Wadau naomba mnisaidie, nina experience ya kukutana na vibinti yaani niko kwenye hatua za awali za kutongoza hata kabla jibu la kukubaliwa au kukataliwa, binti anaanza kumwaga matatizo yake.... na ukikaa vibaya ooh kodi ya nyumba imeisha ooh tv yangu ni ya kizamani nahitaji Digital Tv oooh....
wananikera mnooooo
wananikera mnooooo