Introducing New Range Rover Sport

Introducing New Range Rover Sport

Mimi nina "Mapenzi ya Upofu"

Ila wewe huna "mapenzi ya upofu"

Gari ambayo haijarudishwa kiwandani kwa ubovu unataka kutuaminisha ni unreliable? Kila siku zinaletwa models mpya na zinanunuliwa. Wewe unataka kutuaminisha humu kwamba gari ni mbovu sana.

Mimi nipo upande tofauti na wewe hata kama sinunui hiyo gari ila siwezi kaza shingo kushupalia kwamba gari fulani ni unreliable.

Wabongo tunafahamika tuna ile fear of unknown. Thats because of ignorance, lack of exposure na poverty.

Miaka minne nyuma mtu akiomba ushauri kuhusu Subaru/Nissan, ila aina ya ushauri anaoupata humu unakatisha tamaa. Mara gari mbovu, spare hazipatikani, mafundi hakuna. Ila ukisoma between the line, ni poverty na lack of exposure. Hapo hujaongelea most of brands other than Toyota.

So, back to the point of RR, sijaona unreliability yake, hata hizo LCs zinawajambisha wengi tu mjini hapa.

Kama unataka gari ya kuzamia mtoni au kugonga nayo mawe, nunua trekta maana hakuna gari itavumilia hayo mambo.

In the family tushakuwa na Range Rover ya 1998, na najua since then changes kiasi gaji zimetokea. Na sikuichukia hiyo gari wakati nilipoiendesha. Ila matatizo yake pia nayajua.
Mimi similiki Toyota, na wala sina mapenzi hapa, naongea facts tu. If they are reliable than any other car ni sawa tu whether nazipenda au sizipendi.
Kuwa unreliable siyo lazima kuwe na recalls, inapimwa na matatizo over the course of ownership. Na most of these data come from the owners themselves. Kufunika matatizo yake hakukusaidii wewe wala prospective buyers. Kwanza ni vizuri wasiojua wajue wanataka kumiliki kitu gani (siyo kusema wasimiliki).
Nissan naendesha mpaka leo, Subaru Impreza nilikaa nayo mwaka nikauza, sasa naendesha Suzuki pia, WALA SI TOYOTA. Mtu akitaka ushauri wa hizo gari nampa honestly. RR ni luxury na features kibao ila THEY ARE ONE OF THE LEAST RELIABLE SUVS data na uzoefu vinaonyesha. Hii ni fact sio maoni tu, consumer reports zipo, bahati mbaya unazikataa kwa mapenzi yako na hiyo gari (huku ndo kujitia upofu sasa), unafikiri tunapinga tu. Ukianza kusema reliability ni state of mind, mwenzio akasema inategemea pesa uliyonayo, (huu ni upofu).
Hizi forums ni za kuambiana ukweli, mtu akiwa tofauti siyo lazima awe anaichukia au anataka tu kubishana. Kama una taarifa za kuonyeaha hii gari ni reliable (hasa kuliko LC na LX) leta hapa.
Ila nishaona unabishana tu na huna facts, so stick to what you believe, wanaotaka kuelewa wataelewa, naamini mjadala umesaidia kuwapa taarifa.

Conclusion yangu kwenye huu mjadala, ni kuwa hata kama unazingatia matunzo na unataka one of the most luxurious na prestigious SUVs nunua LR RR ila kama unataka a well balanced and reliable SUV, ambayo utapata matatizo machache wakati unaimiliki, itaenda km zaidi ya 300,000 bila kukaa garage muda mrefu, nunua LC au Lexus.

Adios
 
Mapenzi, upofu, blah blah blah.

RR haipo hata kwenye gari ninazotamani kumiliki. Hata niwe na mabilioni ya kuinunua, haipo hata kwenye top 20 ya gari ninazozi-admire. Looks kinda gaysh.

Ila siwezi angukia kwenye mkumbo wa unreliability ambayo watu mnataka kutuaminisha.

Your terrible experience with RR does't mean it should occur to everyone.

Nunua gari kutokana na matumizi yako, huwezi nunua RR uitumie vile unavyotumia Hilux. Utakuwa huna akili timamu.
 
