Ramoth Gilead Appliances
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,764
- 558
- Thread starter
- #481
Harman kardon onyx studio 7 sh 700,000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavu kabisa unaleta story za kipuuzi
Sure sure , sema hujaelewa ama kufuatilia kuwa nilianzaje na jamaa. Ila na wewe uko sawa kabisa na umepatia. Unaweza ukaongezea na mchango mwingine unakaribishwa. Mana binadamu Ni yule yule Jana ,Leo na kesho. Tabia za binadamu ndio eneo langu la taaluma yangu.Pumbavu kabisa unaleta story za kipuuzi
Dah.... Hadi nimejiskia vibaya. Nisamehe mtu wangu. Sometimes zinakuwa ni stress tu za umeme kukatika na jua kuwa kali. But nothing personal. So forgive me my brother.Sure sure , sema hujaelewa ama kufuatilia kuwa nilianzaje na jamaa. Ila na wewe uko sawa kabisa na umepatia. Unaweza ukaongezea na mchango mwingine unakaribishwa. Mana binadamu Ni yule yule Jana ,Leo na kesho. Tabia za binadamu ndio eneo langu la taaluma yangu. Binadamu maamuzi yake yanaongozwa na ego,fear,hope,greed jumlisha angry, depressed, desperate,envy sema zile za kwanza ndio kubwa mno. Yaani fear,ego,greed na hope. Hizi zinafanya watu wanakuwa matajiri na masikini kwa ajili ya hizi emotions tu na hakuna kingine. So it become my area of interest. Tena napenda mtu anayenitukana ananishambulia ananiambia maneno ya matusi Mana kwanza hakuna tuai jipya. Nimeshayasikia Nina miaka mingi mpaka nishakuwa immunized na harsh language.
Tangiapo ukinitukana Unanifanya ego yangu inakuwa down. Na ikiwa down inamana ndio uwezekano wangu wa kumeki mane. So karibu Sana Genius wangu mjanja.
I need to ambush,fire,fight,beat my ego so down.
My ego must be replaced by humility.
Hii inafanya kazi vp?*BRUHM WASHING MACHINE 7KG || sh 470,000/=
Kuwa na amani.sema bana napenda hata niandike Uzi niruhusu watu wote hapo kila mmoja anitukane ili niweze ku confront my psyche/emotional pains due to ego.Dah.... Hadi nimejiskia vibaya. Nisamehe mtu wangu. Sometimes zinakuwa ni stress tu za umeme kukatika na jua kuwa kali. But nothing personal. So forgive me my brother.
Inafua nguo (Mashine ya kufua nguo)Hii inafanya kazi vp?
Najuwa ni mashine ya kufua nguo,,Inafua nguo (Mashine ya kufua nguo)
Ni manual inafua na kusuuza tu haikaushiNajuwa ni mashine ya kufua nguo,,
Ila inafua na kusuuza na kukausha ?
Weka details zake .
OkNi manual inafua na kusuuza tu haikaushi