Invoice zinatisha

Invoice zinatisha

SMART1

Senior Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
133
Reaction score
48
Wadau naomba mnisaidie, nina experience ya kukutana na vibinti yaani niko kwenye hatua za awali za kutongoza hata kabla jibu la kukubaliwa au kukataliwa, binti anaanza kumwaga matatizo yake.... na ukikaa vibaya ooh kodi ya nyumba imeisha ooh tv yangu ni ya kizamani nahitaji Digital Tv oooh....
wananikera mnooooo
 
pole sana pesa matumizi..............
 
"Matezo n'gharama" msemo wa Mombasa huo. Oa ujinunulie mwenyewe hivyo vitu na familia yako, wacha uzinzi, vitu utanunuwa na UKIMWI utaupata. Hasara juu ya hasara.
 
Sasa watajuaje kama uko tayari kuwekeza. . . ?
 
Wadau naomba mnisaidie, nina experience ya kukutana na vibinti yaani niko kwenye hatua za awali za kutongoza hata kabla jibu la kukubaliwa au kukataliwa, binti anaanza kumwaga matatizo yake.... na ukikaa vibaya ooh kodi ya nyumba imeisha ooh tv yangu ni ya kizamani nahitaji Digital Tv oooh....
wananikera mnooooo

Sasa ulitaka bure?eeeh kula na kulipa weweeeee...
 
Wadau naomba mnisaidie, nina experience ya kukutana na vibinti yaani niko kwenye hatua za awali za kutongoza hata kabla jibu la kukubaliwa au kukataliwa, binti anaanza kumwaga matatizo yake.... na ukikaa vibaya ooh kodi ya nyumba imeisha ooh tv yangu ni ya kizamani nahitaji Digital Tv oooh....
wananikera mnooooo
hivyo vina utapiamlo wa akili

kuombaomba ni dalili ya kutaka zaidi ya uwezo

hujaombwa laptop tu?
 
tatizo umeingia na gia ya kutoa mkwanja akajua hapa swadakta mkuu tumia hela ikuzoe na hapo ujamuweka ndanii...:director:
 
tatizo ni wewe mtongozaji unajipeleka kipesapesa na huyo binti anaona kabisa huna mapenzi bali unataka kununua huduma ya penzi
 
vinapenda sanaa, oh cna gar! mm namwambiaga aendelee kupanda bodaboda!
 
Usiwalaum lbd huwa unaingia kwa majigambo na unajionyesha kuwa una hela ndo maana wanakuomba
 
kula kwanza halafu ndo ulipe. hawachelewi kukung'onga kisogoni unapotoa kabla ya kula
 
ndo kanuni ya mjini kwa mabishoo kama nyie,ndo kwanza tumetoka date ya kwanza unaanza kujidai u can provide everything for me wat do u expect?wa dizaini yako hatuwafunguliagi mioyo tunawafungulia wallet muweke hela.
 
ahsante binti umenifumbua macho,japo kwa sasa niko ktk maombi ili nibadili tabia na kuachana kabisa na vitendo viovu,
eeh Mola nitangulie.
 
Hiyo gia unayoingia nayo ni mbaya mkubwa,.
Hata kama una hela, jifanye sometimes kwamba hzo hela zina matumizi makubwa,...girl atavumilia asikuambie matatizo yake mapema, huku penzi linasonga Mbele,
ila umvute kwa vizawad vya hapa na pale na hela ya Taxi usisite kutoa,
 
wanatamani kufunga ndoa na atm.
 
Back
Top Bottom