Introducing New Range Rover Sport

Introducing New Range Rover Sport

Gari zote zinatengenezwa zina mwisho wa matumizi, hakuna engine isiyo na mwisho mkuu..

Kila gari ina specification zake so siwezi kukwambia mwisho wa engine exactly ni upi..

Mtu mpaka anafikia hatua ya kuanza ku swap engine ni kwasababu aliyonayo inamsumbu, otherwise hawezi amka asubuhi tu akasema naenda kubadili engine.

Naomba mfano hai wa mwisho wa matumizi.

Maamuzi ya kufanya swap umesema engine aliokua nayo inamsumbua. ( kusumbua kwake itakua reliable au sio reliable)
 
Kuna kitu unachanganya Mkuu, RR kufanyiwa repair ni unreliable, ila Toyota ikifanyiwa repair na spares kujaa ilala ni reliable. Nozzle za V8 zikifa 8, out of pocket, kama hauko vizuri, itakaa juu ya mawe.
Sio mimi nachanganya.. Tatizo ni wewe kutokuelewa.. Unachokisema hapa inaonyesha huelewi maana ya reliability.
 
Naomba mfano hai wa mwisho wa matumizi.

Maamuzi ya kufanya swap umesema engine aliokua nayo inamsumbua. ( kusumbua kwake itakua reliable au sio reliable)
Gari nyingi wanashauri km laki 200,000 hadi 3..

Ndio una swap engine ikiwa inasumbua.. Sasa ukitoa engine iliyokuja na gari let's say ya discover ili uweke ya toyota ipi so reliability ipo upande upi hapo?
 
Mkuu bado hujatoa maana ya reliability kwa kiswahili, swapping haihusiki na reliability, ni mazoea ya mafundi wa zamani, hata toyota vs toyota engine swap ziko kibao.

Fanya research: Cheki engine Kilometres za malori, ndege (nautical miles) na meli. Utagundua ishu ni maintenance
 
Reliability maana yake nini? Tunaomba utuelewshe kwa kiswahili, labda lina maana nyingine
Nitakupa mfano ujijibu mwenyewe...

Let's say una vifaa viwili ambayo matumizi yake ni yaliyofanana. Ila kimoja wapo ukikitumia una uhakika wa kukamilisha kazi husika bila kifaa kukusumbua, hichi kingine unaweza kitumia, ila muda wowote out of the blue kinaweza kuzingua... Hapa ndio swala la reliability linakuja...
Lakini haimaanishi kwamba hivi vifaa havitakiwi services na maintainance...

Hakuna gari unaweza kusema usibadili oil kwasababu ni reliable au usiweke maji/coolant kwasababu ni reliable. Maintainance na repair zipo pale pale kwasababu chombo unapokitumia kuna wear and tear.
Lakini pamoja na hayo bado toyota zinavumilia sana abuse za aina hii. Mfano ukifatilia watu wengi wanaweka oil zisizo sahihi, kutofanya service kwa wakati, kuweka spare za kuunga unga na bado mtu anatumia hivyo hivyo... Kitu ambacho ni kigumu sana kwa brand nyingine.

So hapa Issue itakuja tu kwenye frequency ya wewe kufanya hizo repair na service..Gari ambayo reliability ni ndogo utaenda garage mara nyingi zaidi kufanya matengenezo ukiacha hizi services za kawaida zaidi ya gari ambayo ni reliable..
 
Mkuu bado hujatoa maana ya reliability kwa kiswahili, swapping haihusiki na reliability, ni mazoea ya mafundi wa zamani, hata toyota vs toyota engine swap ziko kibao.

Fanya research: Cheki engine Kilometres za malori, ndege (nautical miles) na meli. Utagundua ishu ni maintenance
Sijaelewa kucheki km za malori au ndege zinahusiana nini.
 
Nadhani lori ni gari linatumia engine. Ndege pia inatumia engine. Hivyo kama ulivyosema wanashauri Km 200,000 hadi 3 kama haijaleta shida ( natumaini hizi ni Km covered by a single engine.
 
