Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

We kunguru kiba sio saizi yako.
Peleka uharo wako wa kibata kwake huko,mna mahaba ya kimalaya ,wivu na Roho mbaya kwa Walio wazidi vyote na huo ndio tunasema UCHAWI....mtakufa VIHORO huku mnasononeka .....Msubiri Mapenzi ya mungu tu kwa Kijana wa watu Diamond lakini si kwa Mapenzi yenu na kituo chenu cha Clouds,mmeshafeli.
 
Tatizo unataka kusikia unachokitaka wewe. Ukijiweka kusikiliza anachokisema muhusika hutaboreka.
 
Peleka uharo wako wa kibata kwake huko,mna mahaba ya kimalaya ,wivu na Roho mbaya kwa Walio wazidi vyote na huo ndio tunasema UCHAWI....mtakufa VIHORO huku mnasononeka .....Msubiri Mapenzi ya mungu tu kwa Kijana wa watu Diamond lakini si kwa Mapenzi yenu na kituo chenu cha Clouds,mmeshafeli.
Una joto wewe.
 
Tofauti na masuper wengine ambao ukiangalia interviews zao mtazamaji utajifunza kitu kutoka kwake, na ataku-inspire kwa namna moja au nyingine.
Huyu mheshimiwa, kati ya maswali 10 atakayoulizwa atajibu 2 tu!

Yeye kwake kila kitu nni PERSONAL... Aaagrh, wewe ni msanii mkubwa bwana, watu wanapenda kujua na kujifunza kutoka kwako including some of your personal life stories (Sio kila kitu off course cha kuweka hadharani) lkn kwako ni too much!

Sasa umejipeleka mwenyewe kwenye vipindi kama LEO TENA na SHILAWADU, na unajua kabisa aina za interview ambazo huwa zinafanyika kule, matokeo yake kila saa unatishia kuondoka...

THIS IS TOO LOW BROTHER!
TOO LOW INDEED!!!!
 
Weken kavideo basi kusuport hii habar aisee, maana wengine hivyo vipindi tajwa hapo juu hua hata sina muda navyo kabisa aisee,
huna mda navyo af unataka uwekewe "kavideo" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naunga hoja mkono
SWALI MTANGAZAJI: Mlikutanaje na Ali Kiba
ALI KIBA: Usijibu hilo swali utanianika
MTANGAZAJI: Tunataka kujua tu Ally
ALI KIBA: Hapana usijibu mwanaume ndo anamfata mwanamke

Ningekua mimi ningemfukuza na hiyo sikukuu ingeishia hapo

Kinachomuweka Kiba ni roho mbaya za wabongo kwa Diamond ila Kiba kwa domo ana mengi ya kujifunza [HASHTAG]#Mofayagwanyoko[/HASHTAG]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]et na sikukuu ingeishia hapo...mechekaaaa
 
Nina kinyaa na Machoko hata unilipe kiasi gani ili nikupige mashine siwezi,kambembeleze tu Kiba wako kwa mara nyingine labda atakuonea imani ulijieleza atakupa haki yako,mi siwezi kukuingiza.
Unaonekana una katobo
 
Alikiba anajua kweli kuwafunga midomo wabongo maana umbea ndio mlozoea, lol

Mtu eti anataka kujua alimtongozaje tongozaje, ilichukua muda gani kukubali, walilala kabla ya ndoa au baada, atamruhusu kuoa mke mwingine,

Upuuzi Upuuzi tu na angewachekea hapo wangemuuliza hadi anampigaga bao ngapi kwa siku.

Go Kiba Go.
Kama ni maswali ya namna hii bora hakujibu, tatizo hata hao watangazaji wetu vimeo, wanauliza udaku na ujinga. Coz watanzania wanapenda umbea na udaku ndio maana wengi wamechukia.

N.B: Sijasikiliza hiyo interview!
 
Sio majivuno ya kishamba.

Ally ana limited exposure kwenye mambo mengi ukijumlisha na shule ndogo unaona kabisa tatizo alilonalo.

Mtu anaweza kua na shule ndogo ila akawa na expisure kubwa kama Diamond, lazima atabadilika na uwezo wake wa kuelewa mambo utapanuka. Hata waswahili husema kuzaliwa mjini ni sawa na kusoma form six, sio kwamba mjini kuna elimu ya bure, hapana, exposure inayotokana na mazingira ya mjini sio sawa na bush.

Ally ni mswahili na hataki uswahili umuache, hakuna tofauti kati ya Ally na Hamorapa, wote wana majina makubwa ila limited exposure.

Sio kwamba Ally anaringa, hapana, ni ushamba ukijumlishwa na uelewa mdogo wa mambo kuhusiana na hadhi yake.

Ushamba ni mzigo.
Nishasema sana hili, team kiba wakaniparamia
 
Kiba is a gentleman, sifatilii sana mziki lakini privacy itafanya ndoa yake idumu. Shida tunapenda umbea na udaku, vile hatujajua "walikutana vipi" watu wamekasirika.
 
Binafsi sikufurahishwa na majibu aliyokuwa akiyatoa, mimi ni shabiki wa Alikiba ila kwa upande wa interview Diamond yupo juu. Kwanza huyu jamaa kila swali analoulizwa hataki kujibu mpaka wambembeleze Kama mtoto mdogo na akijibu anatoa majibu ya ajabu ajabu ambayo hayana mpangilio. Alikiba badilika sisi kama mashabiki zako unatuangusha. Jifunze techniques za kujibu maswali.
Hv anaijua JF?
 
Back
Top Bottom