Wadau naomba mnisaidie, nina experience ya kukutana na vibinti yaani niko kwenye hatua za awali za kutongoza hata kabla jibu la kukubaliwa au kukataliwa, binti anaanza kumwaga matatizo yake.... na ukikaa vibaya ooh kodi ya nyumba imeisha ooh tv yangu ni ya kizamani nahitaji Digital Tv oooh....
wananikera mnooooo
hivyo vina utapiamlo wa akiliWadau naomba mnisaidie, nina experience ya kukutana na vibinti yaani niko kwenye hatua za awali za kutongoza hata kabla jibu la kukubaliwa au kukataliwa, binti anaanza kumwaga matatizo yake.... na ukikaa vibaya ooh kodi ya nyumba imeisha ooh tv yangu ni ya kizamani nahitaji Digital Tv oooh....
wananikera mnooooo
kumbe zinauzwa?Sasa ulitaka bure?eeeh kula na kulipa weweeeee...
Sasa watajuaje kama uko tayari kuwekeza. . . ?
ndo kanuni ya mjini kwa mabishoo kama nyie,ndo kwanza tumetoka date ya kwanza unaanza kujidai u can provide everything for me wat do u expect?wa dizaini yako hatuwafunguliagi mioyo tunawafungulia wallet muweke hela.
Sasa ulitaka bure?eeeh kula na kulipa weweeeee...
"Matezo n'gharama" msemo wa Mombasa huo. Oa ujinunulie mwenyewe hivyo vitu na familia yako, wacha uzinzi, vitu utanunuwa na UKIMWI utaupata. Hasara juu ya hasara.