RR inauza mno USA,inauza units za kutosha na inazipiga mbali sana hizo LC na LX, hata wazungu wapo wananunua vitu vya mtumba na out of warranty, sasa kama ndio mnatafuta kwenye vi blog online sawa, lakini mkae mkijua RR imetengenezwa kwa watu wa class fulani, kwa nini licha ya hizo -ve feedback bado RR inauzwa sana kwa hao wazungu? LR inajua wateja wake ni kina nani so that, chuma imetengenezwa very very luxury to the point wamesucrifice issue ya maintenance cost kwa sababu once unanunua hio gari it means uta afford.

Kama reliability ndio maana na kigezo pekee ulichoona cha kumiliki gari tafuta humvee, kwa maana hata kwenye milipuko na mashambulizi ya risasi zina uwezo wa ku survive kitu ambacho LC haziwezi.
RR inaipiga LC kwenye kila kitu, gari gani hilo mnaita V8 inalia kama Opa, RR ni gari imara, inapita offroad kuliko LC, ina nguvu, ina spidi, ipo luxury na kila kitu hivyo LC ni uchafu kwa RR nikisema hivyo wajapan mmenielewa.
 
My experience with RR wasn’t terrible, kuweka rekodi sawa.
Nilikuwa tu najaribu kukuambia kuwa siko biased towards brand fulani.
Sifuati mkumbo wa reliability, naongea based on experience za watu dunia nzima (si bongo tu), na si lazima niwe nimemiliki. Hizo taarifa zipo hata wewe ukitaka, ni tafiti siyo story.
Hapa kwenye matumizi ndo umeconclude vizuri sasa nilichokuwa nasema, kumbe umeelewa. RR tumia mjini tu kwenye lami ndo itakuwa afadhali, sio kama wanavyoitangaza hapa.
 
Achana na story za mauzo, siyo measure pekee ya reliability ya gari. Kuna sababu nyingine nyingi kwa nini watu wananunua gari.
Na umerukia mada hukuelewa point yangu. Issue ilikuwa hiyo gari haiwezi fanya kazi kama wanavyoitangaza hapa na ikawa reliable kama ilivyo LC/LX. Hayo mambo mengine mnaweza kuendelea kujadili, sijayabishia wala sikuyazungumzia.
 
Kwahiyo LC 200 na Lexus unaweza zitumia kama unavyotumia 70 series?
 
Kwahiyo LC 200 na Lexus unaweza zitumia kama unavyotumia 70 series?

Hakuna asiyejua kazi ya 70 series na imetengenezwa kwa ajili gani. Ila ile gari siyo comfortable hata chembe. Ndo maana kwenye moja ya post nikisema LC 100, 200, na 300 ni (balanced) kuwa inajaribu kuleta balance ya matumizi. So haiwezi kuwa ya offroad kama 70 series na haitaki kucompromise its offroad capabilities kwa kuwa super luxurious kama RR.
BUT usichanganye reliability kuwa ni uwezo wa kwenda njia mbovu tu. Kuna gari ndogo nyingi tu haziendi offroad lakini bado ni unreliable ikija kwenye engine, umeme, gearbox etc.
 
Reliable is relative to need, kwangu mimi kitu cha concern kabisa ni snow. Which RR handles very well.

Huku kama una hela yako unafanya service by the book, huendi off road, unabadili magari huendeshi hilo hilo kila siku, RR itaachaje kuwa reliable?

I just did not like the carbon footprint.
Duh….hili jibu hili….reliability jamaa humu wanafikiria barabara zetu za Sinza shekilango na Mabibo…mwingine anaongelea snow…..
 
Achana na story za mauzo, siyo measure pekee ya reliability ya gari. Kuna sababu nyingine nyingi kwa nini watu wananunua gari.
Na umerukia mada hukuelewa point yangu. Issue ilikuwa hiyo gari haiwezi fanya kazi kama wanavyoitangaza hapa na ikawa reliable kama ilivyo LC/LX. Hayo mambo mengine mnaweza kuendelea kujadili, sijayabishia wala sikuyazungumzia.
Ngoja nitoe mfano hapa. Sometime back nilitaka kununua SUV VW Touareg JAMAA ZANGU wakaribu bongo hii hii wakaniambia European cars are least reliable. Bongo hiyo gari itakutesa sana Na ushauri mwingi. But I loved the car big time. nikajilipua nikanunua VW machine nzuri kweli kweli from UK. It had less than three years.

