INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

Alitop smart android frameless Kwa sh 250,000/=
IMG-20221128-WA0008.jpg
 
Tumia hii ndo iko economical
3G+1E+EO: Ina maana jiko lina plate 3 za gas, plate 1 umeme na Oven ni umeme sababu inakupa option ya gas kama hutaki kutumia umeme, Ila pia kama gas imekuishia ghafla unaweza tumia umeme kwa hiyo una save time

Ila kwa ishu yako ya tarrif four ni Bora uka opti yanayotumia gas tu
Asante mkuu kwa kufanya Biashara na wewe
 
𝐇𝐎𝐌𝐄𝐓𝐇𝐄𝐀𝐓𝐑𝐄 𝟓.𝟏 𝐔𝐊 𝐇𝟏𝟑
𝐒𝐇𝐈𝐋𝐈𝐍𝐆𝐈 300,000/= 𝐏𝐄𝐊𝐄𝐄
𝟓.𝟏 𝐒𝐏𝐄𝐀𝐊𝐄𝐑𝐒
𝐌𝐎𝐋𝐃𝐄𝐃 𝐌𝐔𝐒𝐈𝐂
IMG-20221104-WA0018.jpg
 
yani mtu anakuambia eti tupo kariakoo ila tunauzia online[emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo ukisikiliza maneno ya watu utakuwa hutumii vitu vizuri na hata ukivitumia utakuwa unapigwa bei vibaya sana.

Mimi kuanzia simu ninayotumia vitu vyote vya nyumbani kasoro fridge nimenunua online tena kupitia kwa Mtanzania,nachofanya natafuta link ya kitu husika naangalia reviews zake nikiridhika namtumia link anaweka ganji yake namuingizia hela nasubiri mali yangu.

Mwaka wa nne huu simfahamu hanifahamu zaidi najua yupo Dodoma mimi nipo Dar naamini waaminifu bado wapo siyo kila mtu ni mwizi.
 
Friji ndogo zile za milango miwili au mmoja za kukaa geto tu bei gani,na tcl tv inch 32
 
Back
Top Bottom