Introducing New Range Rover Sport

Introducing New Range Rover Sport

Comments za wenyewe huko duniani kuhusu hizi gari. Kama mazingira ni friendly lakini comments zao zipo hivi, emagine huku kwetu. No wonder baada ya muda mfupi unalikuta linauzwa 40 M.
Mtu anakwambia ni bora ununue Rav 4 [emoji28][emoji28][emoji28].
Waingereza wa Misungwi wa hapa JF watakuja kukubishia 😄😄😄
 
Usichukuliwe kirahisi hivyo na matangazo. In real life vitu vinaweza kuwa tofauti kidogo. Generally Land Rover (hasa hizi range na disco) ni expensive sana kuzihudumia na si mojawapo ya magari ambayo unaweza ukayatumia kama wanavyotangaza hapa kila siku, unless uwe na hela nyingi ya kufanya repairs. LR Defender za zamani pekee ndizo unaweza kuzipiga hivi kila siku.
Hizo air suspension zenyewe tu ukizipiga kwenye barabara zetu hizi vizuri hazikawiagi kusumbua.
Overall ni gari luxury ila….
Mi nimebaki mdomo wazi, imekuaje hapo inapita kwenye tope lakin bado safi au edited video wametoa kwenye simulation software yao
 
RR ni mashine na huwezi ilinganisha na LC, RR inapita njia ngumu LC haifuati hata hizi bmw X7, Jeep, glc63 amg na brand kubwa za SUV, hakuna SUV inaweza perfomance ya RR kwenye barabara zilizoshindikana, tusidanganyane.

Mwanzoni niliamini toyota ni mnyama lakini RR ni mnyama na nusu, ni kukosa pesa kunatufanya tuone ni gari mbovu, hata wazungu wenye -ve feedback na wao ni masikini tu kama sisi.

Kwenye mwendo ndio kabisa, RR inatembea acheni, kwenye luxury ndio kabisa.
LC hizo mnazoita V8, gari inatoa exhaust sound kama Opa, RR ni king wa SUV hawa Rolls Royce, Bentley n.k wamevamia fani..

…RR hizi hizi tunaozijua au kuna nyingine hatuzijui? Punguzeni mahaba, RR ni sophisticated ila ni gari mayai. LX ni luxury version ya LC ambayo utapata thamani zaidi ya hela yako kuliko RR. Kama unataka status go for RR, reliability na value for your money go for LC au Lexus
 
Yaani mnavyoizungumzia RR ni kama gari bovu sana, mi nakuambiaje RR inazi outperform SUV nyingi sana zikiwemo hizo LC na LX kwenye rough road, ukija kwenye speed na Luxury,muonekano n.k hakuna LX au LC inagusa hapo, ni kukosa pesa tu. Mmekomalia reliability tu, kama unaona huwezi ihudumia si kwa ajili yako, wenye uwezo watazimiliki.
 
Waingereza wa Misungwi wa hapa JF watakuja kukubishia [emoji1][emoji1][emoji1]
Wachukue tu RR used let's say ya mwaka 2005 alafu walinganishe bei na Landcruiser ya mwaka huo huo alafu watuambie [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].. Hapa utakuta RR inashindana bei na Vanguard au Harrier ya miaka hiyo hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna tofauti kubwa kati ya reliability na mbwembwe.
 
Hahah na reliability hua inajieleza yenyewe tu,hainaga kelele nyiiiiiiiiiingi.Na bht mbaya wapiga debe wengi wa RR wa humu hawajawahi hata kumiliki RR au hata Discovery ili waeleze kwa experience binafsi waliyo nayo.Wanapitia YouTube tu reviews za RR tu then imeisha hio.
 
Yaani mnavyoizungumzia RR ni kama gari bovu sana, mi nakuambiaje RR inazi outperform SUV nyingi sana zikiwemo hizo LC na LX kwenye rough road, ukija kwenye speed na Luxury,muonekano n.k hakuna LX au LC inagusa hapo, ni kukosa pesa tu. Mmekomalia reliability tu, kama unaona huwezi ihudumia si kwa ajili yako, wenye uwezo watazimiliki.
Tafuta maana halisi ya reliability.. Reliability haihusiani na uwezo wa mtu kuhudumia kitu...
Kama muda wote unawaza kuhudumia then hakuna reliability hapo... Ki ufupi unachoongea hapo ni kusema sio reliable ndio mana lazima uwe tajiri maana muda wowote hilo ni kama jipu, linatumbuka mahali popote...

