Nina Akili Ndogo Sana
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 865
- 1,125
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Ndugu zangu, ninawaombeni sana, sana, sana, sana, tena saana, msisahau kuipenda na kuwa wazalendo kwa Tanzania yetu.
Ipendeni kwanza Tanzania, kisha baadae ndio ukipende chama chako cha siasa (Mfano: CCM au CHADEMA).
Ndugu zangu, hivi vyama vinavyoitwa kuwa ni vya kisiasa, kama vile CHADEMA na CCM, huzaliwa na hata kuja kufa hapo baadae, lakini nchi haifi. NCHI KAMWE HAIFI (A state never dies)
Mambo ya Vyama vya siasa na madaraka ni masuala ya mpito na ya muda mnoo ila Tanzania imara itaendelea kuwepo hata mara baada ya mimi, wewe na yule kuwa tumekufa.
(1) Nchini Kenya kulikuwa na chama cha kisiasa ambacho kilisaidia kupata uhuru wa nchi hiyo kilichokuwa kinajulikana kama KANU. KANU ilikufa (no longer influencial) lakini Kenya bado ipo mpaka leo hii.
(2) Chama cha Baath wakati wa utawala wa Saddam Hussein kimekufa, lakini nchi ya Iraq bado ipo.
(3) The Assad dynasty had once ruled Syria for more than 50 years. Rais Bashar Al Assad ameangushwa lakini nchi ya Syria bado ipo.
(4) President Mohamed Morsi from the Left wing Pan-Arabic Liberation party (Muslim Brotherhood) was toppled by his defense chief through a coup d'etat but Egypt, is still there, effectively functioning as a state.
Ndugu yangu, hata kama wewe ni mtu wa kipato cha chini saana na Mlalahoi kama mimi "a bus conductor", tafadhali asije adui wa nchi (kutoka ndani au nje ya Tanzania) akakwambia au kukushawishi kwa pesa nono ili uhatarishe usalama wako wewe binafsi pamoja na usalama wa wale wanaokuzunguka (kama alivyofanya kijana gaidi Hamza Mohamed mwaka 2021). Ninasema Kataa.
Ninarudia tena kataa. Hivi unafikiri Mungu yeye ni mjinga mpaka aruhusu wewe uzaliwe Tanzania??
Kama Mungu aliweza kufanya mambo makubwa na mazito kama vile kuunda jua, nyota, milima na bahari, unafikiri asingeweza kufanya jambo dogo la wewe kuzaliwa katika nchi za kitajiri kama Marekani, Urusi, Uingereza, China au Ufaransa??
Obviously ni kuwa angeweza, lakini Mungu ameruhusu wewe uzaliwe katika nchi masikini hii ya Tanzania kwa maana ana makusudi na uwepo wako katika ardhi hii.
Asije mtu yeyote (hata kama ni msanii wa nyimbo za kizazi kipya) akakwambia eti upo "Bongo kwa Bahati Mbaya" na wewe ukafurahi.
Hapana usifanye hivyo hata kidogo ndugu yangu.