Introducing The Coalition for Reform and Democracy (CORD)

Introducing The Coalition for Reform and Democracy (CORD)

Raila, Kalonzo sign coalition pact

railakalonzo041212_inside.jpg

PM Raila Odinga, VP Kalonzo Musyoka and Moses Wetangula after signing pact[Photo:Eugene Mokua/Standard]

By Moses Njagi | The Standard | Dec 04, 2012

Prime Minister Raila Odinga and Vice President Kalonzo Musyoka signed a coalition agreement but left their supporters guessing on who would be the coalition's presidential candidate for the March 4 polls.

The two leaders were joined by Ford Kenya's Moses Wetangula as the key principals of the coalition, with leaders from 11 other political outfits joining them in the formation of Coalition for Reforms and Democracy (CORD).

Narc Leader Charity Ngilu, who has formally been associated with Deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta and Eldoret North MP William Ruto's alliance made a belated entry into the coalition, catching many supporters at the KICC grounds by surprise.

But as the leaders signed along the dotted lines of the coalition agreement that was later deposited with the registrar of Political Parties, they failed to answer the anxious question among their supporters at the grounds: who would sacrifice his presidential bid.

Kalonzo revealed that after beating the deadline for depositing of the coalition, the team would now focus on who would be Cord's flag bearer in the elections.

"The next phase is for us to agree on who will be the presidential candidate, who will get the Deputy President and who goes for the Leader of Majority," he announced.
 
Ukisoma vizuri matamshi ya Musyoka ni kwamba anaweza kuwa mgombea mwenza ikiwa itatokea. Lakini ktk siasa lolote linaweza kutokea ili mtu aweze kufikia malengo yake, kwa ODM na WDP kuungana si jambo geni ktk siasa. Tuwatakie kila heri

Leo kuna uzi unasema kuwa hawajamaa wamesha ungana. Pamoja na bwans Wetangula na bi Marha Karua.

Kwa wanaojua vizuri siasa za Kenya za Ukabila tupige hesabu hizi; Kama wakikuyu wote ambao ni 20% ya wakenya wote wakiungana na watu wa Ruto sijui ni ?%. Vs Watu wote wa Odinga ambao ni 12% na watu wa Kilonzo ?% na wa Wetangula ?% na wa Marha Karua sijui ni wa kabila gani na sijui wale wa miji kenda wa Jamhuri ya Mombasa wanaunga mkono nani . Mizani ya ushindi itakaaje kati ya makundi ya miunganiko hii?

Bwana AB TICHAZ anaweza kusaidia majibu.
 
in ernest, i think ODM's think tank is the best oiled machine in play, one card and the whole country shakes. Everybody is back to the drawing board. ODM is now officially Fully Armored. Totally Reloaded!! Musalia is totally written off!!
 
Sijawahi kuona changu wa kisiasa kama Stephen Kalonzo Musyoka. Kwa kikwao nadhani anaweza kuitwa ima kibeti au king'ee wa kisiasa. Ndugu zangu wa Mutomo, Kaiti, Wote, Mbooni, Mtitu andei, Kaneza na kwingineko Ukambani mmepigwa chenga na macho. Ndabasye wote Kulawe kamala Ngamanya.
 
Sijawahi kuona changu wa kisiasa kama Stephen Kalonzo Musyoka. Kwa kikwao nadhani anaweza kuitwa ima kibeti au king'ee wa kisiasa. Ndugu zangu wa Mutomo, Kaiti, Wote, Mbooni, Mtitu andei, Kaneza na kwingineko Ukambani mmepigwa chenga na macho. Ndabasye wote Kulawe kamala Ngamanya.

unlike Musalia who is a statehouse project, kalonzo comes with all kamba big whips, Ngilu, Wavinya Ndeti, Mutula, Johnstone Muthama, Kiema kilonzo, Kivutha, Tip Tip, its a wholesome move.
Lets check the odds for mudavadi....only him in TNA, this guy amelipwa well which explains the no luhya backing, today he freed the western block completely, good riddance! watch where the Bull fighter will go, all luhyas are out of love with Mudumber. Wetangula poised to be the next luhya king, with ababu n company being the hard knocks on the ground, the field generals to hog the point home. Luhyas have gotten a raw deal n musalia will get the ultimate backlash. Musalia is politically dead as we speak!! This is for free, courtsey of ground grapevine.
ION, Kosgey is holding up in ODM afterall, a true pal he is.
 
in ernest, i think ODM's think tank is the best oiled machine in play, one card and the whole country shakes. Everybody is back to the drawing board. ODM is now officially Fully Armored. Totally Reloaded!! Musalia is totally written off!!

MUSalia kwisha kazi. Kimbia kimbia yake hadi kakimbila choo cha kike.
 
