sweetness A
Member
- Jan 28, 2018
- 19
- 14
Pozi kwa pozi anapenda kukaa nyuma kama ta.ko hawezi kujitegemea kabisaHahaahaa....
Ndio wasanii Clouds iliyoamua kufanya nao kazi hao..
Wenye akili wote washa achana nao.
Huku kiba
...kule Dimposs .
Hahaa...
Na ndoa yake itadumu, sisi wapenda umbea na udaku tunaumia lakini Kiba anatunza faragha ya nyumba yake, lazima utenganishe kazi na maisha binafsi. I like him, anajielewa sana kijana yule.Hivi interview afanye MUSSA, GEA HABIB, JOSE MARA bora kidooogo yule HUSNA hua anajitahidi.
Mussa ndio alimkalia kooni binti wa watu eti aseme ilikuaje akaelezea kidogo walivyokutana akaona haitoshi ooh nani alimuanza mwenzie kumtamkia, mara ooh alivyokuja ulimpokeaje, mara ooh ilichukua muda gani kuja kwa wazazi wako, mara ooh mwenzio ana watoto watatu je wewe una wangapi, mara ooh utamruhusu aoe mke mwingine? (hapa ndio walimkalia koon mdada wa watu anashindwa kujibu wamekazana tuu ikabidi Kiba aingilie kati hawataki mpk ajibu heee niliwashangaa sana)
Kuna siku Chriss Brown alishawahi kuvunja vioo vya studio kwa kulazimishwa aongelee kuhusu Rihanna wakati alisema hataki.
Kama mtu jambo lake hataki kuliongea asilazimishwe kwani wao ndio wanachelewesha interview na kufanya iwe mbaya.
Nilishaona interview ya Mimi Mars alisema maisha yake binafsi yabaki kua binafsi aulizwe kuhusu kazi zake, hata hao mashabiki wamempendea Kazi zake na sio maisha yake binafsi. Nilipenda sana jibu lake.
Ref: Jayz and Beyonce.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anapenda sana hilo nenoNeno la Kiingereza analojua ni POP IN
Hahah aisee nimeitafakari hapo unaposema alimwambia na R.Kelly POP IN kwny ule mwimbo hahah nimecheka sana aisee.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anapenda sana hilo neno
Hata US kwa R.Kelly alimwambia hivyo hivyo " pop in"
Sijui humaanisha nini?![emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah aisee nimeitafakari hapo unaposema alimwambia na R.Kelly POP IN kwny ule mwimbo hahah nimecheka sana aisee.
We unajua..njoo tuongee hapahapaMtu mwenyewe mbona ajui kuongea kizungu!!!?
Povu ruksa....
Komando kipesi anazidiwa kwa kila kitu na Mond mnyama.We unajua..njoo tuongee hapahapa
According to youKomando kipesi anazidiwa kwa kila kitu na Mond mnyama.
Mond bin Laden kutoka mbuga za tandale , hatari sana huyu mtuKomando kipesi anazidiwa kwa kila kitu na Mond mnyama.
Vipi mkuu wazima mbalizi hapoKweli bro kipa ni level nyingine. Huwezi kumkuta na kiduku.getleman