INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

Stki kuongea sana siku moja nitaongea usije sema nakuarbia biashara zako.....ila kuna watu watakuja kutoa ushuhuda humu maana meseji s hukutaka kujibu unapotezea sawa
Ngoja nikueleweshe kwa manufaa ya wengi;
Tv nyingi zinazouzwa zikija mpaka kwa muuzaji hazina waya wa hdmi, hazina tv guard, hazina waya wa kuconnect na subwoofer, na nyingi inch 43 kushuka chini hazina bluetooth

Muuzaji anaweza kukupa hivyo vitu bure lakin kiuhalisia sio bure bali ame-jumuisha kwenye bei aliyokuuzia tv ndo maana muuzaji akikuuzia bei ya chini sana hawez kupa hata kimoja wapo, ila kama akikuuzia bei ya juu anaweza kukupa hivyo vitu kama bonus lakin-kiuhalisia ni wewe umevinunua indirect kupitia ile hela yako ya tv

Mfano kwa tv inch 43 kushuka chini hazina bluetooth kwa hiyo ukitaka kutumia bluetooth inabidi ununue bluetooth device kamwe hii sio sehemu ya warranty

Mfano ukitaka waya wa hdmi wenye ubora wa juu kabisa kama hdmi 30 ni elfu 40 na kuendelea, ukienda mwenge hadi elfu 60 wanakuuzia na huu hdmi 30 ni ngumu sana muuzaji kukupa kama bonus inabid ununue kama mteja, sababu hata ule unaopewa bure ni hdmi 1.5 au hdmi 5 na huwa hazina quality zina ubora wa chini sana, na kamwe waya wa hdmi sio sehemu ya warranty
 
ZUNNE 32__sh 245,000/=

7868AD6F-4A70-486C-8AAA-4B6156788D0A.jpeg
 
mkuu umejibu lkn naona umejibu vitu vingne ebu tueleweshe jamaa anasema akiconect na sabufa haitoi sauti inamaana anaconect na waya wa two in one yaani kwenye tv anaweka kwenye kitobo kile cha sauti microphone halafu kwenye sabufa anaweka zike nyekundu na nyeupe ndio haitoi sauti au yeye anatumia nn mpaka isitoe saiti huo waya hana kama hana anatumia nn kujua haitoi saut

maana ukimwambia anunue waya wakati tayari waya anao anacconect hautoi saut, ninavyojua huwezi jua sabufa haitoi saut mpaka uwe na huo waya sasa yeye waya si anao

kwa maana iyo inawezekana kidude cha microphone cha tv ni kibovu
 
Nilishamjibu huo waya anaotumia siyo wenyewe
 
Tv yako hisense inch 43 ulisema ukiconnect na subwoofer haitoi sauti nikakupa solution kuna waya wa kununua

Sasa hapo warranty inahusikaje sababu uliniambia tv ni nzima haina shida yeyote ni kwamba uki-connect na subwoofer haitoi sauti kwenye subwoofer
naomba na mimi maelekezo nina ilo tatizo mkuu
 
mkuu umejibu lkn naona umejibu vitu vingne ebu tueleweshe jamaa anasema akiconect na sabufa haitoi sauti inamaana anaconect na waya wa two in one yaani kwenye tv anaweka kwenye kitobo kile cha sauti microphone halafu kwenye sabufa anaweka zike nyekundu na nyeupe ndio haitoi sauti au yeye anatumia nn mpaka isitoe saiti huo waya hana kama hana anatumia nn kujua haitoi saut

maana ukimwambia anunue waya wakati tayari waya anao anacconect hautoi saut, ninavyojua huwezi jua sabufa haitoi saut mpaka uwe na huo waya sasa yeye waya si anao

kwa maana iyo inawezekana kidude cha microphone cha tv ni kibovu
Hyo ndo point yangu na nmejarbu kuweka redio mbili zote zikatar kweli kwamba redio zote mbili mbovu..?
na zile waya 3 zmewekwa za nn mpka ukiweka pale kwenye tv zkatae ina maana tv kwenye upande wa sauti ina shida ila yy anasema ninunue waya kivip mm sijawah kuona tv ya hvo ndo namuambia jamaa anakazania kwamba ninunue waya how come..?mwsho wa simu meseji hanijibu ana bluetick tu huu ni uhuni analeta nmenyamaza kitambo labda jamaa atakuna na solution ya kunipa fundi wake aje aicheki tv lakn ananipotezea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto una tatizo alafu mda huo huo wewe mwenyewe una solution alafu mda huo huo unakuja kuniuliza nikukupa jibu unalikataa
 
Jibu ulilonipa sio ndo maana nqlakataa na kingne nmkuambia umlete fundi wakonaangakie nayo pia umekataa maana yake guarantee yako haifnyi kazi kwann hutak kunipatia fundi aangalie na meseji zangu hunijibu bila kunipa solution na hyo wire haiwez kuwa tatzo mm nimeshatumia tv hii sio ya kwanza bro ila naona kuna tatzo hlfu unanikatalia

Nilishakuambia kitu cha kufanya alafu unanituhumu sms sijibu changamoto uliyonayo brother unauliza the same question over and over alafu ukijibiwa hutaki kuelewa yaan ni kama tayari una jibu lako

Warranty ni tv inapelekwa services centre ya kampuni husika mfano hisense, samasung n.k sio unaletewa fundi, ukipeleka kwa fundi ikafunguliwa tayari umevunja masharti ya warranty

Sio kila tatizo la tv warranty inacover matatizo mengine warranty haihusiki
 
Back
Top Bottom