deedee
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 257
- 417
Gari zote zinatengenezwa zina mwisho wa matumizi, hakuna engine isiyo na mwisho mkuu..
Kila gari ina specification zake so siwezi kukwambia mwisho wa engine exactly ni upi..
Mtu mpaka anafikia hatua ya kuanza ku swap engine ni kwasababu aliyonayo inamsumbu, otherwise hawezi amka asubuhi tu akasema naenda kubadili engine.
Naomba mfano hai wa mwisho wa matumizi.
Maamuzi ya kufanya swap umesema engine aliokua nayo inamsumbua. ( kusumbua kwake itakua reliable au sio reliable)