iPhone 15 imetambulishwa tujiandae na msiba

iPhone 15 imetambulishwa tujiandae na msiba

Mi ngoja nitulie kwa samsung tu, jamaa wako vizuri camera kali, storage kubwa, battery capacity 5000mAh inakaa na chaj had unasahau kuuliza kama umeme upo.
Watu wanaokimbizana na matoleo ya iPhone wanakazi ngum sana maana matoleo mengi hayana mabadiliko makubwa zaidi ya kubadilishwa muonekano
Samsung is Bae bhana...
 
Kukimbizana na izi vitu utajiona masikini bure. Utapeleka iPhone 14 Pro yako Makumbusho kutop up watasema ongezea Mil 1.5 upewe 15 Pro Max. Hapo ndio utapojiuliza value ya simu yako ni tsh ngp?
Watakuambia tafuta hela...
iPhone hainunuliwi Makumbusho[emoji1787]
 
Kama hata wewe umegundua kua Apple maneno mengi ila mabadiliko kiduchu,inakuaje tena unawaita kua wana akili sana?
Si wanawashika wajinga bila kujua wamepigwa!! Yani kwenye real life use, huwezi tofautisha iphone 13 na 14 pro Max, wanabadilisha muonekano ili ujione una thamani na watu wakuone. Its all about image. Ila hakuna la maana, tangu ninunue pixel, sijutii ,napata features zaidi ya apple, simple to use, fast.. software ya hatari, nina ma instant translation, ma gesture ya nguvu, live transcription, yani mi naweza screenshot chochote, kucopy maneno yoyote na kutranslate hapo hapo bila sijui copy na peleka wapi, easy. Nasubiri pixel 8. Hao wa simu kwa ajili ya kutambia hawajui matumizi wengi wao, ukiangalia ata shughuli zao tu hazieleweki 🤣 wamarekani ni brand yao wana haki ya kutumia ila nyie wa shit hole countries ata haziwasaidii zaidi ya kutafuta status kidimbwi.
 
Binafsi sionagi sababu ya mtu/watu kukimbizana na matoleo mapya ya simu kila yanapotoka..

Unakuta mtu ana 14, kuna Apps zipo kwenye hiyo simu hajawahi kuzitumia, na mbaya zaidi hajui kazi yake, then 15 ndiyo hiyo anakimbizana nayo tena..

Anyway...Mtaniambia nitafute hela...Ni sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dyadya.
 
Kuna baadhi ya wavulana nao watapoteza marinda yao wazazi anzeni kukagueni watoto wenu wa kiume marinda . Nipo nimekaa pale njoeni mniue kwa kusema ukweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mabwakuuu, raha ya rinda utoe kwa kupenda tena kwa mtu unayem feel,

Ukitoa sababu ya kitu fulan, utaishia kuteseka na kujuta siku zote baada ya kupokea ulichotaka.
 
Na sijawahi kuona tofauti yake...
Kuanzia 11 hadi hiyo 14....Labda 15 maana sijaiona kwa macho...

Wakijipanga watumiaji wa matoleo yote hayo.. wakashika simu zao hujui ipi ni ipi...hadi uanze kuuliza..
15 macho mawili dyadya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
iphone ni security tu wala hawana jipya sana.

Nimefurahi kuona sasa mwenye Tecno ataazimana charger na mwenye iphone 15 pro Max ya 1TB.

uspesho uspesho mwisho dakawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
IPhone 15 na watafutaji km watafutaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1694636958069.jpg
 
Heka heka km heka heka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1694636965662.jpg
 
Na figo ndio hiyo umebakiwa nayo moja baada ya kuiuza ili upate iPhone 14.

Tozi utafanyaje ili uvimbe mtaani na hela huna afu ukicheki umebaki na bandama tu ambazo hazina dili sokoni?

[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom