Sifa zote ulizotaja hapo sioni reliability... Unarudi kule kule kwenye pride... Narudia tena... The fact kwamba lazima ununue 0km ndio uone ni gari nzuri inaonyesha ni namna gani ni unreliable...Achaneni na story za kuambiwa na wamiliki wa RR used toka singapore au kama umemiliki RR used, RR ni gari, kuanzia HP, speed, luxury, muonekano, features n.k LC ni haina nafasi, RR ipo engineered kuliko LC hiko ndicho kinafanya muone sio reliable.
Hujanijibu swali, una experience ya RR mpya? achana na used uliyoendesha ya rafiki yako au kumiliki, ulishawahi miliki RR mpya kwa muda gani na ikakuletea shida ipi? hebu tuelezee.Hahah Naona mwingereza wa katavi umeshapaniki tayari,Nina experience na Product za Landrover(Disco Ilinisumbua Air suspension Sana na magonjwa mengine kibao).
Sasa fogo nipe na we experience yako ya RR 0km unayoimiliki.
Mkuu unadhani Hawa jamaa hawajui Kwamba wanabisha bure khs reliability za RR?wanajua Sana tu Ila wameshakua kubisha mwanzo mwisho.Ukishaweka neno RR sahau khs reliability.Kabisa mkuu.. Hizi gari zinavumilia manyanyaso sana. Angalia waarabu Jangwani kwenye mchanga kule wanavyozipigiza. Cheki na namna value yake inavyo depreciate ukilinganisha na RR. Hii ndio maana halisi ya reliability... Gari pekee alizotoa Landover ambazo ni roho ya paka labda ni 109, 110 na the likes..
Ndio mana hata maeneo ya uhifadhi kule utakutana na Landcruiser tu..
Waliwahi kutoa Puma zile jamaa wakazinunua hazikumaliza mwaka huko porini.
Ndio,Niliwahi kumiliki RR ya 0km kwa siku 3 tu then nikamuuzia Mumeo ongea nae atakupa experience ya hio ride.Hujanijibu swali, una experience ya RR mpya? achana na used uliyoendesha ya rafiki yako au kumiliki, ulishawahi miliki RR mpya kwa muda gani na ikakuletea shida ipi? hebu tuelezee.
Wabongo huwa mnakariri sana, Mark X mmeliita jini, Brevis ndio kabisa mnasema ni jini mnyonya damu, cha ajabu Harrier ni nyingi sana mjini, mimi ukiniuliza kati ya Harrier hizi wanaita tako la nyani wenyewe wanasema (new model) na mark x ipi inakula mafuta, nitakujibu Harrier inakula zaidi licha ya kuwa na cc 2400 dhidi ya cc 2500 za mark x na hata itakua inazidi na brevis.Sifa zote ulizotaja hapo sioni reliability... Unarudi kule kule kwenye pride... Narudia tena... The fact kwamba lazima ununue 0km ndio uone ni gari nzuri inaonyesha ni namna gani ni unreliable...
Kama ni kununua kwajili ya pride ukipita kitaa hapa nitakubaliana na wewe 100%. Ila kwenye issue ya ubora na matumizi nitapingana na wewe.
Hii ni habari nyingine kabisa... Tunazungumzia reliability kati ya RR na Landcruiser... Unashindwa kujibu unarukia issue nyingine zisizohusika.Wabongo huwa mnakariri sana, Mark X mmeliita jini, Brevis ndio kabisa mnasema ni jini mnyonya damu, cha Harrier ni nyingi sana mjini, mimi ukiniuliza kati ya Harrier hizi wanaita tako la nyani wenyewe wanasema (new model) na mark x ipi inakula mafuta, nitakujibu Harrier inakula zaidi licha ya kuwa na cc 2400 dhidi ya cc 2500 za mark x na hata itakua inazidi na brevis.
Lakini jinsi tunavyokaririshana kwamba usinunue hii gari ni jini, halafu unadondokea kwa Harrier, unakuta dalali anakwambia usinunue hii sio fuel economy halafu anakuambia nunu Harrier, na wewe unatoka umekariri, same na hili la reliability, nataka personal experience ulishawahi miliki RR mpya ikakuharibikia na ukamiliki LC mpya haikuharibika within a given a time?
Na Kati ya Altezza yenye 2.0L (1G-FE) 6cylinders vs Altezza 2.0L (3S-GE) 4cylinders ipi inakula Mafuta sana?Wabongo huwa mnakariri sana, Mark X mmeliita jini, Brevis ndio kabisa mnasema ni jini mnyonya damu, cha Harrier ni nyingi sana mjini, mimi ukiniuliza kati ya Harrier hizi wanaita tako la nyani wenyewe wanasema (new model) na mark x ipi inakula mafuta, nitakujibu Harrier inakula zaidi licha ya kuwa na cc 2400 dhidi ya cc 2500 za mark x na hata itakua inazidi na brevis.
Lakini jinsi tunavyokaririshana kwamba usinunue hii gari ni jini, halafu unadondokea kwa Harrier, unakuta dalali anakwambia usinunue hii sio fuel economy halafu anakuambia nunu Harrier, na wewe unatoka umekariri, same na hili la reliability, nataka personal experience ulishawahi miliki RR mpya ikakuharibikia na ukamiliki LC mpya haikuharibika within a given a time?
Mkishabanwa na maswali mnaanza matusi, nilikuona toka mwanzo unaongea tu hovyo, umetoka huko kusimuliwa unakuja hapa kudanganya watu. Ungejibu sijawahi kumiliki RR ukaeleweka.Ndio,Niliwahi kumiliki RR ya 0km kwa siku 3 tu then nikamuuzia Mumeo ongea nae atakupa experience ya hio ride.