Nitakupa mfano ujijibu mwenyewe...

Let's say una vifaa viwili ambayo matumizi yake ni yaliyofanana. Ila kimoja wapo ukikitumia una uhakika wa kukamilisha kazi husika bila kifaa kukusumbua, hichi kingine unaweza kitumia, ila muda wowote out of the blue kinaweza kuzingua... Hapa ndio swala la reliability linakuja...
Lakini haimaanishi kwamba hivi vifaa havitakiwi services na maintainance...

Hakuna gari unaweza kusema usibadili oil kwasababu ni reliable au usiweke maji/coolant kwasababu ni reliable. Maintainance na repair zipo pale pale kwasababu chombo unapokitumia kuna wear and tear.

Issue itakuja tu kwenye frequency ya wewe kufanya hizo repair na service..

Gari ambayo reliability ni ndogo utaenda garage mara nyingi zaidi ya gari ambayo ni reliable..
Umeelezea kwa ufasaha, kwenda garage kunahusika na wear and tear.

Reliability ni broader term, unahusisha kuanzia matairi, engine, suspension, user etc, hivyo inategemea utaenda garage kwa ajili ya item ipi, hata watu wawili ukiwapa IST, under the same conditions, kuna mmoja atawahi kwenda garage
 
Nadhani lori ni gari linatumia engine. Ndege pia inatumia engine. Hivyo kama ulivyosema wanashauri Km 200,000 hadi 3 kama haijaleta shida ( natumaini hizi ni Km covered by a single engine.
Yap... Swala sasa hapa hadi unafika hizo km hii gari itakua imekusumbua mara ngapi..

Mfano ukitaka kununua BMW let's say X5, kama ni used unashauriwa usinunue iliyofika km 100000 na kuendelea.. Inamana kwamba ukinunua hii inakua spana mkononi tayari ila toyota nyingi km hizi wala sio tatizo.
 
Usimaini kila unachosoma mtandaoni, search hizo gari utaona ziko beyond 100,000 na bado zinapiga mzigo. Na hapo ndo wabongo wanapigwa kwa kutaka low mileage kwa bei nafuu. Well maintained 150,000Km car ni bomba sana
 
Umeelezea kwa ufasaha, kwenda garage kunahusika na wear and tear.

Reliability ni broader term, unahusisha kuanzia matairi, engine, suspension, user etc, hivyo inategemea utaenda garage kwa ajili ya item ipi, hata watu wawili ukiwapa IST, under the same conditions, kuna mmoja atawahi kwenda garage
Kuwahi kwenda sio tatizo, tatizo ni unaenda mara ngapi under same condition.. Naweza nikawahi kwenda ila ikanichukua muda kwenda tena.. Ila huyu mwingine mimi nikienda mara moja yeye anaenda mara 3..
 
Usimaini kila unachosoma mtandaoni, search hizo gari utaona ziko beyond 100,000 na bado zinapiga mzigo. Na hapo ndo wabongo wanapigwa kwa kutaka low mileage kwa bei nafuu. Well maintained 150,000Km car ni bomba sana
Ukibahatisha Sawa.. Ila nyingi utashika kichwa barabarani daily.

Na declare pia kufanya hii mijadala haimaanishi kwamba nachukia hizi gari.. Ndio hali halisi ilivyo..

Nategemea one day kumiliki especially BMW, ila najua ni changamoto, so I will opt luxury over reliability. Ila siwezi kukosa Toyota pembeni.
 
tumblr_p4ahmaXaL11rrvheyo1_1280.png
 
Ukibahatisha Sawa.. Ila nyingi utashika kichwa barabarani daily.

Na declare pia kufanya hii mijadala haimaanishi kwamba nachukia hizi gari.. Ndio hali halisi ilivyo..

Nategemea one day kumiliki especially BMW, ila najua ni changamoto, so I will opt luxury over reliability. Ila siwezi kukosa Toyota pembeni.

