mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,170
- 1,708
Mimi nina "Mapenzi ya Upofu"
Ila wewe huna "mapenzi ya upofu"
Gari ambayo haijarudishwa kiwandani kwa ubovu unataka kutuaminisha ni unreliable? Kila siku zinaletwa models mpya na zinanunuliwa. Wewe unataka kutuaminisha humu kwamba gari ni mbovu sana.
Mimi nipo upande tofauti na wewe hata kama sinunui hiyo gari ila siwezi kaza shingo kushupalia kwamba gari fulani ni unreliable.
Wabongo tunafahamika tuna ile fear of unknown. Thats because of ignorance, lack of exposure na poverty.
Miaka minne nyuma mtu akiomba ushauri kuhusu Subaru/Nissan, ila aina ya ushauri anaoupata humu unakatisha tamaa. Mara gari mbovu, spare hazipatikani, mafundi hakuna. Ila ukisoma between the line, ni poverty na lack of exposure. Hapo hujaongelea most of brands other than Toyota.
So, back to the point of RR, sijaona unreliability yake, hata hizo LCs zinawajambisha wengi tu mjini hapa.
Kama unataka gari ya kuzamia mtoni au kugonga nayo mawe, nunua trekta maana hakuna gari itavumilia hayo mambo.
In the family tushakuwa na Range Rover ya 1998, na najua since then changes kiasi gaji zimetokea. Na sikuichukia hiyo gari wakati nilipoiendesha. Ila matatizo yake pia nayajua.
Mimi similiki Toyota, na wala sina mapenzi hapa, naongea facts tu. If they are reliable than any other car ni sawa tu whether nazipenda au sizipendi.
Kuwa unreliable siyo lazima kuwe na recalls, inapimwa na matatizo over the course of ownership. Na most of these data come from the owners themselves. Kufunika matatizo yake hakukusaidii wewe wala prospective buyers. Kwanza ni vizuri wasiojua wajue wanataka kumiliki kitu gani (siyo kusema wasimiliki).
Nissan naendesha mpaka leo, Subaru Impreza nilikaa nayo mwaka nikauza, sasa naendesha Suzuki pia, WALA SI TOYOTA. Mtu akitaka ushauri wa hizo gari nampa honestly. RR ni luxury na features kibao ila THEY ARE ONE OF THE LEAST RELIABLE SUVS data na uzoefu vinaonyesha. Hii ni fact sio maoni tu, consumer reports zipo, bahati mbaya unazikataa kwa mapenzi yako na hiyo gari (huku ndo kujitia upofu sasa), unafikiri tunapinga tu. Ukianza kusema reliability ni state of mind, mwenzio akasema inategemea pesa uliyonayo, (huu ni upofu).
Hizi forums ni za kuambiana ukweli, mtu akiwa tofauti siyo lazima awe anaichukia au anataka tu kubishana. Kama una taarifa za kuonyeaha hii gari ni reliable (hasa kuliko LC na LX) leta hapa.
Ila nishaona unabishana tu na huna facts, so stick to what you believe, wanaotaka kuelewa wataelewa, naamini mjadala umesaidia kuwapa taarifa.
Conclusion yangu kwenye huu mjadala, ni kuwa hata kama unazingatia matunzo na unataka one of the most luxurious na prestigious SUVs nunua LR RR ila kama unataka a well balanced and reliable SUV, ambayo utapata matatizo machache wakati unaimiliki, itaenda km zaidi ya 300,000 bila kukaa garage muda mrefu, nunua LC au Lexus.
Adios