INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

Harman kardon onyx studio 7 sh 700,000/=
images - 2022-12-09T115327.960.jpeg
 
Pumbavu kabisa unaleta story za kipuuzi
Sure sure , sema hujaelewa ama kufuatilia kuwa nilianzaje na jamaa. Ila na wewe uko sawa kabisa na umepatia. Unaweza ukaongezea na mchango mwingine unakaribishwa. Mana binadamu Ni yule yule Jana ,Leo na kesho. Tabia za binadamu ndio eneo langu la taaluma yangu.

Binadamu maamuzi yake yanaongozwa na ego,fear,hope,greed jumlisha angry, depressed, desperate,envy sema zile za kwanza ndio kubwa mno. Yaani fear,ego,greed na hope. Hizi zinafanya watu wanakuwa matajiri na masikini kwa ajili ya hizi emotions tu na hakuna kingine. So it become my area of interest. Tena napenda mtu anayenitukana ananishambulia ananiambia maneno ya matusi Mana kwanza hakuna tuai jipya. Nimeshayasikia Nina miaka mingi mpaka nishakuwa immunized na harsh language.


Tangiapo ukinitukana Unanifanya ego yangu inakuwa down. Na ikiwa down inamana ndio uwezekano wangu wa kumeki mane. So karibu Sana Genius wangu mjanja.

I need to ambush,fire,fight,beat my ego so down.
My ego must be replaced by humility.
 
Sure sure , sema hujaelewa ama kufuatilia kuwa nilianzaje na jamaa. Ila na wewe uko sawa kabisa na umepatia. Unaweza ukaongezea na mchango mwingine unakaribishwa. Mana binadamu Ni yule yule Jana ,Leo na kesho. Tabia za binadamu ndio eneo langu la taaluma yangu. Binadamu maamuzi yake yanaongozwa na ego,fear,hope,greed jumlisha angry, depressed, desperate,envy sema zile za kwanza ndio kubwa mno. Yaani fear,ego,greed na hope. Hizi zinafanya watu wanakuwa matajiri na masikini kwa ajili ya hizi emotions tu na hakuna kingine. So it become my area of interest. Tena napenda mtu anayenitukana ananishambulia ananiambia maneno ya matusi Mana kwanza hakuna tuai jipya. Nimeshayasikia Nina miaka mingi mpaka nishakuwa immunized na harsh language.


Tangiapo ukinitukana Unanifanya ego yangu inakuwa down. Na ikiwa down inamana ndio uwezekano wangu wa kumeki mane. So karibu Sana Genius wangu mjanja.

I need to ambush,fire,fight,beat my ego so down.
My ego must be replaced by humility.
Dah.... Hadi nimejiskia vibaya. Nisamehe mtu wangu. Sometimes zinakuwa ni stress tu za umeme kukatika na jua kuwa kali. But nothing personal. So forgive me my brother.
 
Dah.... Hadi nimejiskia vibaya. Nisamehe mtu wangu. Sometimes zinakuwa ni stress tu za umeme kukatika na jua kuwa kali. But nothing personal. So forgive me my brother.
Kuwa na amani.sema bana napenda hata niandike Uzi niruhusu watu wote hapo kila mmoja anitukane ili niweze ku confront my psyche/emotional pains due to ego.
Naomba u relax sometime namie huwa nashambulia Kama na wewe ulivyofanya. Yaani ulivyo namie Niko ivyo ivyo.


Kuwa huru kabisa kwa moyo mmoja.
 
OVEN KUBWA (EURO STRONG)
Tray moja umeme sh 900,000/= gas sh 1,150,000/=
Tray mbili umeme sh 1,250,000/= gas sh 1,650,000/=
Tray nne umeme sh 2,600,000/= gas 3,600,000/=
Tray 6 umeme sh 3,600,000/= gas 4,600,000/=
IMG-20221209-WA0016.jpg
IMG-20221209-WA0015.jpg
 
Back
Top Bottom