nilifanya nini? Gari nilikaa nayo for four years. Siku zote niliendesha mwenyewe au my trusted driver na nilifanya service CFAO. Hii gari haikuwahi kunisumbua hata Mara moja. Niliendesha sana trips za Dar to Arusha na Mwanza. Ila gari mpaka naiuza haikuwahi kunipa shida.

sasa kwa scenario kama hiyo hapo juu, unreliability inatoka wapi? Mimi naamini unreliability au reliability ni swala la maintenance na utunzaji.

huwezi ukanunua RR unafanya service chini ya mwembe (wengi tunapenda sana kwa Kutumia excuse kwamba fundi ni ex mechanic wa dealer kama CFAO). Lazima gari itakuvuruga tuu. From my experience, ni waTanzania wachache hata wenye pesa walio na utaratibu wa kupeleka gari kwa dealer husika. Very few. Nina jamaa yangu ana RR hapa bongo mpaka leo gari anafanyia service Mbagala kwa fundi mstaafu wa CFAO. Sasa huyu akikwambia RR ni unreliable utabisha?

My few cents.
 
Range Rover ikifanya maajabu

Land Cruiser, GLS 450, LX 570, QX80, Range Rover, BMW X7, G63​

Hii article imesaidia kusum up arguments zangu. Inacover kila kitu na sababu kwa nini bado zinajunuliwa sana (na research by J.D Power)

J.D. Power and Associates ran this study, and its findings are bleak for Land Rover lovers. This study took a look at owners of cars that were three-years old, which means that all the cars were from the 2017 model year. J.D. Power and Associates then, through the course of the year, took a look at how many problems each owner had with their three-year old car.

In Land Rover’s case, J.D. Power and Associates said that Land Rover had 220 problems per 100 cars over the year. This meant that, on average, every single owner reported about two issues in the year. It’s possible that some Land Rovers were more problematic than others, but overall, Land Rovers just had more issues than every other automaker.

It’s one thing to run a study and find some statistics, it’s another thing to see it in the real world. And, unfortunately for Land Rover, its cars often end up on lists of cars with poor reliability. Not all of Land Rover’s cars are unreliable, but it’s just a fact that many of its models aren’t that reliable according to their owners.

For example, some Range Rover owners on Reddit hate the car, in part due to its reliability issues. Reliability is one of the reasons why Land Rover’s aren’t very desirable, the other being the fact that it’s a luxury car brand that people are paying a lot of money for.

Like those owners on Reddit said, a luxury car should be worth its price tag. It certainly doesn’t make sense for those owners to buy a luxury car that is so unreliable that there is, on average, two issues with it every year. But still, despite the fact that many people don’t think luxury SUVs like a Range Rover are worth it, people are still buying Land Rovers.

The simple fact is that, despite its well-known reliability problems, Land Rover still makes some pretty great cars in other aspects. For example, the Defender is being updated to be very high-tech for its class. Updates like that to the Defender makes it worth the money even if its reliability issues frustrate its owners a lot.

On top of that, many rich and famous people who can afford to fix any reliability issues love Land Rovers. Celebrities from very different backgrounds, such as Kylie Jenner and Conor McGregor, are both Range Rover owners. The Range Rover may not be as reliable as a Genesis or a Lexus will be, but it’s more prestigious than a Genesis or a Lexus is.

That’s one of the other reasons this company continues to be successful despite its reliability issues. It still has the image of being a high-class automaker which makes cars for the rich and famous. People looking to be a part of that class may want a Land Rover despite its flaws.
 
Kutoka article nyingine ambayo link yake naiweka hapa kama mtu atataka kuisima kwa undani, ambazo walipata data pia from consumers

Conclusion: How reliable is Land Rover?

Land Rover and Range Rover are not reliable. It might be painful to admit it, but the evidence is clear to see. It’s mainly down to the amount of modern technology that is now in the cars because not long ago Land Rover cars were very reliable. Ultimately, though, people are still going to buy Land Rover’s and Range Rover’s because they look good, they drive well and there is an element of prestige to them. So will this article stop you? Possibly, but possibly not. However, it’s always good to know what you’re in for should you choose to buy, lease or finance a Land Rover or a Range Rover.
 
