Investigative Journalist Catherine Kahabi: Kuweni makini na wanaotangaza Utajiri wao kwani Wengi wao ni Mashoga au Mawakala

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Inasikitisha sana kuona Kiongozi fulani au Msanii fulani au Mtu tu anaibuka na Kutangaza Utajiri wake huku akitudanganya Watanzania kuwa ameanzia mbali hadi kuwa hivyo wakati kumbe Ukweli ni kwamba ama Yeye ni Shoga au ni Wakala Mkubwa wa Kuwauza Vijana na Watoto kwa Matajiri wapenda Mashoga na Mashirika yao yaliyoko duniani" amsema Dada Catherine Kahabi ( Investigative Journalist ) katika Presentation yake juu ya Ripoti yake Maalum juu ya hali mbaya ya Ushoga nchini Tanzania.

Eti Mimi nina Shamba Kubwa nalima ndiyo maana nimekuwa Tajiri hivi hivyo Vijana nanyi njooni huku kumbe unatuzuga tu bali Wewe ni Wakala wa Kuuza Vijana ( Watoto wa Kiume wa Kitanzania ) kwa Matajiri wa Kiafrika, wa Kizungu wapenda Mashoga na Mashirika yao makubwa ya Kitajiri duniani.

Hovyoooooo.......!!!!!!
 
Raja anakusabahi
 
Mkuu Casablanca sio salama huko.
 
Mambo yenu ya ushoga msiwe mnayaleta humu jukwaani
 
Dunia ikipunguza mwendo naruka,sishuki
 
Cathe Kahabi mwenyeewe anamaskendo ya kusagana na yule dada wa covid 19 mwenye sauti kama imekauka hivi. Anatuambia nn huyo mwana habari mpelelezi? Kwanza Amefuta ile tatoo mkononi?
 
Cathe Kahabi mwenyeewe anamaskendo ya kusagana na yule dada wa covid 19 mwenye sauti kama imekauka hivi. Anatuambia nn huyo mwana habari mpelelezi? Kwanza Amefuta ile tatoo mkononi?
Ndio maana nimemwambia mtoa mada waache kutulea habari zao za kupromote ushoga hapa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…