WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,234
Odinga nouma, :becky::becky:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisoma vizuri matamshi ya Musyoka ni kwamba anaweza kuwa mgombea mwenza ikiwa itatokea. Lakini ktk siasa lolote linaweza kutokea ili mtu aweze kufikia malengo yake, kwa ODM na WDP kuungana si jambo geni ktk siasa. Tuwatakie kila heri
Sijawahi kuona changu wa kisiasa kama Stephen Kalonzo Musyoka. Kwa kikwao nadhani anaweza kuitwa ima kibeti au king'ee wa kisiasa. Ndugu zangu wa Mutomo, Kaiti, Wote, Mbooni, Mtitu andei, Kaneza na kwingineko Ukambani mmepigwa chenga na macho. Ndabasye wote Kulawe kamala Ngamanya.
in ernest, i think ODM's think tank is the best oiled machine in play, one card and the whole country shakes. Everybody is back to the drawing board. ODM is now officially Fully Armored. Totally Reloaded!! Musalia is totally written off!!
Leo kuna uzi unasema kuwa hawajamaa wamesha ungana. Pamoja na bwans Wetangula na bi Marha Karua.
Kwa wanaojua vizuri siasa za Kenya za Ukabila tupige hesabu hizi; Kama wakikuyu wote ambao ni 20% ya wakenya wote wakiungana na watu wa Ruto sijui ni ?%. Vs Watu wote wa Odinga ambao ni 12% na watu wa Kilonzo ?% na wa Wetangula ?% na wa Marha Karua sijui ni wa kabila gani na sijui wale wa miji kenda wa Jamhuri ya Mombasa wanaunga mkono nani . Mizani ya ushindi itakaaje kati ya makundi ya miunganiko hii?
Bwana AB TICHAZ anaweza kusaidia majibu.
in ernest, i think ODM's think tank is the best oiled machine in play, one card and the whole country shakes. Everybody is back to the drawing board. ODM is now officially Fully Armored. Totally Reloaded!! Musalia is totally written off!!