😄😄😄 Motivational speakers bana.Mkishabanwa na maswali mnaanza matusi, nilikuona toka mwanzo unaongea tu hovyo, umetoka huko kusimuliwa unakuja hapa kudanganya watu. Ungejibu sijawahi kumiliki RR ukaeleweka.
Ukiangalia hizi zinakupa picha gani?Mkishabanwa na maswali mnaanza matusi, nilikuona toka mwanzo unaongea tu hovyo, umetoka huko kusimuliwa unakuja hapa kudanganya watu. Ungejibu sijawahi kumiliki RR ukaeleweka.
Nimesema hayo tokana na kwamba wengi wenu mmesikia kwa watu hakuna personal experience, RR zenyewe mnazozungumzia ni used nje na ndani, weka RR hapa mpya hapa weka LC mpya same model year, tuone, zote zifanyiwe service kwa wakati, sikatai ukisema ni unreliable ila ume experience hiko kitu au ni kukariri? kama waendesha Harrier wakiwacheka wamiliki wa Brevis na Crown kwamba wanamiliki majini.Hii ni habari nyingine kabisa... Tunazungumzia reliability kati ya RR na Landcruiser... Unashindwa kujibu unarukia issue nyingine zisizohusika.
Reliability na upya ni vitu viwili tofauti.
Mwisho wa upya ni muda gani? Ili tujue kabisa utakua unanunua hizo RR kila baada ya siku ngapi..
Linganisha na hiiMkishabanwa na maswali mnaanza matusi, nilikuona toka mwanzo unaongea tu hovyo, umetoka huko kusimuliwa unakuja hapa kudanganya watu. Ungejibu sijawahi kumiliki RR ukaeleweka.
Sawa mkuu wewe unaenunua RR mpya 0km hembu tuambie kwani depreciation yake ni kubwa na ili iwe reliable kwanini lazima iwe mpya.Nimesema hayo tokana na kwamba wengi wenu mmesikia kwa watu hakuna personal experience, RR zenyewe mnazozungumzia ni used nje na ndani, weka RR hapa mpya hapa weka LC mpya same year model, tuone, zote zifanyiwe service kwa wakati, sikatai ukisema ni unreliable ila ume experience hiko kitu au ni kukariri? kama waendesha Harrier wakiwacheka wamiliki wa Brevis na Crown kwamba wanamiliki majini.
Tafuta price za Audi Q7 halafu tafuta na price za Audi Q5, ziwe same model year hata 2010 kwenda juu, angalia hizo price utajijibu vizuri, hizo gari ni kampuni moja na zipo kwenye line up moja, na mile age zisiachane sana.Linganisha na hii View attachment 2223182
Yaani mnavyoizungumzia RR ni kama gari bovu sana, mi nakuambiaje RR inazi outperform SUV nyingi sana zikiwemo hizo LC na LX kwenye rough road, ukija kwenye speed na Luxury,muonekano n.k hakuna LX au LC inagusa hapo, ni kukosa pesa tu. Mmekomalia reliability tu, kama unaona huwezi ihudumia si kwa ajili yako, wenye uwezo watazimiliki.
Tulia kwanza, wewe uzoefu wako wa RR umeutolea wapi? then tutakuja kwangu, nielezee hio unayosema RR ni unreliable umetolea wapi?Sawa mkuu wewe unaenunua RR mpya 0km hembu tuambie kwani depreciation yake ni kubwa na ili iwe reliable kwanini lazima iwe mpya.
Na utuambie mwisho wa upya wake ni km ngapi?
Angalia pia hizo picha mbili nilizotuma... Hembu tuambie kati ya hizo Landcruiser na RR ni zipi mwonekano mzuri (japo it's obvious ni RR)... Ila kwanini hizo RR ambazo zina technology kubwa zipo cheap kuliko hizo Landcruiser za zamani?
Mkuu naona unaruka ruka tu. Hili swali lako haliusiani chochote na mjadala huu.. Naanza kupata shida pia kama unaelewa unachojadili.... Unaelewa maana ya depreciation??Tafuta price za Audi Q7 halafu tafuta na price za Audi Q5, ziwe same model year hata 2010 kwenda juu, angalia hizo price utajijibu vizuri, hizo gari ni kampuni moja na zipo kwenye line up moja, na mile age zisiachane sana.
Halafu njoo unipe jibu kwa nini Q5 zina bei zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mkuu kama kitu huwezi kujadili usipende mijadala... Haya mambo yapo wazi kabisa.. Ukijadili kwa mapenzi utaendelea kukwepa kwepa maswali tu kama hivi... Maswala ya kms wewe ndio umeleta huku... Ukiulizwa unakwepa kujibu... Wewe endelea na uzoefu wako wa 0km wengine tuendelee na maneno ya kuambiwa..Tulia kwanza, wewe uzoefu wako wa RR umeutolea wapi? then tutakuja kwangu, nielezee hio unayosema RR ni unreliable umetolea wapi?
Elezea RR ikitembea km kadhaa inakuwa hivi, ina ubovu huu 1,2,3, ina ugonjwa huu na ule, hebu elezea mkuu sio kunambia tu ni unreliable..
Thats why nasemaje wabongo tumekariri maneno ya kuambiwa na kusikia.
Tulia kwanza, wewe uzoefu wako wa RR umeutolea wapi? then tutakuja kwangu, nielezee hio unayosema RR ni unreliable umetolea wapi?
Elezea RR ikitembea km kadhaa inakuwa hivi, ina ubovu huu 1,2,3, ina ugonjwa huu na ule, hebu elezea mkuu sio kunambia tu ni unreliable..
Thats why nasemaje wabongo tumekariri maneno ya kuambiwa na kusikia.