chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
YOOOOOOOOO,POP INHiyo lugha ilikuja na meli
[emoji23] [emoji23] [emoji23]YOOOOOOOOO,POP IN
Kwani alienda redioni kufanya nini? Si kuulizwa maswali na watangazaji au...achaneni na interviews za watu, kuna vitu vya msingi vya kufanya ka kufuatilia ili siku moja na wewe watoto wakae wanakuona kwenye TV ukifanyiwa interview.
majivuno ni sahihi maana maswali maswali ya watangazaji hayamuongezei kitu maishani, watu mnakuwa disappointed kwa kuwa mnapenda kufuatilia maisha ya watu, kujua fulani kafanya nini
Niliona hio clip kwa Millard Ayo. Niliboeka sana na ile interview. Kwa nini ajibu yeye maswali anayoulizwa mkewe?Naunga hoja mkono
SWALI MTANGAZAJI: Mlikutanaje na Ali Kiba
ALI KIBA: Usijibu hilo swali utanianika
MTANGAZAJI: Tunataka kujua tu Ally
ALI KIBA: Hapana usijibu mwanaume ndo anamfata mwanamke
Ningekua mimi ningemfukuza na hiyo sikukuu ingeishia hapo
Kinachomuweka Kiba ni roho mbaya za wabongo kwa Diamond ila Kiba kwa domo ana mengi ya kujifunza [HASHTAG]#Mofayagwanyoko[/HASHTAG]
Mkuu kila kipindi cha redio/TV kina maudhui yake.. Personal life ya msanii ni moja ya maudhui hayoTatizo la wabongo tunapenda kujua jirani kala nini ili tumfananishe.
Safi sana ali kiba. Kinachokuweka juu, ni huko kutoweka kila kitu wazi. Kila mtu anabaki kuongea lake huku akitafuta ukweli ni upi
Kila kipindi kina maudhui yake makuu.. Mambo ya muziki aliulozwq kwenye XXL na akatoa mziki mpya!Kwa hiyo kwakuwa amekuja leo tena unazani unahaki ya kumuuliza maswali ya ndani kabisa.alikuja kuhojiwa kuhusu mziki wake..sasa we nijibu ni swali gani aliloulizwa kuhusu mziki wake hakulijibu???
So leo team domo mnataka kumpangia msanii wetu mambo ya kuzungumza....hapana aisee hizo mambo za kuropoka wasichana mliowagegeda tunawaachia hukohuko wcb.tusipangiane vitu vya kuongea kwenye interview kama sisi tusivyowapangiaKila kipindi kina maudhui yake makuu.. Mambo ya muziki aliulozwq kwenye XXL na akatoa mziki mpya!
Naona Gea Habibu umekuja kutoa masikitiko yako baada ya intavyuu yenu kudoda hahahahaaa mlishazoea kwa Diamond mzee wa kujiachia na kufunguka huo ndio uzuri wa Chibu hafichi anajiachia tu...na uzuri wa Ali ana mipaka ya kuzungumza japo naye anaficha mambo hata yasiyotakiwa kufichwa hata ukimuuliza kuwa kwa nini umeota ndevu atasema hiyo ni personal....lack of exposure though he z a big star!Tofauti na masuper wengine ambao ukiangalia interviews zao mtazamaji utajifunza kitu kutoka kwake, na ataku-inspire kwa namna moja au nyingine.
Huyu mheshimiwa, kati ya maswali 10 atakayoulizwa atajibu 2 tu! Yeye kwake kila kitu nni PERSONAL... Aaagrh, wewe ni msanii mkubwa bwana, watu wanapenda kujua na kujifunza kutoka kwako including some of your personal life stories (Sio kila kitu offcourse cha kuweka hadharani) lkn kwako ni too much!
Sasa umejipeleka mwenyewe kwenye vipindi kama LEO TENA na SHILAWADU, na unajua kabisa aina za interview ambazo huwa zinafanyika kule, matokeo yake kila saa unatishia kuondoka... THIS IS TOO LOW BROTHER!
Kweli bro kipa ni level nyingine. Huwezi kumkuta na kiduku.getlemanSasa wewe habari za nyumba yake zinakuhusu nini....mwisho wa siku utataka kujua anamgegeda wife wake mara ngapi kwa wiki...hakuna haja ya mapovu nyie endeleeni kushabikia hao wenye mikogo ya ki star alikiba tutamshabikia sisi tusiopenda mikogo ya ki star tunaopenda mziki mzuri...mziki unaoweza kukaa na babu bibi na mama sebuleni mkaangalia video yake...nyie endeleeni kushabikia video za hao wanaochezea matako ya dada zenu hadharani...hao wanaorecord porn na kuzirusha kwenye mitandao alafu anatokea mtu kama wewe anasema hiyo ni mikogo ya ki star
Kwani mnyoa kiduku na Mpaka rangi nywele huyo kiba na wengineo wa aina ya yake,Rangi zinawa Categorize vipi heshima?.. ...labda utuambie hapa si mahaba yanayokufanya ujipofushe kwa mengine.Kweli bro kipa ni level nyingine. Huwezi kumkuta na kiduku.getleman
We kunguru kiba sio saizi yako.Kwani mnyoa kiduku na Mpaka rangi nywele huyo kiba na wengineo wa aina ya yake,Rangi zinawa Categorize vipi heshima?.. ...labda utuambie hapa si mahaba yanayokufanya ujipofushe kwa mengine.