Introducing New Range Rover Sport

Introducing New Range Rover Sport

Achaneni na story za kuambiwa na wamiliki wa RR used toka singapore au kama umemiliki RR used, RR ni gari, kuanzia HP, speed, luxury, muonekano, features n.k LC ni haina nafasi, RR ipo engineered kuliko LC hiko ndicho kinafanya muone sio reliable.
Sifa zote ulizotaja hapo sioni reliability... Unarudi kule kule kwenye pride... Narudia tena... The fact kwamba lazima ununue 0km ndio uone ni gari nzuri inaonyesha ni namna gani ni unreliable...

Kama ni kununua kwajili ya pride ukipita kitaa hapa nitakubaliana na wewe 100%. Ila kwenye issue ya ubora na matumizi nitapingana na wewe.
 
Hahah Naona mwingereza wa katavi umeshapaniki tayari,Nina experience na Product za Landrover(Disco Ilinisumbua Air suspension Sana na magonjwa mengine kibao).

Sasa fogo nipe na we experience yako ya RR 0km unayoimiliki.
Hujanijibu swali, una experience ya RR mpya? achana na used uliyoendesha ya rafiki yako au kumiliki, ulishawahi miliki RR mpya kwa muda gani na ikakuletea shida ipi? hebu tuelezee.
 
Kabisa mkuu.. Hizi gari zinavumilia manyanyaso sana. Angalia waarabu Jangwani kwenye mchanga kule wanavyozipigiza. Cheki na namna value yake inavyo depreciate ukilinganisha na RR. Hii ndio maana halisi ya reliability... Gari pekee alizotoa Landover ambazo ni roho ya paka labda ni 109, 110 na the likes..
Ndio mana hata maeneo ya uhifadhi kule utakutana na Landcruiser tu..
Waliwahi kutoa Puma zile jamaa wakazinunua hazikumaliza mwaka huko porini.
Mkuu unadhani Hawa jamaa hawajui Kwamba wanabisha bure khs reliability za RR?wanajua Sana tu Ila wameshakua kubisha mwanzo mwisho.Ukishaweka neno RR sahau khs reliability.
 
Sifa zote ulizotaja hapo sioni reliability... Unarudi kule kule kwenye pride... Narudia tena... The fact kwamba lazima ununue 0km ndio uone ni gari nzuri inaonyesha ni namna gani ni unreliable...

Kama ni kununua kwajili ya pride ukipita kitaa hapa nitakubaliana na wewe 100%. Ila kwenye issue ya ubora na matumizi nitapingana na wewe.
Wabongo huwa mnakariri sana, Mark X mmeliita jini, Brevis ndio kabisa mnasema ni jini mnyonya damu, cha ajabu Harrier ni nyingi sana mjini, mimi ukiniuliza kati ya Harrier hizi wanaita tako la nyani wenyewe wanasema (new model) na mark x ipi inakula mafuta, nitakujibu Harrier inakula zaidi licha ya kuwa na cc 2400 dhidi ya cc 2500 za mark x na hata itakua inazidi na brevis.

Lakini jinsi tunavyokaririshana kwamba usinunue hii gari ni jini, halafu unadondokea kwa Harrier, unakuta dalali anakwambia usinunue hii sio fuel economy halafu anakuambia nunua Harrier, na wewe unatoka umekariri, same na hili la reliability, nataka personal experience ulishawahi miliki RR mpya ikakuharibikia na ukamiliki LC mpya haikuharibika within a given a time?

Na cha ajabu hao hao wa Tz walizotelekeza gari za aina fulani kwa kigezo cha kwamba ni majini sasa hivi kila sehemu wanamiliki jini(Harrier) zaidi kuliko hizo walizosema ni jini.
 
Wabongo huwa mnakariri sana, Mark X mmeliita jini, Brevis ndio kabisa mnasema ni jini mnyonya damu, cha Harrier ni nyingi sana mjini, mimi ukiniuliza kati ya Harrier hizi wanaita tako la nyani wenyewe wanasema (new model) na mark x ipi inakula mafuta, nitakujibu Harrier inakula zaidi licha ya kuwa na cc 2400 dhidi ya cc 2500 za mark x na hata itakua inazidi na brevis.