Ugombea wa TNA bado upo mashakani kwani wazungu wanaweza wakawasaliti at anytime na kuwataka wasigombee kwa kuhoji itakuwa kama "rais na makamu" wake wakapatikana na hatia the Hague? Au hii mahakama ya waafrika iliyoulaya imeshindwa kazi?
 
Leo kuna uzi unasema kuwa hawajamaa wamesha ungana. Pamoja na bwans Wetangula na bi Marha Karua.

Kwa wanaojua vizuri siasa za Kenya za Ukabila tupige hesabu hizi; Kama wakikuyu wote ambao ni 20% ya wakenya wote wakiungana na watu wa Ruto sijui ni ?%. Vs Watu wote wa Odinga ambao ni 12% na watu wa Kilonzo ?% na wa Wetangula ?% na wa Marha Karua sijui ni wa kabila gani na sijui wale wa miji kenda wa Jamhuri ya Mombasa wanaunga mkono nani . Mizani ya ushindi itakaaje kati ya makundi ya miunganiko hii?

Bwana AB TICHAZ anaweza kusaidia majibu.

Mkuu ngoja nikupe darasa dogo hapo juu.

Kuhusu hao mabwana wawili, nitasema ni Uhuru Kenyatta peke yake ndiye aliye na command ya kura
kubwa sana ya wakikuyu. Huyu Ruto hana nguvu ya kiasi hicho ukilinganisha upande wa wa Kalenjin.
Ukweli ni kwamba kuna uhasama flani kati ya haya makabila mawili kuhusu maswala ya ardhi tangia jadi.
Yule Rais wa kwanza hayati Jomo Kenyatta alinyakua mashamba kibao ya wa-Kalenjin na kuwagawia
wakikuyu. Hili swala limekua linasumbua mda mrefu na hata baada ya ile kura ya 2007 wa-Kalenjin wakaona
wamepata kisingizio cha kunazisha fujo la kuwatimua wakikuyu mitaa ya Rift Valley.

Baada ya muafaka kupatikana kulikua na maswala kadhaa yalichukuliwa kama ajenda kuu na ilikua ni muhimu
yashughulikiwe. Ishu mojapo muhimu ilikua swala la ardhi. Hata hivyo miaka mitano imepita na serikali ya
Kibaki haijafanya lolote in that regard.

Sasa leo hii Wa-Kalenjin vijijini wanaona huyu Ruto kwa kweli keshakua hayawani ikiwa anaingia mkataba wa
kura na Uhuru Kenyatta...mwanae Jomo Kenyatta aliyeiba mashamba yao!!!...Kwa ufupi, wakiungana na Uhuru
ndo basi tena, wasahau kama ardhi itarudi. Mtazamo wao ni kwamba Ruto kaenda kwenye huu mkataba peke yake
na hajabeba jamii ya wakalenjin. Wenyewe ilugha wanasema "Achicha Wendi kityo"...kwa ufupi huo mlima utaenda
kuupanda pekeyo...sisi hatumo.

Mtazamo wa pili ni kwamba wakenya kwa sasa wamechoka kutawaliwa na kabila moja na kwa sasa wanataka kitu
tofauti. Ukitazama kwa undani unaona pia kua huu ushirikiano kati ya Ruto na Uhuru ni kwa sababu wanaandamwa
na mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (ICC)...wanajua hii kitu sio mchezo kulingana na kwamba Kenya ilitia
sahihi mkataba wa ku-ratify ICC na huwezi ukajiiondooa kiholelaholela. The only way wanaweza ku-survive ni iwapo
watakua Rais na kukiuka sheria zozote za kimataifa kama vile Al-Bashir wa Sudan.

Ukileta swala la ukabila basi hapo ishu inaganda maana haya ni makabila mawili ambayo kwa akili zao fupi hawaoni
kama yale makabili mengine si yataungana against them? Hii ndio inaitwa conterproductive move ambao watajuta
nayo. Leo haya 'makabila mengine yanaelekea upande wa Raila Odinga na ODM na itakua vigumu kupambana na
wimbi kama hili.....Tazama picha zitakupa muelekeo.

hm51212-2.jpg



Homepageraila041212.jpg
 
Mkuu Ab Tichaz. Heshima kwako mkuu.
Nimetosheka na maelezo yako jadi hapo mwisho wa picha ya pili. Wakati fulani kule Nairobi niliwahi kumuuliza mwendesha boda bada aliyenibeba kuhusu muunganiko huu unaoitwa sasa Uhuruto ili kuona mawazo yako. Kwa kweli utadhani mlifikiri pamoja. Jumla ya maneno yake yalikuwa "walidanganya sisi tukaingia vitani leo wanataka kudanganya sisi eti tuwe marafiki, wakati wa vita hatuoni wao wakibeba mishale" yaani wao Uhuruto. Ukweli sikumuuliza kama yeye ni kabila gani.