The only area ambayo unaweza zungumzia hizi gari labda ni swala la kua na mambo mengi, zaidi ya hapo sioni kipya... Tukizungumzia comfortably kwamba LC na LX sio conformable enough?? Labda mtuambie comfotability kwenye kitu gani haswa??

Unless uwe unazungumzia hizo option za kufungua mlango kwa finger prints, souti na kadhalka, ila Tukizungumzia ya gari inapotembea barabarani LC na LX ni comfortable sana tu.... Speed inatosha kabisa kwetu huku...

Kikubwa ninachoona kwenye RR ni pride.
 
Hahah na reliability hua inajieleza yenyewe tu,hainaga kelele nyiiiiiiiiiingi.Na bht mbaya wapiga debe wengi wa RR wa humu hawajawahi hata kumiliki RR au hata Discovery ili waeleze kwa experience binafsi waliyo nayo.Wanapitia YouTube tu reviews za RR tu then imeisha hio.
We ulishawahi miliki RR 0km? kama bado au unatoa maoni yako tokana na experience ya zile RR used odo zinasoma km laki 3 its better useme huna experience nazo.
 
Kabisa mkuu.. Hizi gari zinavumilia manyanyaso sana. Angalia waarabu Jangwani kwenye mchanga kule wanavyozipigiza. Cheki na namna value yake inavyo depreciate ukilinganisha na RR. Hii ndio maana halisi ya reliability... Gari pekee alizotoa Landover ambazo ni roho ya paka labda ni 109, 110 na the likes..
Ndio mana hata maeneo ya uhifadhi kule utakutana na Landcruiser tu..
Waliwahi kutoa Puma zile jamaa wakazinunua hazikumaliza mwaka huko porini.
 
We ulishawahi miliki RR 0km? kama bado au unatoa maoni yako tokana na experience ya zile RR used odo zinasoma km laki 3 its better useme huna experience nazo.
Hahah Naona mwingereza wa katavi umeshapaniki tayari,Nina experience na Product za Landrover(Disco Ilinisumbua Air suspension Sana na magonjwa mengine kibao).

Sasa fogo nipe na we experience yako ya RR 0km unayoimiliki.
 
We ulishawahi miliki RR 0km? kama bado au unatoa maoni yako tokana na experience ya zile RR used odo zinasoma km laki 3 its better useme huna experience nazo.
Kwani mkuu ikifika hizo km laki 3 inakuaje... The fact kwamba Landcruiser yenye km laki 3 bado inapiga mzigo zaidi ya RR yenye same millage inamaanisha bado Lx ni reliable.
 
Tafuta maana halisi ya reliability.. Reliability haihusiani na uwezo wa mtu kuhudumia kitu...
Kama muda wote unawaza kuhudumia then hakuna reliability hapo... Ki ufupi unachoongea hapo ni kusema sio reliable ndio mana lazima uwe tajiri maana muda wowote hilo ni kama jipu, linatumbuka mahali popote...

The only area ambayo unaweza zungumzia hizi gari labda ni swala la kua na mambo mengi, zaidi ya hapo sioni kipya... Tukizungumzia comfortably kwamba LC na LX sio conformable enough?? Labda mtuambie comfotability kwenye kitu gani haswa??

Unless uwe unazungumzia hizo option za kufungua mlango kwa finger prints, souti na kadhalka, ila Tukizungumzia ya gari inapotembea barabarani LC na LX ni comfortable sana tu.... Speed inatosha kabisa kwetu huku...

Kikubwa ninachoona kwenye RR ni pride.
Achaneni na story za kuambiwa na wamiliki wa RR used toka singapore au kama umemiliki RR used, RR ni gari, kuanzia HP, speed, luxury, muonekano, features n.k LC ni haina nafasi, RR ipo engineered kuliko LC hiko ndicho kinafanya muone sio reliable.
 
Back
Top Bottom