Ngoja nitoe mfano hapa. Sometime back nilitaka kununua SUV VW Touareg JAMAA ZANGU wakaribu bongo hii hii wakaniambia European cars are least reliable. Bongo hiyo gari itakutesa sana Na ushauri mwingi. But I loved the car big time. nikajilipua nikanunua VW machine nzuri kweli kweli from UK. It had less than three years.

nilifanya nini? Gari nilikaa nayo for four years. Siku zote niliendesha mwenyewe au my trusted driver na nilifanya service CFAO. Hii gari haikuwahi kunisumbua hata Mara moja. Niliendesha sana trips za Dar to Arusha na Mwanza. Ila gari mpaka naiuza haikuwahi kunipa shida.

sasa kwa scenario kama hiyo hapo juu, unreliability inatoka wapi? Mimi naamini unreliability au reliability ni swala la maintenance na utunzaji.

huwezi ukanunua RR unafanya service chini ya mwembe (wengi tunapenda sana kwa Kutumia excuse kwamba fundi ni ex mechanic wa dealer kama CFAO). Lazima gari itakuvuruga tuu. From my experience, ni waTanzania wachache hata wenye pesa walio na utaratibu wa kupeleka gari kwa dealer husika. Very few. Nina jamaa yangu ana RR hapa bongo mpaka leo gari anafanyia service Mbagala kwa fundi mstaafu wa CFAO. Sasa huyu akikwambia RR ni unreliable utabisha?

My few cents.
Nina classmate alinunua Merc Benz GLE brand new toka CFAO. Yani karatasi amechana mwenyewe. Gari ya Diesel. Kitu 0 km.

Wakati analinunua nilimuonea huruma sana na mafundi wetu bongo. Ila mpaka sasa hakuna siku limemfia mahali wala hizo air suspension kumfia sehemu. Service na maintanace ni kwa wakati na ni genuine spare parts.

Safari zote za mikoani ndo ilikuwa gari yetu pendwa. Tabora huko vijijini tunafuata asali almost kila baada ya miezi miwili tunatimba. Arusha, Moshi, Mbeya, Mwanza, Ukerewe, Lushoto gari imepasua.

Tena gari ya diesel hiyo. Na haijawahi kufa..

Ile inspiration nilioipata wakati ule, nimeamini reliability/unreliability ya gari ni state of mind. Nikaanza kuzipenda na kuziamini gari toka Europe.
 
Hizi zilikuwa gari kweli mzee sio upuuzi wa kuanzia 1998 na kuendelea.
Hahaha wewe Extrovert mtu wa Toyota.. Unaamini gari kweli kweli ni ngumu.. Haiendi garaje.. Inatumia oil yoyote.. Ila RR Classic haiwezi kufanana na hizi mpya.. New models ni moto zaidi..!
Hizo zitabaki enthusiasts cars..!
 
Ni moto kweli sio za kukimbilia zinaunguza wallet vibaya
 
I just did not like the carbon footprint.
Sir,

Hapa umefikiria mara tatu, sio mara mbili na definetely sio mara moja.

Anyway, mada ni ya magari. Ila kimsingi hii kitu. Aaah nimeikubali sana.
 
Experience yangu ni pikipiki.

Ila si inaplai kote tu.?

Race bikes za motorcross zimewekwa injini inayorev sanaa...... lakini ni kawaida kila baada ya race mbili, moja kuibomoa injini na kuijenga upya.

Lakini kuna bikes za cruise, na za adventure zenyewe sio kwa ajili ya kushindana mabio. Ila injini inaweza kuishi maisha yote ya chombo ikaguswa mara moja au isiguswe kabisa.

Kila chombo na matumizi yake na mazingira yake bhana. Mmiliki wa race bike anataka bike yake impe power kubwa amalize race husika basi. Ikifanya hivyo imeperform reliably. Ila mmiliki wa cruiser anataka imbebe masiku na wiki njiani mkoa hadi mkoa, ikifanya hivyo ndio imeperform reliably.

Sasa we umeambiwa RR ni luxury car, ya matajiri. Sasa tajiri anafanya nini kwenye sand dunes huko tena. Na sio kidogo tu kaadventure, lisafari la masiku kwelii!?? Halafu uje useme ni ureliable. Unreliable wich?

Ukichukua motorcross bike, ukacruisia mikoa mikoa itakufia. Vivyo hivyo ukichukua cruiser halafu ukarukie mawe magogo na viunzi itakufia tu.
 
Back
Top Bottom