Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi tangu nione tu hilo jina nilishtuka nikajua tu huyu ni member wa kawaidaSio siri mi mwenyewe mara kwanza kuona post yako na lile jina sio siri nilishangaa kidogo.
Ila nikajumlisha baadae nikatoa mwisho wa siku nikapata jibu kumbe wewe sio mmoja kati ya Staff Members.
Hahaaa. Bora kalibadilisha mana kuna majina yana heshima yake kuanzia uanzishaji wa uzi mpaka uchangiaji.Mimi tangu nione tu hilo jina nilishtuka nikajua tu huyu ni member wa kawaida
Ni kweli kabisa My DadaHahaaa. Bora kalibadilisha mana kuna majina yana heshima yake kuanzia uanzishaji wa uzi mpaka uchangiaji.
Kweli kabisa mana huwa hawachangii hovyo hovyo mpaka sehemu yenye mkanganyiko ndio utawaona.Nilikuwa natumia vibaya jina la baba mwenye nyumba!
Sawa broo naona umerudii kwenye kiti chakoHaya mkuu, tumekupata
HahahahSawa broo naona umerudii kwenye kiti chako
Nokia ya Torch
Nilizidisha na kugawanya baada ya kuona neno user nikajua si father houseSio siri mi mwenyewe mara kwanza kuona post yako na lile jina sio siri nilishangaa kidogo.
Ila nikajumlisha baadae nikatoa mwisho wa siku nikapata jibu kumbe wewe sio mmoja kati ya Staff Members.
Hahaaaa. Aiseee. Watoto wazuri tulitumia mahesabu kupata jibu. LolNilizidisha na kugawanya baada ya kuona neno user nikajua si father house
Ndio,maana nikasema from invisible to invisible user hiyo vepe??Hahaaaa. Aiseee. Watoto wazuri tulitumia mahesabu kupata jibu. Lol
Nakusalimia mumy mzima?
BestSio siri mi mwenyewe mara kwanza kuona post yako na lile jina sio siri nilishangaa kidogo.
Ila nikajumlisha baadae nikatoa mwisho wa siku nikapata jibu kumbe wewe sio mmoja kati ya Staff Members.
Hahahaaaa.Ndio,maana nikasema from invisible to invisible user hiyo vepe??
Mi mzima dear,za wewe?
Niambie best. Habari ya jumapili?Best
Ni nzuri tu na vp weweNiambie best. Habari ya jumapili?
Salama kabisa best.Ni nzuri tu na vp wewe