iPhone 15 imetambulishwa tujiandae na msiba

iPhone 15 imetambulishwa tujiandae na msiba

Alafu apple wana akili sana, maneno mengi, mabadiliko kiduchuuu, ila sasa. Acha wajanja tunasubiri pixel 8 baba wa software, nyie wa show off na status symbol pambaneni na iphone. Hazina jipya kwanzia 12 mpaka 15.
Tafuta pesa wewe,
Wewe una akili kuwazidi wazungu
 
Binafsi sionagi sababu ya mtu/watu kukimbizana na matoleo mapya ya simu kila yanapotoka..

Unakuta mtu ana 14, kuna Apps zipo kwenye hiyo simu hajawahi kuzitumia, na mbaya zaidi hajui kazi yake, then 15 ndiyo hiyo anakimbizana nayo tena..

Anyway...Mtaniambia nitafute hela...Ni sawa.
Hasa mabinti na wanawake wengi... wanatumia iPhone kwa fashion, kuna mambo mengi productive hawayajui. Wao wanatafuta show-offs tu
 
Back
Top Bottom