INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

Asante mkuu kwa kufanya Biashara na wewe
 
π‡πŽπŒπ„π“π‡π„π€π“π‘π„ πŸ“.𝟏 π”πŠ π‡πŸπŸ‘
π’π‡πˆπ‹πˆππ†πˆ 300,000/= ππ„πŠπ„π„
πŸ“.𝟏 π’ππ„π€πŠπ„π‘π’
πŒπŽπ‹πƒπ„πƒ πŒπ”π’πˆπ‚
 
yani mtu anakuambia eti tupo kariakoo ila tunauzia online[emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo ukisikiliza maneno ya watu utakuwa hutumii vitu vizuri na hata ukivitumia utakuwa unapigwa bei vibaya sana.

Mimi kuanzia simu ninayotumia vitu vyote vya nyumbani kasoro fridge nimenunua online tena kupitia kwa Mtanzania,nachofanya natafuta link ya kitu husika naangalia reviews zake nikiridhika namtumia link anaweka ganji yake namuingizia hela nasubiri mali yangu.

Mwaka wa nne huu simfahamu hanifahamu zaidi najua yupo Dodoma mimi nipo Dar naamini waaminifu bado wapo siyo kila mtu ni mwizi.
 
Friji ndogo zile za milango miwili au mmoja za kukaa geto tu bei gani,na tcl tv inch 32
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…