Investors: Nairobi slowly taking Johannesburg's place as Sub Saharan Africa's first choice for HQs

Babake amefanya nn sasa??

Smh!!

Stop being petty babake ndie amepost hyo comment...

Wewe mtoto nn?
 
Kama 92 ya dar ( 92 ya dar ni zaidi ya Nairobi nzima) ni slum bhasi dar ingekuwa na largest slum in the world ... Sasa mbona dar haina Hiyo fame kuliko Nairobi ????...

Can you explain more bout this
There is sumthing wrong with your logic here. Inawezekana mji kuwa na slums nyingi tu, lakini ndogo ndogo, ilhali kuna miji (kama Nairobi), slums chache lakini mikubwa na yenye wakazi wengi.

Tazama miji kama Capetown na Lagos. Lagos iko na slums nyingi sana, lakini hamna hata moja imeorodheshwa kuwa ni kubwa kushinda ile slum ya Khaelitsha jijini C.Town, ambalo sijui ndio ya pili baada ya Kibera.

Kampala haina slum kubwa kushinda Kibera, lakini mimi naona iko na slums nyingi kila mahali kuliko makazi ya hadhi kama Nairobi.
 
Cant get clear than this! weka kiswahili for Ichoboy01 na wenzake wa Dar diehards.,
 
Yes. Nairobi is the best city in the world, happy to hear that????
 
Do you even know what 92 percent stands for brother ... its above an average meaning its something that is observable .... huwezi kuniambia mji uliopo na 92% slum ukawa una slums ndogondogo wakati areas zilizopo poa ni 8 percent ..yaani how on earth can 8 % dissolve 92% hadi isiwe observable ?????.....
How is that even possible , hebu niambie zaidi
 
Cant get clear than this! weka kiswahili for Ichoboy01 na wenzake wa Dar diehards.,
Akili za kuambiwa uwe unachanganya na zako ... sio unakurupuka tu na kudandia train kwa mbele ..huwezi kujua unapokwenda
 
Is this not 92% then yenye imebaki ni cbd
 
Sisi 10 years from now Nairobi watakuwa wageni wetu
 
Yes. Nairobi is the best city in the world, happy to hear that????
now that was not so difficult to admit...was it? well, Nairobi may not be the best in the world, but one thing I'm sure, it is way better than ur dirty slum villade...dar is slum..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.Tallest building in Africa soma lebo...ur backward village can only dream of that in 100 years...
 
Is this not 92% then yenye imebaki ni cbd
Dahhhhh im tired of explaining bout this all the time .. kwa hiyo iyo high oblique view ndo imejustify kuwa hiyo ni 92 % ...
nikuambie tu hiyo unayoiona ni slum .mtu yeyote mstaarabu anaweza kuishi maana inayooneshwa hapo ni poor urban planning lakini ukiweka hizo picha zenu yaani hata kama ni aerial view ,hata mtoto mdogo atajua kuwa hiyo sio sehemu salama ya kuishi

By the way dar is more than what ur filthy pic is depecting ... hujawahi kufika dar kabisaa hivyo, jiandae kwa safari utalii mwenyewe na sio kusubiri maneno ya jf ili upate kuchangia
 
Unplanned settlements = slums
 
Ndugu yangu achana na hao viumbe wakenya, kwani ni nani hajui tabia zao za kujiona na kudharau wengine? Wanafahamika hata pale AU Addis. Achana nao wasikupotezee muda. Hapa AU huwa tunawapiga kimya kimya tu kwa Soviet style
 
Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…