Kabla hujanunua, karibu upate ushauri, usije kucheki reliability kwa kuangalia picha na Km
 
Sio mimi nachanganya.. Tatizo ni wewe kutokuelewa.. Unachokisema hapa inaonyesha huelewi maana ya reliability.
Reliability ni kuibamiza kwenye mawe? Au kuitupa mchangani? Au kubebea vifusi?

Kama huna hela ya kutunza gari unayonunua hata LC 200 ambayo unaona ni "reliable" itakusumbua.
 
Yap... Swala sasa hapa hadi unafika hizo km hii gari itakua imekusumbua mara ngapi..

Mfano ukitaka kununua BMW let's say X5, kama ni used unashauriwa usinunue iliyofika km 100000 na kuendelea.. Inamana kwamba ukinunua hii inakua spana mkononi tayari ila toyota nyingi km hizi wala sio tatizo.
Unaishi na story za vijiweni.

Kuna European cars nyingi hapa Tz zimeshatoboa 200k km na bado zinadunda.

Na kuna gari za Toyota zimekufa na km chini ya 150k.

Ndio maana nasema reliability ni kitu subjective. Usipoitunza gari yako itakuharibikia kila saa hata iwe LC.

Tena hizi za sasa ndo zina shida kubwa vile humiliki au hujaona invoice zinazoenda serikalini kulipia service and mantainance.
 
Mtu anazungumzia RR ambayo ameendesha au kumiliki out of warranty, ndio maana niliwauliza una uzoefu wa kumiliki hio gari ndani ya warranty au iwe mpya, wamebaki kupita huku na kule, RR ni gari ambazo ni upper class sio hapa kwetu hata nje, wanaendesha watu maarufu na millionares, ni alama ya ufahari, hizi gari zinakuja na high end new tech ambazo huwezi kuta kwenye LC.

RR wanafahamu wateja wao, USA RR zina outsell sana hizo LC, RR wanafahamu wateja wao ni watu wa upper class, kwa historia LC walikuwa inspired na LR. RR hawapo hata kwenye competition na LC, ni Tanzanian Japanese ndio mambo yao haya.
 
Nimetafuta comment hata moja inayoongelea impact ya hii gari kwenye mazingira kwa kulinganisha na nyingine zilizo karibu nayo, sijapata.

Mwaka jana nilikuwa na uamuzi wa kununua Range Rover au BMW, nikaenda na BMW kwa kuangalia impact ya gari kwenye mazingira.

Halafu rafiki yangu akanunua RR, nikasema bora, maana ingekuwa kama tumenunua "saresare maua".
 
Mtu anazungumzia RR ambayo ameendesha au kumiliki out of warranty, ndio maana niliwauliza una uzoefu wa kumiliki hio gari ndani ya warranty au iwe mpya, wamebaki kupita huku na kule, RR ni gari ambazo ni upper class sio hapa kwetu hata nje, wanaendesha watu maarufu na millionares, ni alama ya ufahari, hizi gari zinakuja na high end new tech ambazo huwezi kuta kwenye LC.

RR wanafahamu wateja wao, USA RR zina outsell sana hizo LC, RR wanafahamu wateja wao ni watu wa upper class, kwa historia LC walikuwa inspired na LR. RR hawapo hata kwenye competition na LC, ni Tanzanian Japanese ndio mambo yao haya.
Gari zote ambazo sio Toyota ni unreliable kwao.

Miaka 3 - 4 nyuma, ulikuwa ukileta nyuzi za Subaru, Nissan, Mazda, Honda utapewa ushauri wa kutisha.

Leo hii hizo gari zinanunuliwa kila kukicha na hakuna kelele zinapigwa kuwa ni unreliable.

Kwao reliable car ni kuizamisha mtoni na itoke upande wa pili ikiwa nzima bila shida.

Gari zote kuanzia 2015 ukii-abuse kama wanavyotaka wao itakufika kesho yake.
 
Back
Top Bottom