Invisible User:Bado nipo...wamenibadili jina tu!

Invisible User:Bado nipo...wamenibadili jina tu!

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
Unajua nilikuwa napokea pm kibao za kuunga watu jukwaa la wakubwa?
Ile id ya Invisible User ilikuwa inafananishwa na yule baba mwenye nyumba...
Sasa wameamua kunibadili jina sasa ni Ubongo Mpana....aka ~The Brain~
 
Hao waliokuwa wanakuja pm mbona wanashangaza.

Karibu tena katika muonekano mpya.
 
Sio siri mi mwenyewe mara kwanza kuona post yako na lile jina sio siri nilishangaa kidogo.

Ila nikajumlisha baadae nikatoa mwisho wa siku nikapata jibu kumbe wewe sio mmoja kati ya Staff Members.
Mimi tangu nione tu hilo jina nilishtuka nikajua tu huyu ni member wa kawaida
 
Hahaaa. Bora kalibadilisha mana kuna majina yana heshima yake kuanzia uanzishaji wa uzi mpaka uchangiaji.
Nilikuwa natumia vibaya jina la baba mwenye nyumba!
 
Sio siri mi mwenyewe mara kwanza kuona post yako na lile jina sio siri nilishangaa kidogo.

Ila nikajumlisha baadae nikatoa mwisho wa siku nikapata jibu kumbe wewe sio mmoja kati ya Staff Members.
Nilizidisha na kugawanya baada ya kuona neno user nikajua si father house
 
Ndio,maana nikasema from invisible to invisible user hiyo vepe??
Mi mzima dear,za wewe?
Hahahaaaa.

Za kwangu salama kabisa namshukuru mungu. Uwe na weekend njema my dear.
 
Back
Top Bottom