Lakini jinsi tunavyokaririshana kwamba usinunue hii gari ni jini, halafu unadondokea kwa Harrier, unakuta dalali anakwambia usinunue hii sio fuel economy halafu anakuambia nunu Harrier, na wewe unatoka umekariri, same na hili la reliability, nataka personal experience ulishawahi miliki RR mpya ikakuharibikia na ukamiliki LC mpya haikuharibika within a given a time?
Hii ni habari nyingine kabisa... Tunazungumzia reliability kati ya RR na Landcruiser... Unashindwa kujibu unarukia issue nyingine zisizohusika.

Reliability na upya ni vitu viwili tofauti.

Mwisho wa upya ni muda gani? Ili tujue kabisa utakua unanunua hizo RR kila baada ya siku ngapi..
 
Na Kati ya Altezza yenye 2.0L (1G-FE) 6cylinders vs Altezza 2.0L (3S-GE) 4cylinders ipi inakula Mafuta sana?
 
Mkishabanwa na maswali mnaanza matusi, nilikuona toka mwanzo unaongea tu hovyo, umetoka huko kusimuliwa unakuja hapa kudanganya watu. Ungejibu sijawahi kumiliki RR ukaeleweka.
Ukiangalia hizi zinakupa picha gani?
Screenshot_20220513_185728_com.android.chrome.jpg
 
Hii ni habari nyingine kabisa... Tunazungumzia reliability kati ya RR na Landcruiser... Unashindwa kujibu unarukia issue nyingine zisizohusika.

Reliability na upya ni vitu viwili tofauti.

Mwisho wa upya ni muda gani? Ili tujue kabisa utakua unanunua hizo RR kila baada ya siku ngapi..
Nimesema hayo tokana na kwamba wengi wenu mmesikia kwa watu hakuna personal experience, RR zenyewe mnazozungumzia ni used nje na ndani, weka RR hapa mpya hapa weka LC mpya same model year, tuone, zote zifanyiwe service kwa wakati, sikatai ukisema ni unreliable ila ume experience hiko kitu au ni kukariri? kama waendesha Harrier wakiwacheka wamiliki wa Brevis na Crown kwamba wanamiliki majini.
 
Nimesema hayo tokana na kwamba wengi wenu mmesikia kwa watu hakuna personal experience, RR zenyewe mnazozungumzia ni used nje na ndani, weka RR hapa mpya hapa weka LC mpya same year model, tuone, zote zifanyiwe service kwa wakati, sikatai ukisema ni unreliable ila ume experience hiko kitu au ni kukariri? kama waendesha Harrier wakiwacheka wamiliki wa Brevis na Crown kwamba wanamiliki majini.
Sawa mkuu wewe unaenunua RR mpya 0km hembu tuambie kwani depreciation yake ni kubwa na ili iwe reliable kwanini lazima iwe mpya.

Na utuambie mwisho wa upya wake ni km ngapi?

Angalia pia hizo picha mbili nilizotuma... Hembu tuambie kati ya hizo Landcruiser na RR ni zipi mwonekano mzuri (japo it's obvious ni RR)... Ila kwanini hizo RR ambazo zina technology kubwa zipo cheap kuliko hizo Landcruiser za zamani?
 
Yaani mnavyoizungumzia RR ni kama gari bovu sana, mi nakuambiaje RR inazi outperform SUV nyingi sana zikiwemo hizo LC na LX kwenye rough road, ukija kwenye speed na Luxury,muonekano n.k hakuna LX au LC inagusa hapo, ni kukosa pesa tu. Mmekomalia reliability tu, kama unaona huwezi ihudumia si kwa ajili yako, wenye uwezo watazimiliki.

Issue siyo hela. Unaweza kuwa na hela na bado gari isikufikishe safari. Ndo maana nilisema tupunguze mahaba. Inaboa kumiliki gari ambayo kila siku unawaza nini kitafuata kuharibika. Leo air suspension, kesho umeme, keshokutwa kingine.
 
Sawa mkuu wewe unaenunua RR mpya 0km hembu tuambie kwani depreciation yake ni kubwa na ili iwe reliable kwanini lazima iwe mpya.

Na utuambie mwisho wa upya wake ni km ngapi?