Upande wa Muunganiko wa pili ambao umeitwa Railonza sina maelezo ya kutosha zaidi ya umaarufu wa viongozi wao wakuu yaani bwana Raila mwenyewe na bwana. Kalonzo. Pale juu niliuliza asilimia za jumla ya watu toka Ukambani ili tujumlishe tuone je zitatosha kuwapiku muunganiko wa Uhuruto? kama itatokea lazima kwa kikuyu na kalenjini wapigie kura Uhuruto?

Lingine muunganiko wa Railonzo una vyama vingine kumi na vine vikiwemo vya Charity Ngilu na wengineo. Swali ni je kama ikitojea lazima kwa kila tu wa viongozi wa vyama hivi wapigie muungano wa Railonzo watasaidia kuwashinda ule muungano wa pili kwa kiasi gani?

Jambo jipya ninaloliona safari hii kwa bwana Raila ni kuwa ni kama kawa mtulivu zaidi maana zile mbwebwe zake tulizozioea ambazo zimeleta mabadiliko makubwa katika siasa za Kenya za Kibaki Tosha, Katiba Mpya, Chura kugombea maji na nyingine nyingi naona kama hanazo. Je, wafikiri ni kwa nini ? au ni kwa sababu anajua mwenyewe upepo unavyomwendea kwa kuwa waswahili tunasema " ukisikia mwanaume hakoromi ujue yuko macho". Mungu ibariki Kenya.
 
in ernest, i think ODM's think tank is the best oiled machine in play, one card and the whole country shakes. Everybody is back to the drawing board. ODM is now officially Fully Armored. Totally Reloaded!! Musalia is totally written off!!

mkuu umesema kweli,kwa sasa Odm is the talk of the day.nahisi historia inajirudia amin usiamini,uhuruto hawana chao tena.odm is loaded with mature politician.
 
OK remember perceptions are not the reality on the ground. Railas strength would vie RV Votes to clinch the presidency, however, tinderet MP is a non starter who he cannot rely on other than an expected dreaded affirmation that he has been reduced to a party insider and a deal negotiator. Franklin bett from the kipsigis community has more backbone and more say in RV under the kipsigis than tinderent MP under kalenjin, therefore kosgey is an ICC relieved suspect who is just an excess baggage to ODM. It is better Raila offload those excess baggages if he is to succeed. That is why RAILA knowing this maintained silence all along without terming him a running mate. Talk of slow pple kosgey has watched himself commit political suicide under ODM.

An akamba paradoxical merger of kalonzo and ngilu, like a mixture of oil and water under ODM, is a failure in the making, as one will receive a raw deal or either be jilted, one of them will be at home come 2013. As for uhuruto, they have bagged the chunk of RV votes. Thinking wetangula in his own self will manage to pull all western kenya votes is a speech made by those naive. Votes from bungoma county are not even an inch of votes from the greater vihiga, Kitale and kakamega counties.It is only fair to say ODM's patience has been rewarded amid heckles of failing to make mergers before the deadline by a string of eleventh hour defections but this however does not imply direct/automatic success of clinching the presidency..

I think even bensouda must b mesmerized and asking herself tough questions about Kalonzo's loose nuts and sudden reconsidering of his position under G7 to escape her sledge hammer.
 
Hii ni jana Nairobi ilivyokua imefurika na umati wa watu kushuhudua mkataba wa siasa kati yake na makamu wa Rais...


8247589954_7bb7799896_b.jpg





8247589596_0f6024098d_b.jpg




8246522001_b679a7216a_b.jpg





8247590376_67534a2209_b.jpg

 
Lakini kwa bahati mbaya wale wahuni wa ''Kusema na Kutenda'' a.k.a vijana wa The Hague wamemukalia vibaya kwa kuyapotosha makabila yao,lakini kwa hakika Amolo ni jembe la ukweli.Pia namshangaa Mudavadi alichomkataa Odinga sasa huko alikoenda kwa hao wahuni asitegemee atamshinda Uhuru,hizo ni ndoto,yeye anapiga hesabu kuwa atapita''katikati''yao wakati wakielekea kupigwa baridi kali la The Hague,ni sawa na fisi anayesubiri mkono udondoke.hata hivyo Mzee Moi alikuwa sahihi aliposema Kanu itatawala milele ona hiyo coliation ya akina Uhuru,Mudavadi si ni kanu ileile ya mzee Moi,chezee mzee wa Kabarak wewe...
 
aiseeeeeee babaangu ngoja niamie kenya kwenye democrasia ya ukweli
 
Back
Top Bottom