyo sikukuu ingeishia hapo

Kinachomuweka Kiba ni roho mbaya za wabongo kwa Diamond ila Kiba kwa domo ana mengi ya kujifunza [HASHTAG]#Mofayagwanyoko[/HASHTAG]
Niliona hio clip kwa Millard Ayo. Niliboeka sana na ile interview. Kwa nini ajibu yeye maswali anayoulizwa mkewe?
 
M
Tatizo la wabongo tunapenda kujua jirani kala nini ili tumfananishe.

Safi sana ali kiba. Kinachokuweka juu, ni huko kutoweka kila kitu wazi. Kila mtu anabaki kuongea lake huku akitafuta ukweli ni upi
Mkuu kila kipindi cha redio/TV kina maudhui yake.. Personal life ya msanii ni moja ya maudhui hayo
 
Kwa hiyo kwakuwa amekuja leo tena unazani unahaki ya kumuuliza maswali ya ndani kabisa.alikuja kuhojiwa kuhusu mziki wake..sasa we nijibu ni swali gani aliloulizwa kuhusu mziki wake hakulijibu???
Kila kipindi kina maudhui yake makuu.. Mambo ya muziki aliulozwq kwenye XXL na akatoa mziki mpya!
 
Watazamaji na wasikilizaji wa interviews tunakua mambo yetu tunayotaka kusikia hasa kusikia msaani anajianika kila kitu kuhusu yeye yaani kama vile Shilole anavyosema "nimepigwa makofi jana na mume wangu" au tusikie mimi nimemkaza Wolper bila kondomu tofauti na hapo lazima tuone interview haina amsha amsha kabisa wengi jana tulitaka kusikia Kiba aliachana vipi na Jokate,tulitaka tuone ule mjengo na magari yake,tulitaka atangaze na sarafu ngapi bank ingekua burudani angejigamba kua ana pesa kuliko msanii yoyote bongo au angalau basi angetuadithia utamu wa binti wa Mombasa ila yote holaaaaaaaa.
Kama unasubiri Kiba aanike kuhusu maisha yake binafsi ni heri kubadilisha channel tu uangalie mambo mengine yule mwehu hata umbane vipi bado atakomaa ana gari 1 wakati wambea wanayaona mengine [emoji23][emoji23] aya mambo ya kujianika hadi chumbani wanashikana shikana na mademu zao tusubiri interview za Harmonize au Gigy Money na bwana ake.
 
Kila kipindi kina maudhui yake makuu.. Mambo ya muziki aliulozwq kwenye XXL na akatoa mziki mpya!
So leo team domo mnataka kumpangia msanii wetu mambo ya kuzungumza....hapana aisee hizo mambo za kuropoka wasichana mliowagegeda tunawaachia hukohuko wcb.tusipangiane vitu vya kuongea kwenye interview kama sisi tusivyowapangia
 
Kwakweli i love kiba the way anavyoyafanya maisha yake binafsi kuwa private.

Nahisi pia kakulia katika misingi ya dini,japo hatimilizi yote lakini yale ayaonayo yako ndani ya uwezo wake anayatilia maanani.
Makuzi na malezi ya *****,koo iliomzunguka,ndugu na jamaze anawaconsider sanaaa.

Nakupenda kiba that's all
 
Tofauti na masuper wengine ambao ukiangalia interviews zao mtazamaji utajifunza kitu kutoka kwake, na ataku-inspire kwa namna moja au nyingine.
Huyu mheshimiwa, kati ya maswali 10 atakayoulizwa atajibu 2 tu! Yeye kwake kila kitu nni PERSONAL... Aaagrh, wewe ni msanii mkubwa bwana, watu wanapenda kujua na kujifunza kutoka kwako including some of your personal life stories (Sio kila kitu offcourse cha kuweka hadharani) lkn kwako ni too much!
Sasa umejipeleka mwenyewe kwenye vipindi kama LEO TENA na SHILAWADU, na unajua kabisa aina za interview ambazo huwa zinafanyika kule, matokeo yake kila saa unatishia kuondoka... THIS IS TOO LOW BROTHER!
Naona Gea Habibu umekuja kutoa masikitiko yako baada ya intavyuu yenu kudoda hahahahaaa mlishazoea kwa Diamond mzee wa kujiachia na kufunguka huo ndio uzuri wa Chibu hafichi anajiachia tu...na uzuri wa Ali ana mipaka ya kuzungumza japo naye anaficha mambo hata yasiyotakiwa kufichwa hata ukimuuliza kuwa kwa nini umeota ndevu atasema hiyo ni personal....lack of exposure though he z a big star!
 
Sasa wewe habari za nyumba yake zinakuhusu nini....mwisho wa siku utataka kujua anamgegeda wife wake mara ngapi kwa wiki...hakuna haja ya mapovu nyie endeleeni kushabikia hao wenye mikogo ya ki star alikiba tutamshabikia sisi tusiopenda mikogo ya ki star tunaopenda mziki mzuri...mziki unaoweza kukaa na babu bibi na mama sebuleni mkaangalia video yake...nyie endeleeni kushabikia video za hao wanaochezea matako ya dada zenu hadharani...hao wanaorecord porn na kuzirusha kwenye mitandao alafu anatokea mtu kama wewe anasema hiyo ni mikogo ya ki star
Kweli bro kipa ni level nyingine. Huwezi kumkuta na kiduku.getleman
 
Kweli bro kipa ni level nyingine. Huwezi kumkuta na kiduku.getleman
Kwani mnyoa kiduku na Mpaka rangi nywele huyo kiba na wengineo wa aina ya yake,Rangi zinawa Categorize vipi heshima?.. ...labda utuambie hapa si mahaba yanayokufanya ujipofushe kwa mengine.
 
Kwani mnyoa kiduku na Mpaka rangi nywele huyo kiba na wengineo wa aina ya yake,Rangi zinawa Categorize vipi heshima?.. ...labda utuambie hapa si mahaba yanayokufanya ujipofushe kwa mengine.
We kunguru kiba sio saizi yako.
 
Back
Top Bottom