Angalia pia hizo picha mbili nilizotuma... Hembu tuambie kati ya hizo Landcruiser na RR ni zipi mwonekano mzuri (japo it's obvious ni RR)... Ila kwanini hizo RR ambazo zina technology kubwa zipo cheap kuliko hizo Landcruiser za zamani?
Tulia kwanza, wewe uzoefu wako wa RR umeutolea wapi? then tutakuja kwangu, nielezee hio unayosema RR ni unreliable umetolea wapi?
Elezea RR ikitembea km kadhaa inakuwa hivi, ina ubovu huu 1,2,3, ina ugonjwa huu na ule, hebu elezea mkuu sio kunambia tu ni unreliable..

Thats why nasemaje wabongo tumekariri maneno ya kuambiwa na kusikia.
 
Tafuta price za Audi Q7 halafu tafuta na price za Audi Q5, ziwe same model year hata 2010 kwenda juu, angalia hizo price utajijibu vizuri, hizo gari ni kampuni moja na zipo kwenye line up moja, na mile age zisiachane sana.

Halafu njoo unipe jibu kwa nini Q5 zina bei zaidi.
Mkuu naona unaruka ruka tu. Hili swali lako haliusiani chochote na mjadala huu.. Naanza kupata shida pia kama unaelewa unachojadili.... Unaelewa maana ya depreciation??

Bei ya Q7 siku zote ni kubwa kuliko Q5.. Iwe mpya au used... Kitakacholeta utofauti hapo ni endapo Q7 itakua imechoka zaidi ya Q5.

Bei ya Landcruiser 0km hizo nilizotuma hapo ni kiasi gani ukilinganisha na RR 0km ya same year??
 
Tulia kwanza, wewe uzoefu wako wa RR umeutolea wapi? then tutakuja kwangu, nielezee hio unayosema RR ni unreliable umetolea wapi?
Elezea RR ikitembea km kadhaa inakuwa hivi, ina ubovu huu 1,2,3, ina ugonjwa huu na ule, hebu elezea mkuu sio kunambia tu ni unreliable..

Thats why nasemaje wabongo tumekariri maneno ya kuambiwa na kusikia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mkuu kama kitu huwezi kujadili usipende mijadala... Haya mambo yapo wazi kabisa.. Ukijadili kwa mapenzi utaendelea kukwepa kwepa maswali tu kama hivi... Maswala ya kms wewe ndio umeleta huku... Ukiulizwa unakwepa kujibu... Wewe endelea na uzoefu wako wa 0km wengine tuendelee na maneno ya kuambiwa..

Hakuna mahali nimesema tu ni unreliable bila kukupa sababu... Ndio mana nimekuuliza unaelewa maana ya depreciation??

Nimekupa bei za RR hapo ukilinganisha na Landcruiser za kawaida tu... Nikuuliza kwanini RR imeshuka bei kwa haraka namna hiyo ila value ya Landcruiser tena za zamani zaidi bado zipo juu??

Ila naona hujibu... Unakimbilia umiliki....
Sasa hata nikikwambia nimemiliki utajuaje kama ni kweli???

Kwamba ili ujue kitu lazima umiliki?
 
Tulia kwanza, wewe uzoefu wako wa RR umeutolea wapi? then tutakuja kwangu, nielezee hio unayosema RR ni unreliable umetolea wapi?
Elezea RR ikitembea km kadhaa inakuwa hivi, ina ubovu huu 1,2,3, ina ugonjwa huu na ule, hebu elezea mkuu sio kunambia tu ni unreliable..

Thats why nasemaje wabongo tumekariri maneno ya kuambiwa na kusikia.

“How Reliable Is a Range Rover?

If you’re considering a Range Rover, you’ll most likely have come across reports of its chequered reliability history. Our investigation concludes that the Range Rover is a below average SUV in terms of reliability, but excels in every other aspect as a luxury SUV."

“According to J.D. Power’s Annual Dependability Study, a report that surveyed 2018 model vehicles over a 3-year period:

The industry average is 121 problems reported per 100 vehicles by owners of a vehicle and brand
Land Rover (Range Rover is a model within the brand) scored 244 problems per 100 vehicles, double the industry average
In your own investigations, you’ll likely uncover reports of owners clocking up more than 200k miles however these types of mileages won’t be achieved easily and without hefty repair bills along the way.”

Hizi pia unaweza sema ni story za vijiweni
 
Back
Top Bottom